Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu.
Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za...
Zamani nilikuwa naona watu wakigombana halafu mmojawapo akimtukana mama wa mwenzake ugomvi unakuwa mkubwa zaidi kama njiti ya kiberiti imetupiwa kwenye petrol,
Yani hata kama ugomvi ulikuwa unaelekea kutulia hapo utaanza upya na kuwa na vurugu kubwa zaidi, aliyetukanwa mara nyingi atakuwa...
Kuna migahawa siku hizi wanauza chapati kubwa sana, zile chapati mbili au tatu za zamani au mtaani wameziunganisha wakafanya kama chapati moja, sasa usipojua mapema ukaagiza chapati mbili linakuja furushi ambalo kumaliza inakuwa tabu tu.
Ni vyema kama chapati zako unazouza ni oversize/kubwa...
Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala ya kutengenezwa! Barabara hii kuanzia njiapanda ya SUA kuelekea Magadu hospitali ya jeshi mpaka...
Ukiangalia pamoja na teknolojia kuwa kubwa.
Hospitali kuwa nyingi
Madawa kuwa mengi
Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana.
Life expectancy Kama imeshuka.
Kwenye familia yangu hakuna MTU hata mmoja mwenye umri wa miaka 80+ yrs.
Ila Bibi yangu alifariki mwaka 2003 alikufa na 84.
Sasa...
Kikeke nikimuangalia kama simuamini sana, ila muda utaongea, namuona kama pandikizi la kimkakati, ngoja tuone na chombo chake kinachofanana na kofia ya watawala wa alikotoka- I mean kwa muajiri wake wa zamani
News alert Netanyau awaahidi watu wa iran kuwa nchi yao itakuwa huru hivi karibuni , asema wataishi nao kwa amani kama ilivyokuwa zamani
Waziri Mkuu huyo amewaambia watu wa Iran wasiruhusu kikundi kidogo cha wabakaji kukandamiza matumaini yao na kuua ndoto zako.
Ameongeza kuwa Watoto wa...
Tanzania ya sasa sio ile ya zamani. Pamoja na ukuaji wa habari na teknologia kuna ongezeko kubwa la watoto na vijana wengi. Umri wa kati Tanzania ni miaka 19.
Tusishangae kuona wasanii wamejaa kwenye mikutano ni kwasababu yangu vijana wadogo. Kijana wa miaka 21 hawezi kujali katiba au kuelewa...
Kariakoo itaendelea kuheshimiwa tuu hata wafanye nini hawawezi kuhamisha wafanyabiashara eti waje kununua bidhaa pale
Hata Mlimani city kipindi inajengwa watu waliaminishwa kua sijui posta au Kariakoo watu watakua hawaendi tena lakini sasa mnajionea wenyewe Kariakoo inakimbiza.
Mi naona...
Rais Ian Khama, amerejea Botswana baada ya kuishi uhamishoni Afrika Kusini kwa takriban tangu Mwaka 2021.
Ijumaa ya Septemba 13, 2024, alifikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka 14, ikiwemo umiliki haramu wa silaha na utakatishaji fedha.
Khama ameyakana mashtaka hayo, akidai kuwa ni...
Kama mkiweza kuweka na picha ya Watangazaji mnaowajua itapendeza zaidi. Picha na jina la Mtangazaji.
Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kama redio za phillps, national, panasonic na National panasonic au maarufu kwa jina la dudu proof
Orodha ya Majina haya hapa:
Abdallah Iddrissa...
Mapenzi ya sasa hivi yamejaa utapeli mwingi, huna kitu hupendwi mtu.
Ukimtongoza tu mrembo, atakuuliza unafanya kazi gani, au unamiliki nini?
Kama bado unajitafuta, utakutana na fedheha.
Ila enzi za mababu zetu, ilikuwa full burudani; mnakutana mkiwa hamna kitu, baadaye mnachuma pamoja na...
Dickson Ndiema, mpenzi wa zamani wa Rebecca Cheptegei, amefariki hospitalini.
Aliyekuwa mpenzi wa mwanariadha wa Uganda, marehemu Rebecca Cheptegei, ambaye alikuwa akituhumiwa kumuua kwa kumwagia petroli na kumchoma moto, amefariki kutokana na majeraha ya moto aliyoyapata wakati wa shambulio...
Wakuu.
Leo swali langu ni dogo sana kama nilivoandika huko juu,
Mababu na mabibi zetu wa enzi na enzi hizo miaka hiyo mingi iliyopita,
Ambao walikua hawajui kanisa wala msikiti na hawakujua kusoma wala kuandika muda huu wako motoni au wako wapi hasa,
Karibu Tunapatikana Ilala Amana Karibia na Hospital Ya amana.
Wakazi wa dsm tunaweza kukufata wa mikoani unatuma kwetu.
Malipo Baada ya Kazi.
0715331233
Piga au sms au whatsapp
Komassava!
Msaada wa ushauri.
Kaka yangu ameoa na imepita miaka mitano sasa . Lakini hivi karibuni kagundua kua mkewe alikua kashazaa kipindi anasoma na kumuacha mwanae kwabibi yake na hakuwahi kumwambia ukweli.
Kaanza kukosa imani na mkewe kwamba huenda kuna mambo mengi anamficha
Je...
Kipanda cha Tanga Kibaoni, hakipitiki. Ni tope tupu na barabara ya pembeni hiyo ndiyo kadhia kubwa hasa.
Irudishe kama ilivyokuwa zamani iweze kupitika ! achana na lami maana mmeshindwa!
Ex-Arsenal and Liverpool star Alex Oxlade-Chamberlain ‘in talks’ over shock transfer to return to Premier League
ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN is reportedly in talks over a shock Premier League return with Brentford.
The former Arsenal and Liverpool midfielder spent the past year playing for...
Nawataarifu tu wadau huyu mama Askari anayetuhumiwa kuwatuma vijana kufanyia udhalilishaji Kwa Binti wa yombo anaweza akatoboa kinyume kabisa na matarajio ya wengi:
Mfano wa kesi inayotaka kufanana na hii ni Ile ya aliyekuwa bosi wa jeshi la polisi miaka ya Nyumba somebody zombe, alituhumiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.