Kwema wakubwa?
Wife alisafiri kama week hivi imepita..home akaniacha mimi na dada wa kazi. Sasa me toka juzi nilikuwa silali home, nilikuwa nalala kwa mchepuko wangu flani hivi hapa mtaani. Nilikuwa narudi home asubuhi, so kumbe nahisi wife ni kama alikuwa kaweka mtego.
Leo karudi asubuhi...
Habari za muda huu waungwana wa jamiiforums.
JUNE 23, 2021: Kamanda wa Polisi kanda Maalum ya DSM, ACP Muliro Jumanne Muliro ametangaza rasmi kuwa Mtu yeyote atakaetoa taarifa sahihi zitakazowezesha Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM kumkamata Mhalifu akiwa na silaha mfano; bunduki atatoa...
Kuuwa Chadema si tu kwamba imeshindikana, Bali haitawezekana milele, kama kuna mtu alilipwa hela ili auwe Chadema basi bila shaka anapaswa kuzirejesha kwa wenyewe, au kama hayupo basi familia yake ilipishwe gharama ya utapeli wa ndugu yao.
Chadema haifi na wala haitakufa.
Hii hapa ni video...
Zawadi zake haziteketezi miti ya Mpingo (blackwood) kama kipindi cha Mwendazake ambapo alikuwa akiangusha miti kutengeneza zawadi ya vinyago kwa Marais na wageni wake.
Hiki kitu kilikuwa kinaniuma maana ilikuwa ni uharibifu wa mazingira!
VS
Ni kikapu nimezawadiwa na mama watoto katika birthday yangu lakini leo hii nimeamua kukitumia kuendea nacho ofisini kabisa.
Nashangaa why kila mtu ofisini ananitoela macho!!.
Anyway, maisha ni kuchagua.
Zawadi hii yenye maana nzito sana amekabidhiwa Mwamba Mbowe na Wazee wa Kata ya Igombe wakati wa Kikao cha ndani cha Operesheni Haki kwa majimbo ya Nyamagana na Ilemela.
Kwa niaba yangu na familia yangu nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazee wa Mwanza kwa zawadi hii kwa Mwamba Mbowe ikiwa ni...
Wakuu Kuna binti fulani wife material nimempenda Sana nimeona nijiingize na Mimi katika mahusiano mchumba nishamtongoza na sasa Bado ananifikiria fikiria kwa kuwa Bado muoga wa haya mambo Basi naendelea kusubiri na mtoto Ni bikra kabisa Hili liko wazi.(Kuna watu watabisha ila nasema ukweli...
Kila kona wanasikika Bavicha tu mara wamepeleka tende kwa wale Uamsho kwa ajili ya sikukuu mara wanasindikiza malori ya TBL yanayopeleka bia wilayani Hai, lakini wenzao wa UVCCM hawasikiki kabisa sikukuu hii.
Ni kawaida ya UVCCM kutembelea wagonjwa na watoto yatima wakati wa Eid El Fitr na...
"Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo."
-- Issa...
Jana Rais Samia kwenye uzinduzi wa kitabu cha Rais mstaafu Mwinyi, alitangaza kuwa katika pia kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Rais wetu huyo wa zamani aliyetimiza miaka 96, serikali imempatia gari [jipya?] aina ya Mercedes Benz iliyo chini [sedan] kwa sababu aliyokuwa akiitumia [nadhani ni...
Habari wadau,
Moja kati ya mada muhimu za kuweka mezani siku hizi ni kuhusu uhusiano kati ya watoto na Baba. Imekuwa kawaida kwa mama kupewa kipaumbele kuanzia ngazi ya familia mpaka jamii.
Kuna wakati taasisi fulani ilifanya tafiti ndogo ya kuwaambia wanaume waliokuwa wanafanya kazi umo...
Mchambuzi nambari moja wa soka hapa Tanzania, George Ambangile PhD amezawadiwa gari kwa mtindo wa surprise.
Ambangile ambaye amefanikiwa kuzima vipindi vyote vya uchambuzi wa soka bongo, amekuwa kipenzi cha wanakandanda kwa ustadi wake mkubwa wa kuifundisha soka redioni maana anachofanya ni...
Simulizi : ZAWADI YA USHINDI
Mwandishi : BEN R. MTOBWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
Sehemu ya 1
SHANGWE na vigelegele ambavyo viliutoka umati huu mkubwa vilipaa hewani na kujaza anga lote. Sauti za kila aina zilitamkwa kwa kila rangi kiasi
kwamba zilitoa kelele, si kelele za shangwe tena...
Simulizi : ZAWADI TOKA IKULU
Mwandishi : EMMANUEL VENANCE
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
Sehemu ya 1
Ni jumapili tulivu sana ambayo imejidhihilisha tangu jua linachoza, kwani hakukuwa hata na dalili ya wingu angani kukionekana safi na kumependeza kwa rangi ya bluu bahari.
Baada ya kutoka...
Mungu hutembea katika maagano, maagano ambayo hufanyika Kati yake na wanadamu aliowaumba akawapa thamani ya Kwanza Kati ya viumbe vyake Vyote.
Mandalio ya moyo ni ya Mwanadamu, lakini jawabu la hayo latoka kwa Mungu.
Mungu anaifahamu fika katiba Yetu, na kwamba hawezi kuruhusu kifanyike kitu...
Ndugu zangu nimebaki nimedua sielewi kwanini hili limetokea kipindi hiki. Rafiki yangu wa kike wa muda mrefu sana ameniletea zawadi ya shati na tai hii ina maana gani?
Wajuvi wa mambo naomba mkuje hapa mweleze nini maana yake.
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Wilayani Meatu mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina amemlilia aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akimtaja kama kiongozi wa mfano na kielelezo barani Afrika katika kuleta maendeleo na kushughulikia kero na matatizo ya wananchi yaliyoshindikana kwa miaka mingi...
Leo ndio nimeamini mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatokua na shida na fedha zako.
Mwanamke mmoja mkali sana ameniletea zawadi Leo, nimefurahi sana hata usingizi hauji yaani. Tena akaniambia unastahili zaidi ya hivyo, nimebaki mdomo wazi.
Bado nawaza aise.
Nilichojifunza wanaume...
Mnamkumbuka yule mzee aliyempa Magufuli zawadi ya Jogoo kule Kilwa? Mzee Shaweji Kimbwembwe amepanda basi kutoka huko kijijini kwao kuelekea Dar ili apate fursa ya kumuaga Rais Magufuli.
Alimpa Rais Magufuli Jogoo baada ya kuelezea kadhia ya huduma hafifu za afya katika eneo lake la Somanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.