yuko wapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yuko wapi Dkt. Bashiru Ally?

    Alikuwa katibu mkuu wa CCM kipindi cha Magufuli. Yuko wapi?
  2. T

    Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi

    Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda. Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi. Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania...
  3. Yuko wapi Nape Nauye?

    Wakuu Toka Rais wetu Kipenzi Daktari Samia Suluhu afanye mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuamua kumpumzisha Ndugu Nape Nauye,hatujamuona wala kumsikia hadharani mwanasiasa huyo machachari. Je Nape atakua yuko mapumzikoni wapi?
  4. Yuko wapi Makonda? Kwanini Serikali mnaruhusu hali hii?

    Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
  5. SI KWELI Tanzania ilikataa kumpokea Balozi Mpya wa Zambia, Musenge Mukuma kutokana na kuwa na Jina lenye Tafsiri Mbaya kwenye lugha ya Kiswahili

    Mei 29, 2023 kwenye Mtandao wa Twitter, Mtumiaji mmoja alichapisha andiko linalosomeka kuwa Mwaka 2016 Serikali Ilikataa kumpokea Balozi Mpya wa Zambia Nchini Tanzania Bwana Musenge Mukuma kwa kuwa Jina lake linatoa tafsiri Mbaya Katika Lugha ya Kiswahili. Andiko la aina hii liliwahi pia...
  6. Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

    Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka. Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na...
  7. Yupo wapi Cyprian Musiba?

    Kwa wale wanamkumbuka huyu jamaa iikuwa haipiti wiki anakuja na nondo hatari. Je, yupo wapi siku hizi hata magazeti yake pia hayasikiki sana, yupo wapi?
  8. C

    Hii sabuni ya Imperial bado ni halisi au Mchina ameboresha formula?

    Mshana Jr kuna uzi humu ulikuwa unaongelea vitu vya zamani vyenye ubora ambavyo kwa sasa havipo. Nakumbuka mmoja wa wachangiaji alikuwa ni Mshana Jr na moja ya bidhaa iliyolalamikiwa kuchakachuliwa ni sabuni ya Imperial Leather. Well nilikutana na hii kitu dukani Musoma huko, ngoma imebaki...
  9. C

    Tatiana ananichanganya sana, hivi yuko wapi? Jukwaani haonekani

    Wakuu, Hivi huyu member wakuitwa Tatiana yuko wapi? Niwahi kua napenda michango yake na alikua decent kupita maelezo. Hapatikani na najaribu kuangalia ni kama hayuko active. Wanaomfahamu wampelekee taarifa zangu kua namtafuta sana. Nahitaji kuongea naye na kumtakia heri kwenye harakati zake.
  10. Yuko wapi memba akili kubwa Barafu?

    Wakuu Heshima mbele. Kwa kweli miaka ya nyuma kidogo kabla ya kupoteza akaunti yangu ya Jamii forums. Nilikuwa napenda sana kumsoma jamaa mmoja anaitwa barafu. Kwa waliokuwepo jamii forums miaka ya nyuma nadhani wengi mtamfahamu mwana jamii forums barafu akianza kuchambua kuhusu mambo ya...
  11. Yuko wapi mwanadada Jenipher Mgendi?

    Huyu dada muimbaji wa nyimbo za injili na kisauti chake kizuri kama cha mtoto yuko wapi wadau sijamsikia kitambo sana kwenye game. Kuna kibao chake kimoja kinaitwa ninalia halafu kinaitikiwa pole sana....kitambo sana asee Yuko wapi dada Jenipher Mgendi mwenye kujua tafadhali. Uzi tayari.
  12. Rais Samia yuko wapi?

    Sijamsikia siku mbili hizi. Hakuongoza kikao cha Kamati Kuu Unguja. Siku hizi wapo watu wengi wanautamani urais,kwa hiyo rais akitoweka lazima tuulize
  13. Sauda Mwilima Yuko wapi?

    Huyu mtangazaji Sauda Mwilima Kama sijakosea jina Yuko wapi siku hizi?.Alikuwa anakipindi star tv,akiwahoji wasanii mbalimbali wa mziki.
  14. Musa Hussein yuko wapi?

    Yuko wapi huyu mwamba alifanya jahazi kuwa kipindi kizuri sana ni muda sijapata kumsikia popote pale.. Je alikuwepo kwenye msiba wa G??
  15. M

    Yuko wapi Lulu Ibrahim, Miss Kinondoni 2009 na aligombea Miss Tanzania 2009?

    Yuko wapi Lulu Ibrahim, Miss Kinondoni 2009 na aligombea Miss Tanzania 2009?
  16. Yuko wapi mtoto wa kiume?

    Mtoto wa kiume yupo atarini kupotea katika dunia ya sasa. Najiuliza tu hawa wanaoleta agenda kila siku zakumkuza mtoto wakike (tena ni wanamume) , hawaoni kama mtoto wakiume nae anatakiwa kutazamwa ili kutatuliwa changamoto zake. so sad kuona nowdays wanaume kuact kama mwanamke kwenye...
  17. Mnamkumbuka Lubinga wa CCM? Leo yuko wapi?

    Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana. Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa yuko wapi leo na anafanya nini?
  18. P

    Yuko wapi Mzee wetu Agrey Mwanri?

    Amani iwe kwenu. Mimi siyo muumini wa uchawa na wala siyo chawa. Huyu mzee wetu alikuwa chuma haswa kiutendaji Kwa nafasi alizowahi kuzishika. Mama Samia kama itakupendeza kama Mzee wetu Agrey Mwandri umri unamruhusu basi mpe mkoa wa dar awe mkuu wa mkoa atakusaidia sana.
  19. 4

    Yuko wapi Tundu Lissu?

    Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu, yuko wapi? Binafsi kama mwananchi na kama mfuasi wake ni haki yangu jua alipo maana na ni siku zimepita kidogo simsikii wapi alipo...
  20. Yuko wapi witness j?

    Kuna huyu dada anaitwa witnessj muda mrefu umepita sijamsoma humu jukwaani. Witness popote ulipo nakusalimia. Xxx
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…