zawadi

  1. Aliko Musa

    Naomba utushirikishe mbinu wanazoweza kutumia waliojiriwa kumiliki nyumba ya kwanza

    Habari, Naitwa Aliko Musa. Ninaishi mkoani Mbeya. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi kuhusu uwekezaji katika ardhi na majengo. Mejesho kutoka kwa wasomaji wa makala zangu kwenye mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG umeonyesha wengi hushindwa kumiliki ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali...
  2. MSAGA SUMU

    Hotel kutoa zawadi ya mil 1 kwa couple itakayovunja kitanda siku ya Valentine

    Dunia haikosi vituko, Hotel Moja jijini Mwanza imesema itatoa zawadi ya sh milioni 1 na kugharamia gharama zote kwa siku tatu kwa couple yoyote itakayovunja kitanda cha hotel hiyo siku ya valentine. Wazee wa show za kibabe hii fursa imekaaje?
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Kanikatalia ila nimempa zawadi ya chupi kapokea

    Kwema wakulungwa? Kuna kabinti shemeji yangu niko naye karibu sana. Mishe zake zote ananiambia na mimi ndiye mshauri wake mkuu. Kila nikitupia nyavu kimasihara anagusia kuwa anamwogopa dada yake. Majuzi nikamfungukia live akaniambia no. Hataki kumuumiza dada yake. The next day nikampelekea chupi...
  4. GENTAMYCINE

    Haya 'Wachezaji' wa Coastal Union FC 'fungweni' leo na Yanga SC muikose hii Zawadi (Bingo) na muwe 'Masikini' mpaka 'Kufa' Kwenu

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo. Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo (mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 10 wakiifunga Yanga SC...
  5. aka2030

    Kwanini rais Mwinyi hakuwa na furaha wakati anawakabidhi zawadi simba?

    Tazama sura yake
  6. Frumence M Kyauke

    Je, Diamond Platnumz kapata jiko? Akiri kupokea zawadi ya thamani kutoka kwa mkewe

    Je, Simba kapata windo lingine? Huenda nyota wa Bongo Naseeb Abdul Juma almaarufu kama Diamond Platnumz ana mke wa siri. Matamshi yake ya hivi majuzi alipokuwa anarekodi video ya wimbo 'Unachezaje' yamezua mjadala mkubwa mitandaoni iwapo mwanamuziki huyo amenyakua kipenzi kipya. Katika video...
  7. FaizaFoxy

    Mzee Ali Hassan Mwinyi atunukiwa zawadi kwa kuutumikia Uislam

    Ma shaa Allah. Mzee Mwinyi anazidi kupaa.
  8. kavulata

    #COVID19 Krismasi tuziwapelekee wazazi Covid -19 kama zawadi

    Wakazi wa mijini msilaumiwe kwa kuwaua wazazi wenu kwa kuwaambukiza ugonjwa wa Covid 19. Wazazi wetu ni wazee ambao hawakuchanja korona, hivyo rahisi sana kupata maambukizi ya corona Na mafua makali. Kama sio lazima sana usiende kijijini, baki mjini kwa maslahi ya babu na bibi zako.
  9. Camilo Cienfuegos

    Arusha: Wakuu wa Shule ambao Shule zao zimefanya vibaya kitaifa wapewa vinyago vya sokwe

    Kama kuna kada inajua kudharauliwa basi ni ualimu. Wakuu wa Shule katika halmashauri ya Arusha Dc wamepewa vinyago vya nyani ili kuongeza kiwango cha ufaulu baada ya shule zao kufanya vibaya katika mitihani ya kitaifa ya kidato cha 2, cha 4 na cha 6 mwaka jana. Hii imekaaje kitaalamu?
  10. H

    Tumpe zawadi iliyo bora Freeman Mbowe

    Kwanza hongereni sana wale majasiri wote wa CHADEMA wanaofanya kazi takatifu ya kuwapa elimu wananchi juu ya haki yao ya kuwa na katiba bora itakayolenga kulinda haki zao. Mheshimiwa Mbowe, yupo ndani kwa sababu ya kuongoza mapambano ya kupata katiba mpya. Waliomkamata Mbowe na kumfungia huko...
  11. Idugunde

    Wanawake wa kibongo wanapenda zawadi za vitenge

    Ukitaka mtoto wa kiTz akukubali kwa nguvu zote we mpige kitenge. Hasa lile wax la p3 hapo utakuwa umemuweza. Mbususu na mabusu utapewa kama yote. Sijajua kuna nini kwenye vitenge mpaka akina dada na akina mama wanakuvibali kwa namna hii.?
  12. M

    Hivi Kiungo Zawadi Mauya Kuitwa Taifa Stars kumezingatia Ufundi au ni Kubalansi tu Usimba na Uyanga wetu ndani ya Taifa Stars?

