"Mimi ni mkulima wa zao la pamba kwa muda mrefu, nikianza na kilimo cha hekari mbili hadi tatu. Naishukuru sana serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kutupa kipaumbele sisi wakulima wa pamba kupitia upatikanaji wa mbegu bora, dawa za kupulizia pamona na mitambo inayotusaidia katika shughulo za...