yuko

YUKO was a Ukrainian group that combines folk and contemporary music.

View More On Wikipedia.org
  1. Yuko wapi Mzee Abdallah Salum, aliyejiitaga Mtume kule Mkuranga?

    Miaka ya 2000 nakumbuka kipindi hicho Sheikh Nurdin Kishk alikuwa kiboko ya bidaa basi nikawa napenda sana kuangalia kanda zake. Siku hiyo kwenye 2008-2009 nikaenda Dar kurudi nikarudi na cd za mafungu za kutosha nikawa naangalia kwa kina fulani ambaye ni rafiki yangu wa damu Miongoni mwa kanda...
  2. Kikatiba Rais Samia yuko sahihi kumteua Naibu Waziri Mkuu

    Nawasalimu Waungwana wa JF, Mwanzo mwanzoni nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uhai na afya anazotujalia hata kuendelea kupashana habari za hapa na pale kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums. Hivi punde, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri...
  3. Yuko wapi Saidoo Ntibazonkiza Mfungaji Bora Msimu Uliopita?

    Mbona hakuna mwendelezo? Je alibahatisha kama George Mpole? Je TFF walimtumia kumkomoa Mayele kama walivyofanya msimu wa mwaka juzi? Nje ya mada Mnaonaje Boss la DP World nikipewa timu ya Yanga niweke pesa.
  4. Gideon Kasozi, Mwalimu wa kwaya ya SDA Kinondoni hivi sasa yuko wapi?

    Wakuu humu ndani nakumbuka miaka ya tisini kuna Mwalimu wa kwaya ya SDA Kinondoni alifanya kwaya hii kuwa maarufu sana hivi sasa hivi yuko wapi?
  5. Kwa hili Katibu Mkuu wa UN yuko sahihi 100%, ila kwa Wazungu hapa ameshawakwaza na asipochukiwa nao sijui..!!

    Africa is underrepresented in the global financial architecture, just as it lacks a permanent seat on the Security Council. The world has changed. Global governance must change with it. We need reforms to make global frameworks truly universal & representative of today's world. Chanzo...
  6. J

    Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

    Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege Watanzania tumuombee apumzike kwa amani! Source: Al jazeera ==== Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika...
  7. Watu hawataki kutembeleana siku hizi, kila mmoja yuko bize kusaka shilingi

    Kuna mzee mmoja nilikutana naye eneo moja la kazi miaka 12 iliyopita, na katika mazingira ya kazi tulikuwa tukiheshimiana sana, na tulikuwa tukiishi kama familia; leo tukale wapi au kunywa wapi, mara moja moja ilikuwa ni kitu cha kawaida. Baada ya muda kupita aliamua kung’atuka na kwenda...
  8. Kiongozi wa Wagner yuko Afrika kupigania "haki" za Waafrika

    Hili lizee ni fulu komedi..... YEVGENY PRIGOZHIN IN AFRICA. SCREENSHOT FROM THE VIDEO Yevgeny Prigozhin, the founder of the Russian Wagner Private Military Company (PMC), has recorded a video message allegedly from Africa, where he is fighting "for justice and happiness" of African peoples...
  9. Museveni pamoja na mapungufu yake, ila kwenye hili la kudinyana mwamba ana maamuzi aisee

    Waganda hasa Bazzkulu. Salamu. Mambo yanakwenda vizuri nchini Uganda licha ya ufisadi wa baadhi ya Watumishi wa Umma na baadhi ya vipengele vya tabaka la kisiasa. Jana usiku, afisa kutoka Benki ya Dunia alinipigia simu kunijulisha kuhusu taarifa kutoka kwa Benki hiyo kuhusu kusitishwa kwa...
  10. S

    Dkt. Mwigulu Nchemba yuko wapi anguko la Dola?

    Daktari wa Uchumi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alijitapa bungeni kuwa Dola zipo za kutosha na hakuna tatizo la Dola na kwamba yeye ni Mbobevu wa Uchumi watanzania wasiwe na mashaka naye wanaweza kujadili mambo ya uganga wa kienyeji tu. Leo Dola zimepotea Waziri yuko Kimya.
  11. S

    Rais Samia yuko wapi?

    Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais? Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na...
  12. L

    Nani yuko nyuma ya wimbi la mapinduzi ya kijeshi barani Afrika?

    Katika kipindi cha miaka minne (2020-2023) bara la Afrika limeshuhudia mapinduzi ya kijeshi katika nchi sita (Burkina Faso, Chad, Guinea, Mali, Niger na Sudan). Wimbi hili limekuja baada ya kipindi kirefu cha utulivu, ambao ulilisaidia bara la Afrika kuwa moja ya maeneo yenye ongezeko la uchumi...
  13. Yuko wapi Bashe na kilimo chake? 'DPWedi' kila wizara!

    Sakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu. Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara wengine walimuona ni star, ana maono kumbe yote hiyo ni mbwembwe kuwafurahisha waarabu ambao ndo...
  14. K

    Kamanda Sugu yuko wapi?

    Muda mrefu umepita sijamsikia Kamanda Sugu akizungumzia suala la Mkataba wa Bandari. Je ni mgonjwa?. Ni vema tukajua Kamanda yuko wapi na hali yake ikoje?.
  15. Mshangao Kenya: Spika ajikuta peke yake bungeni

    Siasa ya Kenya imeingia dosari kubwa sana, hali Kenya sio shwari kabisa. Leo hii spika amefika ndani ya jengo la Bunge nakujikuta pekee yake hakuna mbunge aliyehudhuria.
  16. R

    Mbowe: Inashangaza mpaka Mkurugenzi wa Bandari anasema tunafanya kwa hasara na bado Mbarawa yuko ofisini

    Mbowe ameyasema katika mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari akieleza juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World kwamba, katika watu wanaoamini kuwa anatakiwa kujiuzulu ni Mbarawa. Na kusema inashangaza mpaka Mkurugenzi wa bandari anasema jamani sisi tunafanya hasara sana, na bado Mbarawa...
  17. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Mbarawa azungumza kuhusu uwekezaji wa Bandari

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam muda huu kuhusu uwekezaji wa Bandari. Mbarawa: Pamoja na Serikali kuendeleza juhudi za maboresho ya Bandari zetu, bado ufanisi katika utoaji huduma wa Bandari haujafikia viwango...
  18. B

    Zitto Zuberi Kabwe yuko wapi? Kweli akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki

    Nimeshangazwa na ukimya wa hali ya juu wa Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao. Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe. Huko aliko yuko salama? DP world!
  19. Rais Samia bado yupo kwenye njia sahihi

    Bila kupepesa macho, huyu mama ni visionary leader, anajua anachofanya. Ukifuatilia deliverables zake you will be shocked. Facts and data zinaonesha amefanya mambo mengi kwa muda mfupi, pengine kuliko mtangulizi wake. Hakika, she is composed and focused. Anatuonesha kwa vitendo namna sahihi ya...
  20. S

    Hivi bado Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Rorya mkoani Mara yuko ofisini baada ya kuudharau Mwenge wa Uhuru?

    Jana ktk taarifa ya habari ya jioni Channel Ten kiongozi wa mwenge wa uhuru kitaifa alilalamika kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Rorya alionesha dharau kwa mwenge wa uhuru, hakutaka kutoa ushirikiano wowote ikiwa ni pamoja na kukata kutoa documents kuhusu miradi mbalimbali iliyoko ktkt...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…