Salaam,
Kuna kero kubwa sana kwa shirika la umeme Zanzibar (Zeco) maeneo ya shamba hasa Nungwi, Paje, Jambiani, Kendwa nk umeme ni mdogo sana baadhi ya maeneo kiasi kwamba ni kama tunaishi zama za kale, umeme mdogo mpaka unazima kuna wakati mnaweza mkalala usiku mzima hakuna umeme sio kwamba...