yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Kiparamoto

    Tabia ya kukoroma inanivunjia ndoa yangu

    Wakuu, Kwa kuanza, mimi ni kijana wa makamu, umri 35+, mfupi, kibonge, mweusi tiiiiiiii! Nimeajiriwa kwenye NGO moja ya wazungu, alhamdulilah familia inaenda chooni. Nimebahatika kuwa na watoto wa3 kila mmoja na mama yake na nashukuru wanangu wanaishi vizuri lakini sikubahatika kuoa wazazi...
  2. Dalali wa mjini

    Nimesitisha wazo la kuuza nyumba yangu

    Habari ndugu zangu. Nilileta uzi WA kutaka ushauri WA kuuza nyumba yangu, baada ya kupitia comments Za nyinyi wanandugu nimeona comments nyingi zikisema nisiuze nyumba yangu. Ushauri wenu nimeupokea Kwa mikono miwili Na Kwa Moyo mkunjufu Na Kwa akili zangu timamu.Jana nimeshauriana Na Mke...
  3. H

    Nahisi simu yangu kudukuliwa

    Ndugu wana bodi, Niende moja kwa moja kwenye mada, siku ya ijumaa muda wa saa nane dakika ishirini za mchana nilipokea ujumbe kutoka airtel wakinishukuru kwa kutembelea duka lao huduma za kwa wateja na wakanitumia kumbkumbu ya kuonyesha malalamiko nilyolipoti ofisini kwao. Ili hali mimi sikuwa...
  4. Tanki

    Nauza Sabufa yangu. Ni mpya

    🔊 MziKi mNeNE 🔊 *Sabufa ni mpya, Ina wiki tatu tu tangu itoke dukani. Ina njia mbili za umeme, AC na DC, yaani inapiga kazi hata kwenye solar au betri tu ya gari au pikipiki. Ina Bluetooth FM Radio USB AUX Memory Card NOTE: Ipo na box lake na kila kitu chake, yaani waya zote na remote yake...
  5. ESCORT 1

    Nifanyeje ili flash yangu iweze kupokea movie za 4K?

    Nimedownload movie zenye 4K kwenye laptop ila nikirusha kwa flash inagoma licha ya flash kuwa na ukubwa wa 64gb. Naombeni muongozo Cc: Chief-Mkwawa
  6. The_vision

    Nauza laptop yangu hii bado nzuri kabisa

    Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa Device: Renovvo Processor - 2.16 GHz RAM - 4GB EDITION - Window 10 pro Version - 22HZ CONDITION: Used like New BEI : 250,000 (njoo tuongee) 0687900668 namba yangu Napatikana hapa chuoni Dar es salaam Tumaini university (DAR TU) mwenge
  7. dr namugari

    Ndugu yangu amegoma kunirudishia pesa zangu

    Mwaka jana ndugu yangu kabsa wa damu alikuja na kuomba nimpatie pesa ili a bust biashara zake, kwa vile alijuwa kuwa kuna kititi nimepokea kutoka Taasis fln ya umma. Sikuweza kumnyima kwa vile mm pia nilikuwa nafikiriaa cha kufanyia hizo pesa either ninunue kiwanja dodoma am au nianzishe...
  8. Zero IQ

    Rasmi nimeamua kufuta Twitter(X), Instagram, Facebook, TikTok kwenye simu yangu

    Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,sasa ni Rasmi mimi zero Iq nimeamua kufuta Twitter(X),Instagram,tik tok pamoja na facebook kwenye simu na kuamua kubaki na Jamii Forum kama ndio Main social network kwangu , Mitandao hiyo mingine naona sasa wanacheza na hela yangu ,Kila upande Kuna Reals za...
  9. Sodoku

    Prince wa Saudi Arabia Salman: Mambo ya Palestine hayanihusu. Najihusisha zaidi ya Nchi yangu

    Prince wa Salman wa Saudi Arabia amesema kuwa hataki kujihusisha na mgogoro wa Palestine. Ana nchi yake na anapaswa aangalie mambo yanayohusu nchi yake. ========== Saudi Arabia's Crown Prince Mohammed bin Salman told US Secretary of State Antony Blinken that he does not personally care about...
  10. God Fearing Person

