Samaleko..
Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu.
Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula bata kwa muda wa mwezi mmoja maeneo kama Kendwa, Nungwi, Kiwengwa au Paje basi unaweza kumudu kukaa...