Kilaza wa lumumbaLowasa ana maoni mazuri
Tumwongezee Rais Magufuli miaka kumi mingine
Mimi kwa akili yangu naona alimaanisha Mh. Rais aongoze miaka 10 tu. Ambapo ikifika 2025 ndio kikomo chake...Lowasa ana maoni mazuri
Tumwongezee Rais Magufuli miaka kumi mingine
Huwa naangalia umejiunga lini Jf then naconclude!Lowasa ana maoni mazuri
Tumwongezee Rais Magufuli miaka kumi mingine
Nilimuona lowasa amezeeka sana hawezi simama vizuri,akili za uzee ni kama unarudi utotoni.
Kisukuma lugha namba mbili ya taifa hutaki meza wembeSiyo sungusungu hawa mbona wazee kabisa,na muda wote wanaongea kilugha.....kila sehemu kuna sungusungu ila hawa hapana watakuwa na kazi maalumu
Sawa ndugu shibuda,nimekuona pale ukizungumza kisukuma na kusahau kuwa Si wana chama wako wote nchini ni wasukuma na walitaka wasikie neno toka kwa kiongozi wa chama chao,sasa huo Si ni zaidi ya ujinga na ujuha mkuuKisukuma lugha namba mbili ya taifa hutaki meza wembe
Okonishisha loshiko lwa lelo. Sebha wane nakongeja kokolomba bhole loshiko eke obhebhe otadelaga nolo kochelelwa. Mulungu akolinde ukipende kisukuma nahmalaSawa ndugu shibuda,nimekuona pale ukizungumza kisukuma na kusahau kuwa Si wana chama wako wote nchini ni wasukuma na walitaka wasikie neno toka kwa kiongozi wa chama chao,sasa huo Si ni zaidi ya ujinga na ujuha mkuu
Sasa kama polisi hawakushindwa mbona Mo alirudishwa bila msaada wa polisi? kila siku polisi walikuwa wanaomba huruma za wananchi kwa kusema anayejua mo alipo atoe taarifaDrill ni jambo la kawaida kwa majeshi
Kuhusu Makomando wetu wale mabwege waliokuwa wanaleta fyokofyoko pale kibiti wanawajua vizuri walichofanyiwa Leo kupo shwari kabisa
Haya ya Mo polisi hawakushindwa kama wangeshindwa makomando wangebeba jukumu hilo
Sasa kama polisi hawakushindwa mbona Mo alirudishwa bila msaada wa polisi? kila siku polisi walikuwa wanaomba huruma za wananchi kwa kusema anayejua mo alipo atoe taarifa
Duuh labda Mulungu tu,kwa lugha ya Malawi ni Mungu, kwa Wandali wa Ileje hiyo ni surname ya watu (ukoo)...... kama ni matusi ubarikiwe sanaOkonishisha loshiko lwa lelo. Sebha wane nakongeja kokolomba bhole loshiko eke obhebhe otadelaga nolo kochelelwa. Mulungu akolinde ukipende kisukuma nahmala
Ondoa wewe Mimi sio Haitii.Ondoa hiyo kama!
Nchi zingine hasa zile zilizoendelea kitekinologia hawaonyeshi mbinu zao za kijeshi hasa zile mbinu za madeni na vikosi muhimu kama Comandoo huwa hawaonyeshwi hovyo hovyo , lazima siri zao za kijeshi zihifadhiwe siyo kuonyesha Adui kila maraBila kuwapotezea muda, mimi napendelea sana kufuatilia military drill ya nchi zenye jeshi kubwa duniani, kama USA, Russia, Korea, Iran, Israel etc, hili jeshi kakamavu sizani kama hata ninaelewa hivi sasa linaishi karne ya ngapi?
Wenzetu wamejikta katika science and technology wao wamijikita kwenye ushamba wa Paleolithic Period, mwaka huu wa-act tamthilia, mwaka unaofata wavunje matofali ya mchanga kwenye uso, mwaka mwengine wajirushe kwenye magari, mara raisi akawabanjulishe korosho.
Yaani jeshi limekuwa kama kikundi cha sarakasi tu, halina mbele halina nyuma kama kanzu ya hospital.