Hamjambo ndugu zangu wa Tanganyika? Tangu nifike kwenye nchi yenu kuna jambo silielewi, kila wanachokifanya Yanga upande wa pili wanadai walishapita huko zamani.
Wenye kumbukumbu naomba mnikumbushe siku ambayo Makolo wamewahi kusafiri kwenda kucheza away na mashabiki hata 1000 tu.
Au ni mwaka 93?