Naamini muwazima wa afya, awali ya yote niwapongeze wote mliobahatika kupata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Hiyo ni haki yenu kwani vigezo na sifa za kupata mkopo umevitimiza. Pia poleni kwa wote ambao hamjapata mkopo, pia nanyi vingezo na sifa naamini mnavyo...