    Kwanini asingeitwa Himid Mao Mkami au Said Ndemla au Majogolo au Salum Aboubakary kuchukua nafasi ya Kiungo Punda Muzamiru Yasin Said Selemba na akaitwa Kiungo Mbovu na Mvivu Zawadi Mauya kutokea Yanga SC? Kwahiyo Mauya ameitwa Taifa Stars kwakuwa aliifunga Simba SC mwaka huu au? Huu Usimba na...
  13. demigod

    Kuna pengo kubwa sana la Zawadi Mauya Taifa Stars

    Yule dogo Nivatus ni Mzuri ila anahitaji kuoneshwa namna mpira unaotakiwa kuchezwa. Na mtu pekee hapa Tanzania mwenye uwezo wa kumfundisha mpira dogo Novatus ni Zawadi Mauya. Pia pengo la zawadi Mua limeonekana kwa kuwa ni aina a mchezaji ambaye hakatiki pumzi kama Mzamiru Yasini. Ombi langu...
  14. Analogia Malenga

    Askari waliopambana na Hamza wapewa zawadi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ametoa zawadi ikiwemo fedha na vyeti kwa maaskari polisi walioshiriki katika tukio la kupambana na Hamza aliyezua taharuki karibu na zilipo ofisi za ubalozi wa Ufaransa Dar es Salaam Agosti 25 mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa leo Septemba 20...
  15. M

    Je, hii Tunu (Zawadi) ya Unafiki tuliyonayo Watanzania wengi haiwezi pia Kujumuishwa katika Vivutio vipatikanavyo Tanzania?

    Kabla ya Simba SC kucheza na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zilikuwa ni.... "TP Mazembe ya sasa hivi ni mbovu mbovu na Simba SC imejitafutia Timu mchekea ili ishinde kirahisi" Baada ya Simba SC kufungwa na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zimebadilika ghafla na kuwa.... "Hii sasa ndiyo TP...
  16. tpaul

    SoC01 Jinsi zawadi za shindano la Stories of Change zinavyoweza kubadili maisha ya washindi

    Uongozi wa mtandao maarufu wa Jamii Forums (JF) umebuni shindano la Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change) kwa wanachama wake. Awamu ya kwanza ya shindano hili itaanza Julai 14 hadi Septemba 15, 2021. Zawadi zilizotangazwa kutolewa ni kama zinavyoonekana kwenye kielelezo...
  17. Ethan Cruz

    Mambo ya kuzingati wakati unamnunulia msichana zawadi

    MAMBO YA KUZINGATI WAKATI UNAMNUNULIA MSICHANA ZAWADI 1. Vyema ufahamu aina gani ya zawadi msichana hupendelea. Yaani inafaa ujue interest za msichana wako. 2. Zawadi utakayompatia isiwe chakula au kinywaji atakachokimaliza na isibaki kumbukumbu ya kudumu kuwa uliwahi kumpa zawadi. Jiahidi...
  18. green rajab

    Unapopewa zawadi na mpenzi wako jiulize una mapungufu yapi?

    Wakuu habari za weekend, Leo nakuja na ushauri au maoni yangu juu ya uhalisia wa zawadi tunazopokea toka kwa wapendwa wetu tuwe tunazitafakari kwa upande wa pili. Namaanisha unaletewa Pafyumu au body spray jua kabisa unaharufu mbaya inayomkera mwenzio ila kashindwa namna ya kukwambia na hataki...
  19. mwengeso

    Madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mjadala ulioshika kasi nchini ni madai ya Katiba mpya, hasa kutoka vyama vya upinzani. Naweka bandiko hili baada ya kusoma michango wa ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza. Nanukuu baadhi ya michango yake: Hoja ya...
  20. M

    Hivi like goli la Yanga juzi Simba walijifunga au lilifungwa na Zawadi?

    Kwanza tuwapongeze Yanga kwa ushindi wa juzi ni furaha saaana kumfunga Bingwa mtarajiwa kwa Mara nne Mfululuzo, pia Robo finalist wa Klabu Bingwa wa Afirka, aliyewafunga finalist wa Mwaka huu Kaizer Chief na Al Ahl. Turudi kwenye mada, hivi lile goli la Utopolo, ambalo Zawadi alipiga shuti...
Back
Top Bottom