zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mchochezi

    Kwanini magolikipa siku hizii hawavai track wakiwa mchezoni kama zamani?

    Naombeni majibu
  2. Meneja Wa Makampuni

    Tayla kaurudisha Muziki wa zamani wa Beyonce na Rihanna

    Huyu Tayla ni binti mdogo lakini ni hatari. Hii nyimbo aliyo toa sasa kaziba midomo ya watu. Mwaacheni abebe tuzo zote nyie endeleeni kuruka hizo amapiano tuzo mtazisikia kwenye bomba. https://youtu.be/uLK2r3sG4lE?si=ui8-GXtbp_qEA1UK
  3. jingalao

    Emergency response team ya Dar es Salaam imekua kulinganisha na zamani

    Ukweli usemwe. Hakika naiona coordination ya hali ya juu namna Team ya kukabiliana na Majanga Dar es Salaam inavyoweza kupambana na majanga ya kipekee na ya aina tofauti tofauti. Tuendelee kutambua mapungufu ili wayaboreshe siku hadi siku. Mungu awape nguvu frontliners wote na wananchi kwa...
  4. ILAN RAMON

    Israel yamuua Salim Ayyash, wa Hisbollalieh aliyehukumiwa na Mahakama Kuu ya Lebanon kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani Rafik Hariri

    Salim Ayyash, gaidi wa Hezbollah, alietiwa hatiani kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani, Rafik Hariri, ambaye alikuwa mzalendo wa Lebanon anayejulikana kwa kujenga upya Beirut baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ripoti zinadai kuwa aliuawa katika shambulizi la Israel nchini Syria...
  5. bahati93

    Je wajua, zamani Wanawake ndio walikuwa wanatongoza mabishoo?

    Kweli mambo yanaenda kasi sana wanabodi. Sijui Manyangema hapo kale ya 2000s walikuwa wanakwama wapi, kwani nimekuja kugundua walikuwa hawatongozi kabisa, wao ndio walikuwa wanapigwa mistari sana na manzi wa enzi hizo. Hawa Wanawake wanaotongozaa sijui wameishia wapi, yaan tokea nitongozwe...
  6. ngara23

    Uokoaji katika majanga Tanzania ni changamoto, sio leo toka zamani

    Tujikumbushe ajali na Watanzania wenzetu walivokufa kutokana na uzembe wa taasisi ya maafa na uokoaji 1. Ajali ya Meli MV Bukoba kuzama Hii ajali ilikuwa maelefu ya watu. Na ajalie ilitokea karibu na bandari ya mwanza, na meli ilizama Vyombo vya uokoaji havikutoa msaada 2. Mv Spice Zanzibar...
  7. Yoda

    Kwanini Wakristo na Waislamu wa zamani walichukulia utumwa kama jambo la kawaida ni sio uovu?

    Wakristo na Waislamu waliomiliki watumwa kabla biashara ya utumwa haijakomeshwa walikuwa watu wema wa dini zao au waovu watakaochomwa moto? Kwa nini inaonekana watu wa hizi dini kubwa mbili walikuwa wanachukulia utumwa kama jambo la kawaida tu hapo zamani? Hawakuwa na utashi(conscience)??
  8. PSL god

    Nifanyeje sex hainisisimui kama zamani

    Sijui siku hizi nimekuwaje wakuu. Yaani ngono hainipi ule utamu niliokuwa naupata zamani kwanzia 2023 kurudi nyuma yaani kwanzia mwezi wa 10 hadi huu wa 11 nimesex mara 22 lakini niliyoifurahia ni hizo 1-4 basi kwanzia 5-22 ile raha ya mshindo na mwili kusisimka sina kabisa asee sasa sijui ni...
  9. R

    Zamani nilidhani wasaidizi wa Rais ni most senior officials hadi pale nilipoona wanateuliwa kuwa wakurugenzi na wakuu wa Wilaya

    Hapo zama za kale niliamini kwamba unapoteuliwa kuwa msaidizi wa Mh. Rais basi wewe umepanda cheo na ni kiongozi mkubwa sana kwenye mfumo wa utumishi wa umma. Mabadiliko yaliyowaondoa Ikulu akina Zuhura na Magoti sambamba na wengine wengi yamenifanya nibadili fikra kwenye hizi nafasi za umma...
  10. Magical power

    Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika.

    Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika. Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la mwanadamu. Bara hili limekuwa makaazi ya falme nyingi na pia lililopoteza watu wake wengi kupitia biashara ya watumwa. Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la...
  11. REJESHO HURU

    Kiukweli huyu mchezaji wa soka zamani Alphonce Modest anahitaji msaada

    Unaeweza tazama maswahibu anayopitia Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania na vilabu vya Mtibwa Sugar, Pamba, Simba na Yanga. Hapa tunamzungumzia, Alphonce Modest, beki aliyesifika kwa kukaba kwa nguvu na akili, kupandisha timu kwa kutengeneza mashambuliaji na kupiga krosi...
  12. Damaso

    Waimbaji wa Nyimbo za Dini za Zamani Walikuwa na Ujumbe Zaidi Kuliko Sasa

    Muziki wa injili umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakilinganisha nyimbo za injili za zamani na za sasa, huku wakidai kuwa nyimbo za zamani zilikuwa na ujumbe wenye nguvu zaidi na wa kina kuliko hizi za sasa. Je, madai haya yana...
  13. Yoda

    Kwanini mkojo ulifanywa najisi na dini za zamani za Mashariki ya kati?

    Kwanini vitabu vya dini za zamani viliamua mkojo na hedhi kuwa vitu najisi? Mkojo una tofauti gani na jasho? Kwa nini mkojo ni najisi wakati jasho sio najisi? Kuna tatizo gani mwanamke akienda katika ibada katika siku zake kama amevaa pedi ?
  14. Caps Lock

    Asilimia kubwa ya wanawake kwenye baa kwa sasa wanajiuza, zamani ilikuwa tofauti

    Wakati nilipokuwa shuleni sekondari o-level enzi hizo pale Tanga Tech, japo ilikuwa ni bweni na ukali wa head master Mr Teti, mara kadhaa mimi na marafiki zangu tuliweza kutoroka na kutinga sehemu za starehe kama Raskazone Beach ama club LacasaChika kwa ajili ya kuburudika kimziki. Huko...
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Zamani kusoma shule ilikuwa uwe na moyo wa kipekee sana. Pitia kisa hiki

    Bwana awe nanyi nyote. Hii story ya kweli itaangazia hasa maisha ya Kanda ya Ziwa especially sukuma tribe. Wakuu huu ni ukweli na nitaungwa na Kila aliyeishi Kanda ya Ziwa usukumani miaka hiyo kuanzia miaka ya 1980 hadi2005(2005 kurudi nyuma) Ili usome na kumaliza la Saba lazima uwe na...
  16. Ze Heby

    TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti. Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe...
  17. E

    Natafuta gari ambayo ni ya zamani ila haijachoka au kutumika sana

    Popote ulipo mrembo mwenye miaka 26-30 , isiwe single mother Nimechoka kuishi peke yangu karibu tusaidiane maisha uwe mke wangu Uwe wewe au una mdogo wako au rafiki yako mjulishe taarifa hii
  18. O

    Mendy asema alikopeshwa pesa na wachezaji wenzake wa zamani wa Manchester City

    Beki wa zamani wa Manchester City Benjamin Mendy anasema alikopeshwa pesa na wachezaji wenzake wakati huo Raheem Sterling, Bernardo Silva na Riyad Mahrez wakati klabu hiyo ilipoacha kumlipa baada ya kushtakiwa kwa ubakaji na unyanyasaji wa kingono, aliiambia mahakama ya ajira. Beki huyo wa...
  19. kwisha

    Hivi manabii wazamani na mitume wa zamani walikuwa waarabu au wayahudi?

    Kuna kitu nashindwaga kuelewa kuhusu manabii na mitume wote wazamani Ukisikiliza ndugu zetu waislam wanasemaga manabii wengi walikuwa waarabu Mfano ni video fulani ambayo niliona kwenye YouTube Chanel ya kislam inasema manabii wengi walikuwa waarabu Kutokana na video hiyo ni ivi Adam ( sir...
  20. Wauzaji wa containers

    Zamani ilikuwa Ruge sasa hivi Diamond

    Wasaninii Watanzani zamani walikuwa wanamtegemea Boss Ruge awape show na kila kitu Sasa hivi diamond ndo amebakia Kuna jamaa rafiki yangu ni msanii mkubwa wa Gospel alinambia kuwa diamond hadi show za gospel ili upate unabidi kuwa karibu yake. Ndo maana mmeona wasanii ambao wako mbali na...
Back
Top Bottom