GTs,
Nadhani kila mmoja ni shuhuda wa yanaoendelea kuhusu nchi yetu. Kuna mambo kadhaa mengi ambayo kila mtanzania anayalalamikia, moja wapo ufisadi, kutokuwajibika, watu kutekwa na wanaojiita polisi na kuuawa etc. Tuhuma zote hizo zinahitaji majibu toka kwa mamlaka husika, ila bahati mbaya ni...