zanzibar

  1. Wauguzi wa Hospitali ya Mwembeladu Zanzibar wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi baada ya Mama kujifungulia chooni

    Wauguzi katika Hospitali ya Wazazi Mwembeladu Zanzibar wamesimamishwa kazi kwa muda wa wiki mbili ili kupisha uchunguzi kufuatia mama kujifungulia mtoto chooni baada ya kupata uchungu akiwa hospitalini hapo kwaajili ya kujifungua. Hata hivyo inadaiwa kuwa akiwa hospitalini hapo wauguzi wa zamu...
  2. Nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni ipi, Kwanini Rais wa Zanzibar awe Msaidizi wa Rais Samia?

    Wataalam wa Masuala ya Protokali na Katiba ya Nchi tunaomba Maelezo yenu ili tuelewe, Siku tutakuja kuambiwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake au Kizimkazi Kamwakilisha Rais Nchi Fulani. Ikiwa Makamu wa Rais wa Tanzania yupo na ni mzima wa Afya, inakuwaje mtu asiye na cheo chochote Tanzania...
  3. Zanzibar: wasichana wanaodaiwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile kukwepa kupata ujauzito, wanastahili adhabu Kisheria

    Wakili na Mwanasheria wa Jeshi la Polisi nchini Kamisheni ya Zanzibar, Sadik Ali Sultan amesema wanaokubali kuingiliwa kinyume na maumbile wana makosa kwa mujibu wa sheria na wanastahiki kushtakiwa na kufungwa kutumia adhabu ya makosa yao. Akitoa elimu ya kupinga vitendo vya udhalilishaji huko...
  4. P

    Tanganyika ndiyo iliyoiharibia uchumi na amani Zanzibar

    Zanzibar pasingetokea mapinduzi ambayo yaliyoasisiwa Tanganyika na wakubwa na kumfanya Rais Amani Karume akubali Muungano kwa shingo upande, basi leo hii Zanzibar ingekuwa na uchumi mkubwa pamoja amani lakini Leo hii Zanzibar inatia huruma. Kila kitu kinaamuliwa kutoka bara,kuanzia Rais wao...
  5. FAWE Zanzibar, UN Women Empowering Women to Achieve Rights and Economic Justice

    By JF Senior Member IN efforts to ensure that Tanzania successfully implements the four goals of achieving a Generation Equality program, the Forum for African Women Educationalists, Zanzibar (FAWE Zanzibar) empowers women in Zanzibar to overcome economic barriers. In collaboration with UN...
  6. Zanzibar watamkumbuka sana Magufuli kwa kuwapatia Rais Bora

    Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya. Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana...
  7. M

    Chelsea lkutangaza utalii Zanzibar

    Klabu ya soka ya Chelsea inayoshiriki michuano ya ligi kuu ya Uiengereza imechukua jukumu la kukuza utalii wa zanzibar ambapo mabingwa hao wa ligi kuu ya uingereza wanatarajiwa kuanzisha shule ya kuibua vipaji visiwani hapo . Hayo yamebainishwa katika kikao kati ya rais wa Zanzibar Hussein...
  8. Pre GE2025 Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

    Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata...
  9. Mringanisho wa Mafia Island Vs Maldive Island

    Hapa ni uringanisho wa Kisiwa cha Mafia na Maldives. Ukumbwa Mafia -435 KM2 maldive -300 KM2 UCHUMI MALDIVES -6 Billion za kimarekan MAFIA -0 (no data/Hawajafanya tathmin) SHUGHULI ZA UCHUMI MAFIA-Utalii Maldives -Utalii Tanzania inashindwaje kukifanya kisiwa cha mafia kama maldive wakat...
  10. S

    Miradi inayofunguliwa Zanzibar na kukamilika ni Mingi kuliko Tanganyika kuanzia 2020s

    Kama upo makini na ufatiliaji wa maendeleo ya Tanzania basi utagundua kwa hiki kipindi ni kama kuna uzinduliwaji na ujengwaji wa miradi Mingi kwa kasi upande wa Unguja na Pemba nitainisha kwa kutaja sekta nne katika Mengi yaliyofanywa Na Raisi wetu Mpendwa Dkt. Hussein Mwinyi. Kuna miradi Mingi...
  11. Yanga kwenda kucheza CAF champions Zanzibar, JKU na UHAMIAJI wamekataa kuchezea Zanzibar, Kuna nini?

    Timu za JKU na UHAMIAJI ni timu za Zanzibar kindaki ndaki kuliko Yanga. Hatukuelezwa kwanini JKU na UHAMIAJI hawakutaka mechi zao za mashindano ya CAF wachezee Zanzibar, lakini Yanga wanataka kwenda kucheza CAF championship mzunguuko wa pili Zanzibar. Kuna nini hasa hapo? Ufafanuzi...
  12. Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba Tundu Lissu ambaye Rais amempa jina Hilo

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  13. Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba aliyeitwa Tundu Lisu na Mhe. Rais Samia.

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  14. Zanzibar wana Kizimkazi, Bukoba ina Nyamukazi, wahaya hatujawahi kuchelewa

    Sio sifa, ila ndio ukweli, Bukoba ina Nyamukazi, inabidi na yenyewe iandaliwe tamasha. Munyegere
  15. Tanganyika imezikwa kwenye kaburi la Muungano, haiwezi kuvaa koti la Muungano

    Kuna wakati huwa nashangazwa Sana na mawazo ya baadhi ya wazanzibari wanapoona kuwa Tanganyika inafaidika zaidi na Muungano kati yake na Zanzibar, kuliko Zanzibar inavyofaidika na Muungano huo. Wazanzibari hao ndiyo waliobuni msemo wa "Tanganyika imevaa koti la Muungano" kumaanisha kuwa...
  16. Benki ya Biashara Tanzania (TCB) yasisitiza kuendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo visiwani Zanzibar

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa kizimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii, umoja na mshikamano katika tamasha la Kizimkazi linaloendelea kufanyika visiwani Zanzibar. Benki imeendelea kusisitiza dhamira...
  17. K

    Wizara ya Nishati yashiriki Tamasha la Kizimkazi Zanzibar

    WIZARA YA NISHATI YASHIRIKI TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR 📌 Yatoa huduma moja kwa moja kwa Wananchi kupitia Taasisi zake 📌 Nishati safi ya kupikia, yawa ajenda ya kuvutia Zanzibar. Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake leo Agosti 21, 2024 zimeshiriki katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi...
  18. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha. Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional...
  19. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na historia ya Mongolia na China

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na somo la Wamongol kuwatawala wachina na baadae wao kutawaliwa mpaka leo. Pale ambapo jamii moja ya watu hufurahia kuwatawala jamii nyingine ya watu kikoloni katika eneo lao kwa tafsiri ya Muungano jamii tawaliwa pale itakapo twaa madaraka maumivu ya...
  20. Huu muungano usipodhibitiwa mapema atakuja mtawala mwenye hasira na kuifuta Zanzibar au Bara yote!

    Hello! Neno bara nimeliweka tu kwakuwa halina mbadala ila kwa ukweli neno bara halipo kimamlaka. Kwa muda mfupi tu tumeona maeneo kadhaa yamefutiwa authority. Hatujaambiwa kwamba yamefutwa ili yaundwe upya, yamebadilishwa majina au yameunganishwa na maeneo mengine. Mfutaji ni Waziri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…