Binafsi ninawapongeza Vodacom, KCB, TFF, wachezaji na wadau wote walioandaa na waliopata zawadi za VPL kwa msimu wa 2019/20.
Lakini sio vibaya pia sisi wadau watazamaji, wasikilizaji na wafuatiliaji wa mpira wetu nchini hasa VPL kuzijadili zawadi na kuwajadili waliozipata.
Je, waliopewa zawadi...
Jana nilikutana na class mate wa utotoni. Tuliachana tukiwa shule ya msingi, mzee wao alistaafu walirudi kwao huko mikoa ya Bara.
Huyu rafiki alikuwa mmoja wa vipanga darasani na aliitendea haki akili yake. Ana nafasi nzuri sana huko aliko. Katika maisha yake binti aliyemuoa alitoka famila ya...
Ilibidi niende Dar es Salaam kwa kutumia Ndege kutokea Mtwara lakini nimepita hii Barabara (Mtwara- DSM) makusudi nione hali yake, hii Barabara imeharibika, 90 KM zote zimeharibika. magari yenye uzito mkubwa yameharibu hii Barabara
Barabara hii ya Mtwara - Lindi-Dar es Salaam imeharibika sana...
Viongozi wa kimila mkoani Kilimanjaro wamemuandalia zawadi maalumu Rais Magufuli pindi atakapozuru mkoani humo hivi karibuni
Mangi Marealle amesema mwaka 2015 hawakumpa Rais Magufuli kura za kutosha lakini mwaka huu wanamuahidi ushindi wa kishindo kutoka pande zote za mkoa wao.
Chanzo: ITV...
Kwema wakuu habari zenu?
Nimejaribu kuwaza tu Tulipokuwa tunasoma au kuhadithiwa shuleni, hizo story kwenye maisha ya kawaida haya tunayoishi huwa havitokei kabisa
Nimeona kuuliza maana mpaka kuandika huu uzi ni mambo mengi nafikilia natamani niwe natembea njiani nikutane na Bibi Mzee akiwa...
Wakuu pita pita zangu kule Instagram nimekutana na post ya Dulla wa planet bongo akishukuru uongozi wa East Afrca kwa kumkabidhi gari aina ya marcediz benz hii ni baada ya kukitumikia kituo hicho miaka 12.
Je, hii ni mbinu mpya East Africa redio wamekujanayo baada yakuuona watangazaji wao wana...
Ukweli ndio huu anasisitiza huyu mzee. Anasema kura inazoenda kupata Ccm zaidi ya 95% ni zawadi kwa JPM na chama cha mapinduzi.
Mfano tu kodi ilikuwa inakusanywa kwa wastani wa bil 800 lakini kwa muda wa miaka minne imefikia wastani wa tril 1.6. Hapo kwa nini wakulima na wafanyakazi wasimshukuru...
Ni jamboo moja unaweza hisi la kawaida lakini limetesa ndoa nyingi sana sana mno bila wao kuzijua. Wapo walioshtukia lakini walishapigwa sana hata amani hakuna tena ndoa src yale mabox mliokimbilia kufungua
Zawadi za harusi n jambo jema lakini kuziombea kabla ya kufungua ni bora zaidi. Watu...
Usiku wa kuamkia leo nimeota kuwa kuna mfalme mmoja katika nchi ambayo jina limenitoka, katoa zawadi ya njiwa wazuri kwa watu mashuhuru katika sherehe aliyoiandaa kwa yeye kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa (Birthday).
Nilijiuliza sana maana ya ile ndoto na baada ya kutafakari kwa kina...
Salaam Wakuu,
Kuelekea Uchaguzi mkuu, Wanasiasa wamekuwa wakivalia nguo za vyama na kisha kuzunguka huku na huku kutoa Zawadi na kudaiwa kwamba wanatimiza ahadi walizozitoa 2015.
Na hii imekuwa na pande mbili:
1). Anayetoa Msaada kama sio Mbunge au kiongozi yoyote wa Kuchaguliwa huwa...
Marais wa awamu ya Pili hadi ya Tano wamehudhuria hapa mama maria nyerere yupo hapa pia kama mke wa mwasisi wa Taifa hili
Mh Rais amewazawadia marais wastafu zawadi ya ndege tausi 25 kila mmoja pamoja na hati za umiliki wa ndege hao, mc wa sherehe anasema tunao tausi zaidi ya 2800+
Ikulu ya...
Wakuu kuna swali dogo napenda niwaulize.
Na yule wa kwanza kujibu kwa ufasaha basi anajipatia zawadi ya milioni 2.
Ngojeni kidogo simu imezima chaji..ikijaa nakuja kuwauliza
Niliwawahi andika miaka hii haya mashindano ni ya kitapeli
Wapo waliodhihaki
Nenda mtandao wa salehe jembe usikie mwenyewe mshindi wa enzi hizo Kayumba na zawadi alizopata.
1) Anasema wazazi walipewa mil 2 tu
2) Aliletewa gari ambalo alikuwa jipya nakuwambiwa utakuwa ukitumia
3) Alipelekwa...
Hivi mwanamke unaemfukuzia kukuletea zawadi siku yako ya kuzaliwa na huku wewe mwenyewe haujui kama ndo siku hiyo, kisha ukimuomba mzigo anazingua na hataki kusikia kitu kama hicho inamaana gani?
Kila ukijaribu kula mzigo kimasihara anachomoa, geto hatokei na hataki kusikia habari yoyote...
Niko kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana kwa mara ya kwanza masomoni UBELGIJI miaka 6 iliyopita, nilimpenda sana na kwa kweli tuliishi nae mda mrefu bila kukwichikwichi kutokana na misimamo yake... Huyu mdada kwetu anajulikana na kila ndugu wa karibu na hata kwao najulikana na wote...
Habari zenu wanajamvi. Sijui ni mimi tu au wapo wenzangu ambao tangia waanze kuwa na mahusiano hawajawahi kununuliwa hata peremendi tu na wenza wao.
Mke wangu mimi ni house wife (though anajifundisha kazi za amali now) so simlaumu sana na yeye amewahi kuniambia anatamani kuninulia japo shati...
Msanii wa Kimataifa kutoka Tanzania alipata nafasi kutembelea Museum ya FIFA pale Zurich. Msanii Diamond ametua Uswizi mahususi kwa ajili ya show yake ambayo ameipa jina European Tour.
Baada ya kuingia Museum ya FIFA amepewa zawadi ya kikombe kidogo pamoja na jezi yenye jina lake Platnumz no 9...
Ulishawahi kukutana na hali hii? Yaani unanmtongoza KE,anakukataa kwa maneno makali na kashfa,unajiondokea maeneo hayo kwa aibu na fedheha,inapita siku,wiki,mwezi na hata miaka.Anakua anakutazama tu huruma inamuijia,Inatokea siku moja anakukumbusha,anakupa penzi hii Ni baada kukuonea huruma.je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.