Habarini Wadau na Poleni na Upepo wa Corona.
Nahitaji kufungua kampuni itayodeal na financial services.
Hivyo naomba jina zuri ili niweze kulitumia.
Zawadi ya elf 10000 itatolewa kama zawadi.
Happy valentine watu wote. Ile itikadi ya kuwapelekea maua pekee bila zawadi imepitwa na wakati. Wanawake wa Tanzania kitu pekee kinachowafaa ni hela, Maua hayatatui shida zao
Nionavyo mimi tatizo kubwa la Kenya ni ukabila. Lengo kuu la BBI Bill ni kupunguza ukabila Kenya kwa kumfanya Rais wa nchi asiwe lazima awe Mkikuyu au aungwe mkono na wakikuyu. BBI inaelekea huko.
Si ajabu mwaka 2022 kwa mara ya kwanza mjaluo akawa rais wa kenya.
habari wadau wote wenye changamoto za kimaisha..
Vijana wengi kitaani tunapitia hali ngumu.. hii imenifanya niimbe wimbo wa kutuliwaza nimelimiss Bumu..
naombeni maoni yenu wapi nimekosea na wapi nimepatia
heri ya mwaka mpya
Habari zenu ndugu zangu, hopefully mpo salama,heri ya Christmass.
Kama tunavyofahamu binadamu wote tunapenda kupewa zawadi kutoka kwa wapendwa wetu,zawadi zinafanya mtu ujisikie Bora Sana, mwenye kupendwa na kujaliwa,katika msimu huu wa sikuu labda umepokea zawadi au kipindi chochote kile Cha...
Natumai usiku wenu kwa sasa ni mzuri,wengine wanafanya maandalizi ya kupiga game ili Walale wakiwa wamekumbatiana..😊😊wengine haijulikabmni kama wako kitandani au uwanja wa mpira maana kila mtu kageukia upande wa dunia yake visirani na gubu vimetamalaki😁😁..wengine ndo kama sisi tu naona...
2020 ulikua ni mwaka wenye majaribu mengi sana. Kiuchumi huu mwaka umechapa sana, wakazi wa Arusha, Bagamoyo na Zanzibar wanaweza toa ushuhuda.
Nililojifunza mwaka huu kumbe mask kwa kiswahili inaitwa barakoa.
Wewe ni msimamizi mzuri na ukiamua kitu kinafanyika mifano ipo hai kama Makao makuu yetu kuhamia Dodoma wengine hawakuamini na walifikiri ni usanii lakini sasa hivi Mji wetu Mkuu Kikatiba kabisa ni Dodoma.
Hivyo basi binafsi naamini kama Halmashauri zetu nchi nzima zikiweza kutumia sehemu ya...
Wanabodi,
Mimi ni mdau wa Total, na haya ni mambo ya Total
Way wa Total ambao ni ma Sterling watatu wa vídeo maalum ya Total The Jerusaléma Challenge, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, katikati, Meneja Mtandao wa Vituo vya Mafuta vya Total, Network...
Mchekeshaji kutoka Nigeria, Emmanuella
Mchekeshaji maarufu Nigeria na Afrika, Emmanuella Samuel ambaye sasa ana umri wa miaka 10 amemjengea mama yake nyumba ya kifahari na kumpa kama zawadi ya mapema ya Sikukuu ya Krismasi.
Emmanuella amenukuliwa akisema amejenga nyumba hiyo kupitia faida ya...
Kisa chenyewe!
"Malaika mmoja alimtokea Mtu mmoja nyumbani kwake, akamwambia maombi yake kuhusu hali ngumu yamesikilizwa na hivyo anaweza kumwambia cochote akamsaidia.
Ila kabla hajachagua kuna sharti moja tu, cochote atachokiomba JIRANI atapata Mara Mbili yake!
Yule mtu baada ya kusikia...
Kuna mwanamke wa uswazi hapa kwetu, uswazini nimetokea kumpenda.
Nikamsimamisha maeneo fulani kuongea nae, nikamtongoza, akanijibu nyodo. Sasa kwa sabu mi nampenda nataka nitumie njia ya zawadi kumlainisha.
Kwa kipato changu cha kiswazi ni zawadi gani ya bei rahisi ?
Nimewaza kuhusu vizawadi...
Ama hakika kutoa ni moyo , makamanda wa Mbarali wamemkabidhi madaftari na vifaa vingine vya shule bwana mdogo aliyelazimika kupanda juu ya mti ili kushuhudia Tundu Lissu akimwaga sera jukwaani .
Unaweza kuona kama ni jambo dogo lakini ni jambo linalofikirisha mno !
Unaweza kumsikiliza dogo...
Dunia inabadilika kila siku,binadamu amekua kiumbe hatari zaidi ingawa wenye upendo wapo na wabaya pia wapo.
Ulimwengu huu ni wa usawa na haki hivyo kila mmoja wetu anahaki ya kupata sawa sawa na wengine kulingana na nafasi alio nayo.
imekua rahisi kuonesha upendo kwa uwapendao kwa kuwatumia...
Ram Singh: Kijana alidunduliza sarafu ndani ya gunia la kilo 35 kwa muda wa miaka 12 ili aweze kununua zawadi ya Friji siku ya birthday ya mama yake.
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the...
ZAWADI NI SILAHA YA MAISHA
Na, Robert Heriel
Maandishi ya Robert Heriel Kwa Lugha ya Kiswahili.
Haki zote zimehifadhiwa.
Katika ulimwengu wa viumbe wenye utashi, zawadi ni moja ya nyenzo ya maisha. Zawadi hutolewa kwa viumbe wenye akili, utambuzi na tafakuri. Zawadi haitambuliki katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.