ziwa nyasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa Boti za Kisasa za Uokoaji na Kuzima Moto huko Ziwa Nyasa

    Boti hiyo yenye injini mbili zenye nguvu ya jumla ya HP 500 na uwezo wa kubeba abiria 12, itaongeza uwezo wa mamlaka kukabiliana na dharura Ziwa Nyasa, kuokoa maisha na kuimarisha usalama wa wasafiri pamoja na shughuli za usafiri majini.
  2. JamiiForums Tanzania Post ya CIA imenifikirisha: Wamelisifia Ziwa Malawi (Ziwa Nyasa) pasipo kuitaja Tanzania!

    Wakati wenye mamlaka wakiwa busy kuponya majeraha ya MO29, kwa kuyakanusha na kupindua taarifa za ukweli; wenye dunia yao huko duniani, hawachoki kuitafiti dunia na ku shape geopolitics kulingana na taarifa sahihi za kiuchunguzi. Jana niliingia Instagram, kwenye post ya CIA, nikakuta wameweka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chakwera anaamini Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi, huyu anawezaje kutusuluhisha?

    Tumesikia kuwa Jumuia ya Madola imemtuma Chakwera, rais wa zamani wa malawi kuja kusaidia kuleta maridhiano nchini, Hata hivyo Chawera amekuwa akitoa msimamo kuwa ziwa nyasa lote ni mali ya malawi, mtu wa aina hii asiyeamini hata territorial integrity ya nchi yetu anawezaje kuja kutusuluhisha...
  4. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Hatimaye Malawi yakubali kuwa ziwa ni la nchi zote 3

    Tafsiri isiyo rasmi Jamhuri ya Malawi Taarifa kwa Umma Wizara ya Mambo ya Nje inapenda kuujulisha umma kwa ujumla kwamba, baada ya mashauriano ya kidiplomasia ya kina na kwa kuzingatia mifumo ya kisheria ya kimataifa, imefikia makubaliano ya kihistoria na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe suala la Malawi ndio tiketi ya kukosa ziwa Nyasa. Najua Serikali haijawahi kufanikiwa kesi

    Tokea kupata uhuru ni serikali ya CCM ndio ipo madarakani, hakuna serikali nyingine mnayowadanganya wananchi kuwa mkinichagua mimi nitaleta maendeleo. Kitendo cha Waziri wa Kilimo Bashe bila kujua uzee wake unaweza kuwa majuto sio marehemu majuto unaweza kupelekea kujuta haya. Malawi...
  6. JamiiForums Tanzania Ziwa Nyasa lina zaidi ya aina 600+ za samaki,Zaidi ya aina 400 ni samaki wa mapambo.Je imeshindikana vipi hao samaki kupandikizwa maziwa mengine?

    Hi👋 Kulingana na ripoti ya utafiti wa mwaka 2011,asilimia 15 ya aina za samaki wa maji baridi duniani wanapatikana ziwa Nyasa ambapo kuna aina ya samaki tofauti zaidi ya 600,huku kukiwa aina ya samaki wa mapambo zaidi ya 400 Wakuu niseme wazi kuwa lengo langu nikujifunza na kufundishwa nipate...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kwetu tunachukulia poa ila wamalawi wanazungumzia kila siku Ziwa Malawi / Nyasa, Wanataka ziwa lote la nini ?

    Nawashangaa sana wamalawi, yani karibia kila siku ajenda kuu za kimataifa lazima wagusie ziwa Malawi / Nyasa. Mpaka wa kusini wa Ziwa Nyasa na Msumbiji uliwekwa kupitia mikataba kati ya Uingereza na Ureno, ambayo iligawa mpaka wa ziwa katikati. Hata hivyo, mpaka kati ya Tanzania na Malawi...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe si Ziwa Nyasa tu, Rais wa Mexico ailalamikia Google kwa kubadili ramani, ghuba ya Mexico waiita ghuba ya America, huu ni ubeberu wa kimtandao

