zawadi

  1. Msanii

    PhD za zawadi kwa viongozi wetu wakuu

    Ninaweka mtazamo wenye mjadala ndani yake. Ninawaomba wananzengo msiugeuze mjadala kuwa eneo la dhihaka bali tuliangalie hili jambo kwa macho mawili. Baba wa Taifa pamoja na kuwa busy sana kuliko waliomfuatia aliweza kuandika hotuba zake na hata kuchapisha vitabu vingi kuliko marais wote...
  2. TECNO Tanzania

    Zigo la Disemba limeachiwa

    Tunapoelekea kumaliza mwaka Kampuni ya simu ya TECNO tumetambua umuhimu wa msimu huu wa sikukuu na tumewaletea promotion kabambe kwa ajili ya wateja wetu wote ili waweze kumaliza mwaka na tabasamu kwenye nyuso zao. Tumelileta Zigo lao la Disembe likiwa limesheheni zawadi za kutosha kwa ajili ya...
  3. TECNO Tanzania

    Kila mechi na mshindi mmoja wa simu mpya

    Heka heka za kombe la dunia zikiwa zina endelea na nyuso za watu zikiwa zimejawa na furaha wakati huu wakiangalia timu zao pendwa zikiwa zinacheza soka safi. Kampuni yenu pendwa ya TECNO ambayo tunamiliki simu janja zinazo uzika sana mtaani tume amua kuendeleza furaha za wateja wetu kwa kuja na...
  4. BARD AI

    China yaikabidhi Zimbabwe 'zawadi' ya jengo la Bunge

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesifu uhusiano "bora" na kati ya nchi yake na Uchina alipotoa kwa mara ya kwanza hotuba kwa Taifa katika jengo jipya la Bunge lenye thamani ya mamilioni ya dola ambao China imelitoa kwa taifa hilo kama Zawadi China ilifadhili na kujenga jengo kubwa la Bunge...
  5. MINESOPOTAMIA

    Shukrani kwa zawadi ya marafiki

    Kuna wakati katika haya maisha unaweza kukutana na changamoto ikakutesa kwa kipindi kirefu, ila siku moja ukakutana na mtu akakutoa kwenye changamoto hiyo kwa kipindi kifupi sana. Tiririka hapa kuonyesha thamani kwa marafiki ambao wamesimama nasi kuliko hata ndugu.
  6. MakinikiA

    Wakati sisi tukisema zawadi ni ndogo kwa shujaa Majaliwa, baba aibuka na kusema zawadi ni ya familia

    Nilivyosema Majaliwa ni mwanangu watu walibisha, kinachoingia katika familia ni cha familia - Baba Majaliwa "Mimi na Mama Majaliwa tumetengana kwenye mambo ya ndoa lakini tupo pamoja sana hayupo mbali na mimi na mimi sipo mbali naye kwenye masuala ya familia tunashirikiana kupanga mambo ya...
  7. GENTAMYCINE

    Serikali kama mmeweza ku-mobilize Pesa ya kumpa zawadi muokoaji Majaliwa ikapatikana, kwanini msifanye ya kununua Vifaa vya Uokoaji Majini?

    Hongereni sana Serikali ya Tanzania (chini ya CCM) kwa kupata Credits kwa Watanzania wengi (japo siyo Wote) walio Goi Goi (Mazuzu) kwa Kitendo chenu Watendaji Wakuu (hasa Premier Majaliwa na RC Chalamila) cha kufanya Mobilization ya Kufa Mtu mpaka Pesa za Kumzawadia Muokoaji Majaliwa...
  8. GENTAMYCINE

    Serikali hongereni kwa kukwepa lawama ya uokoaji manusura wa Ajali ya Bukoba kupitia kupewa zawadi muokoaji Majaliwa

    Naona hivi sasa Watanzania (Waswahili) kama kawaida yao wameshahama katika Kuizungumzia Ajali na Mapungufu yake na sasa 97% ya Waswahili (Watanzania) wapo katika Kumzungumzia na Kumzawadia Muokoaji wa Taifa Dogo Majaliwa. Taifa lenye Watu (Raia) makini kamwe hawawezi Kushadadia na Kufurahia...
  9. GENTAMYCINE

    Kutoa Zawadi Kwa Mtu 'Unprofessional' Hadharani ni ku 'demoralize' wale 'Professionals’' walioko

    Hili Kosa msije mkalirudia tena kwani lina Madhara makubwa kwa Mzawadiwa na Watendaji Wahusika atakaowakuta na Ufanisi mzima kwa Maafa yajayo. Watu wenye akili wangelifanya hili kisiri Ili kutoonyesha kuwa wenye Fani yao si Mali Kitu (Watu Goi Goi) tupu ili kutomjengea Kinyongo Mzawadiwa wa...
  10. Nyenyere

    South Africa wanavyotunanga kwa zawadi ya shujaa Majaliwa

    Nilikuwa napita Twitter nilichokutana nacho mpaka ninechoka kabisa. Zawadi ya shilingi milioni moja inachukuliwa kuwa ni mzaha wa karne hii. Soma mwenyewe: Source:
  11. MakinikiA

    Zawadi aliyopewa Majaliwa (Shujaa) inaakisi alichofanya? Je, inahamasisha sisi wengine kufanya alichofanya?