    Kuna Mtu kila siku anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu

    Wakuu, kuna mtu yeye huwa anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu. Najua huyu anafanya ushirikina Ila nimwambie tu ntampoteza vibaya Sana.
  11. T

    Wanasema simjali mama yangu ila kiukweli sioni athari yake kwangu

    Wakuu kwema. Naombeni ushauri kwenye hili suala. Mama yangu mzazi na ndugu wengine wanalalamika kwamba simjali mama yangu. Kiukweli sio kwamba namchukia ila najisahau kumjulia hali. Mama aliondoka nyumbani na watoto wa kike , akatuacha wakiume kama watatu pamoja na baba, wakati huo nilikuwa...
  12. The_vision

    Nauza laptop yangu bado mpya mpya

    Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa Device: Renovvo Processor - 2.16 GHz RAM - 4GB EDITION - Window 10 pro Version - 22HZ CONDITION: Used like New BEI : 280,000 (njoo tuongee) 0687900668 namba yangu Napatikana hapa chuoni Dar es salaam Tumaini university (DAR TU)...
  13. Eli Cohen

    Najuta kwa nini sikumsikiliza baba yangu lakini namshukuru Mungu sikuchelewa kuanza kumuelewa and my life was never the same.

    Nilimtii, sikumsumbua hata kidogo ila sikumsikiliza na nilimuogopa kuliko kumuheshimu. Kama baba typical wa kanda ya ziwa ushajua nyumbani ni mwendo wa kwata. Ila alikuwa ananiandaa. Nilijua ana agenda ya chuki dhidi ya mama, sikujua saikolojia ya mwanamke inamfanya mwanaume anakuwa paranoid...
  14. ukwaju_wa_ kitambo

    ADILI CHAPAKAZI - PEKEE YANGU.

    ADILI HISABATI. ---------------------------------------- "Rapper mkongwe na hitmaker wa ngoma inaitwa ‘Peke Yangu’ Adili Mkwela a.k.a Hisabati .. nimefanikiwa kupiga nae stori nae kuhusu lifestyle yake kwa ujumla ndani na nje ya Sanaa. Adili: in short jina langu naitwa " adili mkwela" a.k.a...
  15. Shooter Again

    Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

    Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
  16. aBuwash

    Naomba ushauri kuhusu biashara yangu inakoelekea inaenda kukata roho sio muda

    Habarii wana JF natumai wote mko salama. Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam Nauza jumla na rejareja. Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying sana mpka leo na nimekuwa mtu ambaye sikatii tamaa nikijipa moyo kwamba ndo napata experience maana...
  17. Vincenzo Jr

    FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ KEN GOLD vs YANGA Sc saa 10 kamili jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Ken Gold SC🔰💪🏽 Mpira umeanza Dakika ya 2 boka anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 3 Max anafanyiwa madhambi Dakika ya 6 Ken 0-0 yng Dakika ya 10 Max anafanyiwa madhambi Dakika 12 Goal...
  18. Nyani Ngabu

    Nimeshindwa kujizuia kuificha furaha yangu kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya CHADEMA na wafuasi wao.

    Initially I was low-key loving it. Not because it’s the right thing to do [what’s happening to them]. As a matter of principle, I don’t countenance it. But, just out of spite, I’m Mickey D’s lovin’ it. Walizidi mno kuchonga midomo yao kana kwamba hayo mambo yalianzia wakati wa Ngosha tu...
  19. KING MIDAS

    Hivi ni vitu ambavyo sitakuja kuvimiliki kwa maisha yangu yote

    1. Bunduki 2. Vilipuzi vya aina mbalimbali 3. Sumu za aina mbalimbali 4. Sitafuga nyoka wa biashara (sumu ya nyoka ni biashara nzuri) 5. Sitafuga nge kwa ajili ya biashara 6. Sitafuga samaki aina ya Bunju 7. Sitafuga aina yoyote ya kasa
  20. Msanii

    Mbowe: Mkisikia nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele"

    Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024. Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele...
Back
Top Bottom