    Rais wa Mexico ameilalamikia kampuni ya Google kwa kuibadili jina ghuba ya Mexico na kuiita Ghuba ya America. Huu ni mwendelezo wa makampuni ya kibeberu kujaribu kubadili ramani ya dunia bila kushirikisha wadau. Hivi karibuni, kampuni hiyo ya kibeberu ilibeba mzega mzega ziwa lote la Nyasa na...
  9. JamiiForums Tanzania Google wanasingiziwa, ramani zao hazioneshi Ziwa Nyasa lote kumilikiwa na Malawi ila Tanzania inatakiwa kukomaa na eneo lake la mpaka wa ziwa

    Wadau, hii mada ishajadiliwa sana baada ya serikali kutoa tamko kwamba Malawi inafunza watoto kupitia ramani za google ambazo zinaonesha ambazo zinaonesha ziwa lote ni milki ya Malawi. Ukweli ni kwamba ramani zote za Google (map & earth) hazioneshi hivyo. Mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Malawi na...
  10. JamiiForums Tanzania Utata wa mpaka wa ziwa Nyasa: Google map wako sahihi kwa 100%, serikali ya Tanzania msipotoshe na kutisha watu

    Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo...
  11. JamiiForums Tanzania Google waichonganisha Tanzania na Malawi, ramani yao yaonyesha ziwa Nyasa lote la Malawi, Wizara ya Elimu Tanzania yatoa onyo kwa mashule yote

    Mabeberu naona kama wanawashwa washwa, kupitia shirika lao la kibeberu, wametoa ramani inayoonyesha eti ziwa lote ni mali ya Malawi. Hongera Wizara ya Elimu kwa kutoa muongozo. Tunasubiri Wizara ya Mambo ya nje ipeleke official complaint kwa hawa nyamaume.
  12. JamiiForums Tanzania Mzee Mpili anaenda kufanya jambo huko ziwa Nyasa hii ni kuelekea dabi ya kariakoo kati Simba na Yanga. Je italipa kwa timu ya wananchi?

    Safari ya Nyasa hiyo unaambiwa Mzee Mpili anaenda kufanya jambo huko, Kesho kazi ipo😁🙌 Vipi mambo yatalipa kwa timu ya wananchi Yanga mbele ya watani zao Simba? Tusubiri tuone bandugu. Soma Pia: Kamanda Jumanne Muliro atoa tahadhari watakaoenda kwenye dabi ya Simba na Yanga kudumisha amani na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ziwa Nyasa maarufu Mwasumbi hali ni mbaya

    Leo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania na Malawi waharakishe Kutatua suala la ziwa Nyasa

    Malawi questions Tanzania on port Malawi has faulted Tanzania for embarking on a project to upgrade and expand Mbamba Bay Port on Lake Malawi without seeking consent as the lake boundary dispute between the two countries remains unresolved In a confidential diplomatic note dated February 2...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi yenye maziwa makuu mengi barani Afrika, kwanini bado kuna shida ya maji hususani kwenye mikoa inayozungukwa na maziwa hayo?

    Tanzania [emoji1241] ni moja kati ya Nchi zilizobarikiwa kwa rasilimali nyingi na ardhi nzuri Duniani. Miongoni mwa rasilimali tulizonazo ni Maziwa Makuu ambayo ni Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa (Likifahamika kidunia kama Ziwa Malawi) na mengine kama Ziwa Rukwa, Ziwa Eyasi, Ziwa...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi tuliishia wapi kuhusu Ziwa Nyasa na leo Ziwa Malawi?

    Huu mgogoro ulifikia wapi mpaka leo, maana ramani zinaonesha ni ziwa malawi na sio ziwa nyasa? Na mipaka inaonesha utakiwi kugusa hata maji. Je, kanuni gani mpaka sasa na solution ipi imechukuliwa?
  17. JamiiForums Tanzania Habari njema kwa nchi, gesi nyingine ya Helium yagunduliwa Bonde la Ziwa Nyasa. Tanzania kuwa muuzaji kinara Duniani

    Habari wadau, Habari njema kwa Tanzania ni kwamba, imefanikiwa kugundua Gas nyingine ya Helium Kaskazini ya Bonde la Ziwa Nyasa eneo la Matema wilaya ya Kyela mkoani Mbeya. Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa na jarida la The Business Wiz likinukuu kampuni ya Helium One iliyokuwa inafanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…