    Salama wandugu, Mimi nimefikiria kuhusu hii Tanzania nabaki nasikitika tu,niannze na watu walionusurika najua huko mliko mnafanya ibada za kushukuru, na wengine mnakata keki.Nawaomba kwa uwingi wenu changeni pesa ya kupata nyumba au boti la uvuvi mpeni huyu kijana aliyewaokoa he unajisikiaje...
  12. Equation x

    Ni zawadi gani nzuri, inayoweza kumfurahisha na kumuachia kumbukumbu ya furaha mkeo/mumeo aliyepitia changamoto kali kipindi cha nyuma?

    Nawaza zawadi ya kumpatia mke wangu kama 'surprise' tu, kutokana na changamoto alizopitia mwaka jana, mwezi kama huu, mpaka ikafikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi. Alifiwa na mzazi wake aliyempenda sana; aliyekuwa akimuuguza muda mrefu. Kabla ya mzazi wake hajafariki, ndani ya wiki mbili...
  13. youngsharo

    CHALLENGE: Uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi unapata zawadi

    Jamani tuchangamshe ubongo kidogo, uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi kuna zawadi ya vocha unapata. Kwahiyo jitahidi kuuliza maswali rahisi ili watu wakupe majibu sahihi, wakikosa ujue nawewe umekosa vocha. Naanza mimi kuuliza; 𝗕𝗶𝗻𝗮𝗱𝗮𝗺𝘂 𝗮𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗰𝗵𝗼 𝗺𝗮𝗻𝗴𝗮𝗽𝗶?
  14. Dr. Zaganza

    Part 2: Ukikaribia Miaka 40 Utagundua Vingi mojawapo ni kuwa Zawadi kubwa Zaidi ni kujaaliwa Akili na kuijaza maarifa sahihi

    Moja ya misafara nilojifunza vitu vikubwa ndani ya muda mfupi , ni huu msafara niloamua kwenda kutalii Falme za kiarabu. Nilianza Sharjah, huko nikakuta ni magodown ya bidhaa used yamejaa. Nikaenda Abuu dhabi kule ni makazi ya matajiri wa kiarabu na ndiko balozi za nchi mbali mbali ziliko...
  15. L

    Rais Samia ni zawadi kwetu Watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu

    Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema, Rais Samia amejitoa na kujitolea kwa moyo wake wote kututumikia Watanzania kwa dhati ya moyo wake. Ni kiongozi ambaye mawazo yake yapo katika kuona kila siku walau maisha ya mtanzania mmoja au kundi la watanzania linainuka kiuchumi, wakati Mtanzania...
  16. BARD AI

    Tsh. Bilioni 11.5 bado zinamsubiri mwenye taarifa za Joseph Kony

    Kupitia taarifa ya Mpango wa Tuzo za Uhalifu wa Kivita, Marekani imewahimiza wananchi kutoa taarifa muhimu zitakazowezesha kukamatwa kwa Kony anayesakwa kwa zaidi ya miaka 15. Joseph Kony na wanamgambo wake wanatuhumiwa kuwateka nyara watoto na kuwatumia kama wapiganaji na watumwa wa kingono...
  17. Mwachiluwi

    Hii ndiyo sababu iliyonifanya hata nikienda kumtembelea ndugu yangu sibebi zawadi

    Za usiku siku imeendaje? Ilikuwa hivi nilikuwaga nakaa mkoani basi nikaenda kumtembelea binamu yangu nilikuwa natokea Mtwara nikanunua korosho nimpeleke zawadi nikampa nilipo fika sasa nikiwa najianda kwenda kuoga nikasia wanaongea itakuwa kanunua buku buku wana lahisisha mamb basi nikapotezea...
  18. MK254

    Urusi yainyang'anya Syria ile zawadi ya S-300 SAM, waipeleka Ukraine maana hali noma

    Hiki kifaa kilikua kinalinda Sysria dhidi ya mashambulizi ya angani, ila sasa Mrusi kwa mapigo anayopokea Ukraine ameanza harakati za kunyang'anya wadau aliokua amewapa silaha za aina tofauti, anazirejesha ili walau zimsaidie kupunguza balaa wanazopokea.... Satellite imagery confirmed Russia...
  19. Kyambamasimbi

    Simba Queens wanajua jamani wanastahili zawadi

    Hakika wanastahili sijui zawadi gani lakin uongozi was Simba angalieni lakini iwe fundisho kwa club ya simbamen
  20. M

    Anadai leo ni girlfriend day anataka zawadi

    Mtatuua yaani asubuhi asubuhi naamshwa na text ""baby leo ni girl friend day naomba zawadi"" Tangu nizaliwe ndio leo naisikia hii siku, kumbe ipo kweli nimeingia mtandaoni nimeikuta. Sasa huyu bibie ana sherehe kadhaa kwa mwaka na zote zinataka zawadi, valentine day, girlfriend day, women...
Back
Top Bottom