zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alubati

    Kwanini watengeneza magari waliacha kutengeneza bodi zenge bati gumu kama zamani

    Miaka ya nyuma gari zilitengenezwa kwa bodi ngumu za material ya bati,hali ambayo gari ikipata ajali linabonyea na kuacha athari kidogo kwa wahanga wa ajali. Tofauti na hivi sasa mtu ananunua gari milioni 500 lakini bodi ni kama aina fulani ya plastiki gumu. Ikitokea ajali gari inakwisha kila...
  2. G

    wana jamiiforums mliowahi kufanikiwa hapo awali lakini sasa mmeporomoka, kilitokea nini ?

    Share experience yako, ni makosa gani mliyofanya ? kuna ishara zozote mlizoziona kabla ya kuporomoka ? Mlikabiliana vipi na aibu ya kuporomoka mbele ya jamii ? Kuna watu waliochangia kwenye kuporomoka ? maamuzi gani magumu mlifanya baada ya kuporomoka ? maisha yenu ya sasa yanatofautianaje na...
  3. D

    Kusema kweli Mimi Sijui biashara za Mbowe anazosema zipo ndani na nje zaidi ya Bilcanas ya zamani. Anayejua atutajie

    Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje. 1. 2 3 4
  4. Shooter Again

    Hivi Kuna msanii Tanzania anaemzidi harmonize yaani Hadi wale wa zamani

    Hivi wakuu kunamsanii anaemzidi harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wazamani naona hamna kitu sizani hata kutakuja kutokea kama huyu mwamba konde boy bongofleva haimdai hata akifa leo yaani jamaa anajua mziki
  5. D

    TANZIA Jimmy Carter, aliyekuwa Rais wa 39 wa Marekani afariki dunia

    Former US President Jimmy Carter has died aged 100, the centre he founded has confirmed. The former peanut farmer lived longer than any president in history and celebrated his 100th birthday in October. The Carter Center, which advocates for democracy and human rights around the world, said he...
  6. Kang

    WhatsApp kuacha kufanya kazi simu za zamani Jan 1

    Meta wameamua kuacha kussuport simu zenye Android KitKat (4.4) kwenda chini kuanzia Jan 1 2025. Baadhi ya simu maarufu ambazo zitaacha kufanya kazi ni Samsung: Galaxy S3, Galaxy Note 2, Galaxy Ace 3, Galaxy S4 Mini Motorola: Moto G (1st Gen), Razr HD, Moto E 2014 HTC: One X, One X+, Desire 500...
  7. Alex Muuza Maembe

    Kwanini Mitandao ya Simu ilishindwa kuendelea kutumia codes za zamani (Voda-0754, Tigo Yas-0717, Airtel-0787)?? Any technical justification please??..

    Good Morning my dear brothers and sisters out there. (1) Kwanini mitandao ya simu (mfano Tigo Yas) wanatumia codes mbili yaani 0717****** pamoja na 0654******?? Kwanini ilishindikana kubaki na ili ili code yao ya zamani?? (2) Je, numbers za simu kuwa na 10 digits badala ya 11 (0654527779) ni...
  8. JEJUTz

    Kwa namna fulani Ustaarabu katika jamii yetu hivi sasa ni tofauti na zamani

    Hey wanajamvi heri ya msimu huu wa sikukuu na tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka, naamini pilika zinawaendea vizuri kabisa. Kwa sisi tunaopata nafasi ya kuzunguka sehemu tofauti tofauti ndani ya nchi hii,naweza kusema Watanzani angalau sasa tumekuwa wastaarabu. Zamani ulikuwa ukiingia maeneo ya...
  9. Waufukweni

    Beki wa zamani wa Simba SC, Israel Mwenda atua Yanga kwa Mkopo akitokea Singida Big Stars

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Israel Patrick Mwenda, amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miezi sita kutoka Singida Big Stars kwenda Young Africans (Yanga). Pia, Soma: Singida Black Stars yasema imemlipa Mwenda Tsh. 140m yamtaka aripoti mazoezini Beki huyo anauwezo wa kucheza kama beki...
  10. F

    Leo ni siku ya Uhuru wa Tanzania (iliyokuwa Tanganyika zamani)

    Nimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo. Siku ya Uhuru Ina maana iliyo sawa na siku ya kuzaliwa kwa mtu. Kama mtu alizaliwa akawa anaitwa Juma...
  11. Mindyou

    Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani ashinda kiti cha Urais Ghana

    Wakuu, Katika tukio la kihistoria la uchaguzi mkuu wa Ghana, John Mahama, Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani cha National Democratic Congress (NDC), amerejea madarakani baada ya kushinda uchaguzi uliofanyika Jumamosi, Disemba 7, 2024. Mahama aliibuka mshindi dhidi ya Makamu wa...
  12. Mindyou

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wampiga chini Mwenyekiti wao zamani. Wamchagua Severin Mushi kama kiongozi wao mpya

    Wakuu, Wafanyabiashara wa Kariakoo wamemchagua Mwenyekiti wao mpyA anayeitwa Severini Mushi aliyepata kura 229 akimshinda, Martin Mbwana aliyekuwa akitetea kiti hicho ambaye amepata kura 12. Soma pia: Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa Uchaguzi huo umefanyika Alhamisi Desemba 5...
  13. TheForgotten Genious

    Nyimbo Za zamani zilikuwa na ujumbe wenye kuelimisha,zitumike kufundishia hawa vijana,mfano hii hapa INACHOMA ya 20%.

