Hizi ni chemsha bongo tatu tu ,na atakae patia chemsha bongo zote tatu bila kukosea namba hata moja, atapata zawadi ya Vocha ya mtandao atakao taka papo hapo.
Zinaenda kwa mfumo wa maswali hivo kuwa makini, Fikiria kabla hujajibu.
SWALI LA KWANZA
Je , ukiwa ndani ya mashindano na ukampita mtu...
Wadau wa jamii naomba kujua hili,
Je, ni sahihi kumwambia partner wako kwamba una zawadi ambayo alikupatia ex wako?
Hii taarifa ni sahihi kushare na partner wako au ni bora kukaa kimya au kutupa/kugawa zawadi uliyopewa na ex?
Mara nyingi huwa unatokea ugomvi linapokuja suala la kugawana pesa ya zawadi kati ya wachezaji. Ni vizuri zawadi igawiwe kwa kuzingatia mchango wa kila mmoja ili kila mmoja avune kwa kadri ya jasho lake. Hii ni kazi ngumu sana, lakini ni vizuri ukitumika utaratibu unaozingatia mchango wa kila...
Waafrica we are too selfish just imagine unazaliwa Hadi unakufa bila kuacha Jambo lolote la maana hapa Duniani .
MTU Kama Mama Teresa Hawa watu wamekufa ni Muda mrefu lakini majina Yao yanaishi kama wapo hai.
Tupambane tuwaze Sana kitu Cha kuiachia hii Dunia Mtu Kama Robert Heriel Mtibeli na...
Zawadi Inayoitwa Maisha:
Safari Yangu Kutoka kwa Uraibu wa Heroin Hadi Kupona Kujiunga na ukarabati ulikuwa uamuzi bora zaidi ambao nimewahi kuchukua. Sikuzote nilisema kwamba sitawahi kutumia dawa za kulevya. Nikitazama nyuma, nilifanya kila kitu nilichosema singefanya. Mara ya kwanza...
Yaani nimezaliwa tarehe kama ya leo unanipa zawadi au hela kwamantiki gani? Kwamba unanipa zawadi kwa kuzaliwa? Unanipa hela sababu nimezaliwa leo?
Sijaelewa naomba kueleweshwa.
Siku zote nilisema kwamba sitawahi kutumia dawa za kulevya. Nikitazama nyuma, nilifanya kila kitu nilichosema singefanya. Mara ya kwanza nilipotumia dawa za kulevya, nilianza na bangi. Sikuipenda, lakini niliizoea. Sikujisikia vizuri ikiwa sikuitumia. Nilikuwa na kazi nzuri basi; palikuwa...
Kwa mwenendo wa nchi yetu ulivyo sasa.
Itoshe tu kusema,endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa John Joseph Pombe Magufuli.
Imefikia mahali mpaka watesi wako wanakumiss huku duniani.
Kila niamkapo asubuhi naihoji nafsi yangu nilikua wapi? Nakosa jibu.
Ninapoaanza kunyanyua mwili wangu nasikilizia utimamu wa afya yangu ninajiuliza, ni kipi kinachonistahilisha afya hii njema, ili hali nimekua nikila junk food regularly na kulala na balimi kumi kichwani kila siku na kufika...
Moja ya mbinu ambazo hutumika na 'wawekezaji' wenye nia ovu ni kuandaa safari za nje ya nchi za 'kuwaelimisha' wafanya maamuzi wa nchi husika.
Safari hizi huambatana na ukarimu wa hali ya juu kwenye mahoteli ya kisasa na utalii wa maeneo mbalimbali ya kuvutia kwenye hizo nchi.
Pamoja na hayo...
UONGOZI wa Young Africans Sports Club umetoa taarifa ya kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa hafla ya kuipongeza klabu hiyo kwa kucheza mchezo wa Fainali ya Kombe la Shikirisho la CAF, Msimu huu.
Katika taarifa hiyo mbali na mambo mengine...
Basi akanilaumu sana akatoa lawama za kutosha, ya kwamba kwanini nilimtendea vile, lakini haikuwa kosa ni moja wapo ya kutekeleza jambo husika.
Turudi nyuma kwenye stori za maisha yetu ya kila kukicha, hapo awali niliwahi kupanga chumba katika moja ya jiji nchini tanzania, katika hiyo nyumba...
Great thinkers,
Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
Well, nimewaza niwafanye nini wadada wa JF ambacho watanishukuru na kunikumbuka milele. Nikapata jibu.
Mimi kiuchumi nipo vizuri. Sina shida ndogo ndogo maisha yangu ni uchumi wa juu wa kati. Sijafanikiwa bado kuwa uchumi wa juu wa juu.
Ila si haba mambo mengi kwa kweli nayaweza. Tena nayaweza...
Tarehe 28/04/2023 hapa ofisini tutakuwa na get together sehemu za beach Kwa ajili ya kujipongeza kama staff
Sasa walianzisha kamchezo Kwa Kila staff kuwa na secreto wake na siku ya tukio hilo tutapeana zawadi, mm nikaokota kikaratasi na secreto wangu ni mama kijacho najiuliza nimnunilie Nini Ili...
Zinasambazwa na Gari za Ubalozi wenye namba 255 sijajua ni Ubalozi wa Taifa gani.
Vilivyomo ndani ya Vifurushi Zawadi hivyo (ambavyo GENTAMYCINE nimechungulia Kiuwizi Uwizi ) ni Mchele, Unga, Sukari, Mafuta ya Kupikia, Milo, Siagi, Chumvi na Juice Mchanganyiko.
Japo Mimi ni Mkristo (tena wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.