Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ZAWADI SASTONI NZUNJE [30] Mkazi wa Igalako Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo aitwaye MESHAKI FAZILI MLAWA [12] Mkazi wa Kapyo kwa kumpiga kwa kitu kizito kichwani na kukimbia kusikojulikana.
Kamanda wa Polisi...
Mama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia kuidhinisha upigaji huu basi unakiuka hata Katiba. Wape mbuzi wa Pasaka yatima wetu lakini kwa watanzania...
Bwana harusi Adlyyne Wangusi amefariki dunia baada ya kufungua zawadi ambayo ilikuwa imetegwa bomu na mume mwenza.
Bomu hilo lilidaiwa kutegwa na mpenzi wa zamani wa bibi harusi, ambaye alikuwa na hasira kutokana na mwanamke huyo kuolewa na mwanamume mwingine.
Taarifa ya Jeshi la Polisi...
1. Key holder ya JamiiForums
2. Handbook ya JamiiForums
3. Cello Pen ya JamiiForums
4. Flyer ya JamiiForums
5. Kupiga Picha na Jengo lao zuri na Nembo yao nzuri kisha kupata nao Lunch na Kuondoka
6. Handkerchief ya JamiiForums
7. Sandals (Kandambili) za JamiiForums
Jamani tuandalieni huko...
"Mwanamke mwenye Maadili na mwenye Kujitambua ukipigwa na Mumeo hutakiwi Kutangaza kwa Majirani au hata kwenda Kushtaki Kwenu au Ukweni bali unavumilia na unamsubiria Mumeo Hasira zikipungua unamuomba Radhi hata kama unajua kabisa kuwa Mkosaji ni Yeye kwani kwa kufanya hivi utamjengea Kitu Mumeo...
Based on true story
Nakumbuka wakati tuko form 3 na 4 class letu lilikuwa linaongoza kwa sifa mbaya za utoro.umalaya hasa watoto wa kike,wizi,kwenda kuiba vitu kwenye mashamba ya walimu,bangi,watoaji mimba,viburi na wazee wa kula hela ya Ada.
Hizo sifa zote tulipewa sisi darasani kwetu na...
Kama una afya njema ya mwili na akili hebu chukuwa muda wako kumuangalia usoni Mama Samia kwa kutumia macho yako ya nyama na ya rohoni. Bila shaka utagundua kuwa Tanzania na watu wema wote wako salama chini ya uongozi wake. Uhakika wa kuiona kesho yao na hata kuwaona wajukuu wako kabla hujafa...
Habari wana jamii wenzangu...
Nipo hapa kukumbushana katika suala la malezi na makuzi ya watoto wetu. Ujumbe huu ni kwetu sote kwa sababu naamini ipo siku kila mmoja atasimama kuwa mzazi.
Jamii ya sasa kutokana na utandawazi unao endelea imetokea watoto kukosa mapenzi ya dhati na...
Zawadi Mkweru, mtumishi wa Jamiiforums, leo ikiwa siku ya wanawake Duniani yupo Mbashara EATV akizungumzia masuala mbalimbali kuhusu matumizi sahihi na salama ya mitandao ya jamii.
Katika mjadala huo Zawadi anafafanua umuhimu wa Elimu ya matumizi sahihi na salama ya mitandao kuanza kutolewa kwa...
Nilikuwa sina mpango hata wa kuandika Hii thread lakini naiandika kwa ufupi sana baada ya kupita instagram na kukutana na clip hatari za wahuni wakiwa wanahamishwa gereza huko El salvador
Kuhamishwa kwao,mikao yao yani imenikumbusha Moment hatari sana nilizowahi pitia miaka ya zamani hiyo
Gusa...
Zawadi yako lazima iwe na uzito na itoke kwa moyo mmoja. Wanaume wengi hutoa zawadi kwa wanawake ili kuomba msamaha au ili apendwe au ili amshawishi mwanamke awe naye kimapenzi, hii hupunguza nguvu ya zawadi. Mwanamke atapokea zawadi yako na kukushukuru. Ili zawadi yako iwe na uzito kwanza...
Habari nilikua naomba msaada wakupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa zawadi nimeangaika sana YouTube sijapata naomba mwenye nayo anitumie 0693620048 wsp
Katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi, Jumuiya ya Wazazi CCM Musoma imetoa zawadi kabambe ya Kengele ya kisasa aina ya Rimu la gari, kwa ajili ya kutumika shuleni hapo.
Wazee hao wanaamini kwamba Wanafunzi wakisikia kengele hiyo watajua Kwamba serikali imeleta Maendeleo.
Nianze Kwa kuusema ukweli, Nimewai kupata zawadi nyingi sana Mosi ni uhai kutoka Kwa Mwenyezi Mungu.
Pili ni zawadi ya Elimu kutoka msingi mpaka Chuo kikuu namshukuru sana Mama yangu Mzazi.
Zawadi ya Tatu ni penzi Tamu kutoka kwa Mke wangu mpenzi (likivurugika naweza kuwa mwehu Bure).
Zawadi...
Juzi kati nilikua nasafiri kwenda upcountry huko, kuna mpangaji mwenzangu mumewe ni mtu ana wadhfa mkubwa tu serikalini, nilivyomuaga akaniambia nimletee zawadi, basi me nikajua ni utani tu, nikaenda safari nikarudi bila zawadi akanilaumu kwa nini sijamletea zawadi aliyoniagiza.
So baada ya...
1. Gari Mercedes Benz new Model
2. Simu Kali kama anayoitumia Rais wa Marekani Biden
3. Kiwanja atakakochagua Yeye
4. Kwenda Kupumzika na Wanyama Serengeti National Park
5. Ofa ya kwenda kufanya Shopping Dubai ( UAE )
6. Watatunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo...
Kuna kabinti fresh form four nakafukuzia apa mtaan nikatafune papuchi sasa nataka nkatunuku zawadi yyte leo ili nikateke akili yake.
Nmekuja kwenu wakulungwa kuomba ushauri nkachukulie zawadi gani ili npate vyeo ila zawad yenyewe isizid elfu 5.
Naomba kuwasilisha wakulungwa.
Sijui mimi sijaelewa au tunaambiwa tukubali tuzo hii..kwanini isingekuwa tuzo inayoweza kuonekana na vizazi vijavyo..au watu watakuwa wanapiga mbizi kwenda kuangalia mawe hayo... kujua yakoje? KUNA gharama iliyotumika...mtaambiwa mamilioni ya shilingi yalitumika kuzamisha mawe yasiyoonekana...na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.