    Oh na na naaaaa! Eyaaaah INACHOMA 1. Nimeajiriwa kwenye Ajira niliyojiajiriii, Na ninasifiwa utendaji Wangu wa kazi ni nzuri, Navumilia huenda nitapata kivuli, Nitapata kivuli imeshakata miaka miwiliii, Ndimu na ugali,maisha Makali,elimu iko mbaliii, Lile jasho la halali,mpaka kabaliiii, Bosi...
  14. D

    Mbona TEC wananivua nguo kila siku. Kwani kuna nini. Zamani walikuwa wakitoa tamko limeshiba kweli kweli.

    Ukizingatia matamko ya siku hizi ni kwamba yako juu juu sana na hayana uchambuzi makini. Ni kana kwamba wanaandika wakiwa wanawahi kuwa wa kwanza wasiwahiwe ni kkkt nk. Au wanaandika wakiwa wanampango wa kumkomoa mtu. Imagine matamko yale ya dp world, hivi kweli walikaa chini wakafikiri na...
  15. Teslarati

    Miaka ya zamani niliambiwa haya maneno kuntu kuhusu kuishi na mwanamke

    "Hakuna kitu wewe kama mwanaume unachoweza fanya ili kumfanya mwanamke aishi na wewe kwa uaminifu, sio pesa, sio mwonekano, sio power, sio chochote kile. Bali mwanamke mwenyewe tu akiamua kuishi na wewe kiuaminifu ataishi na ww hivo, lkn asipotaka hata uwe na pesa kiasi gani, handsome kiasi gani...
  16. Wakusoma 12

    Mwenyekiti wa zamani wa benki ya China ahukumiwa kifo

    Mwenyekiti wa zamani wa Benki ya China, Liu Liange amehukumiwa kifo kwa kupokea hongo ya dola milioni 16.8 (TZS bilioni 44.4) pamoja na makosa mengine ya ufisadi na utoaji wa mikopo kinyume cha sheria. Mahakama ya China imeamuru mali zote binafsi za Liu zitaifishwe na mapato yake yote...
  17. Mayala B

    Kitu gani kiliwafanya wazungu wa zamani waweze kuishi Afrika maporini lakin hawa wazungu wa leo hawawezi na wameshindwa?

    Aman iwe kwenu watumishi Wazungu wa zamani tulizoea kuwaona vijijin maporini kabisa wa kifanya kazi Hasa kazi kama utawa, upadre, udakitari, kilimo, na hata uwindaji Hakika waliweza na walifanikiwa Lakin basi kitu gan kimewakumba hawa vijana wa leo wa kizungu kushindwa kumudu kuishi Africa ...
  18. Waufukweni

    LGE2024 Kayandabila: Uchaguzi hauna uzoefu, fuateni mafunzo ya Uchaguzi wa mwaka huu

    Wasimamizi wasaidizi zaidi ya 600 wa vituo vya kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa wa jimbo la Tabora wametakiwa kutokutanguliza uzoefu wa usimamizi wa chaguzi zilizopita katika uchaguzi wa mwaka huu badala yake wafuate mafunzo na mwongozo wa usimamizi wanaopewa ili kuweza kufanikisha zoezi...
  19. KakaKiiza

    Jenerali wa zamani wa Marekani atoa wito wa kuondolewa mapema kwa Biden

    Luteni Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Marekani Michael Flynn amemtaka Makamu wa Rais Kamala Harris kutekeleza Marekebisho ya 25 ili kumzuia Rais Joe Biden kutoka "kulala usingizi" katika vita vya tatu vya dunia baada ya kuiruhusu Ukraine kutumia makombora ya ATACMS kushambulia ndani kabisa ya...
  20. chiembe

    Inawezekana mume wa zamani wa Diva anampiga vyombo ndio maana mambo yanamuandama?

    Diva aliolewa na mganga wa kienyeji. Waliachana kwa tafrani kubwa hivi karibuni. Je fundi hiyo hampigi makombora yenye vichwa vya nyuklia? Maana hawa jamaa wana mambo yao. Mpaka Diva ana lala SegereMatata? Ukiangalia insta page yake, na hata watumishi wenzake, ni kama jamii inampigia yowe...
Back
Top Bottom