Wewe umejuaje kama hiyo tabia yako ambayo mtoto akisusa na wewe mzazi wake huwezi kula sio tabia ya hovyo?
Nani amekuambia mimi ni msukuma lakini pia unaonekana unachuki na wasukuma na una fikra za kibaguzi.
Kwa hiyo unataka kuniambia na kuwaaminisha wasomaji kuwa wasukuma wana tabia za hovyo!
Dhana ya wewe ukisusa wengine wala huku maisha yakiendelea kama kawaida imeanza kuwaingia baadhi ya wanasiasa!
Ni sawa na mtoto ambaye kama hujamtimizia baadhi ya maombi yake hususa kula chakula ulichompikia akitegemea utambembeleza lakini ukimpuuza baadaye anaanza tena kukuomba chakula akidai ana njaa!
Niwapongeze wale wanasiasa ambao wamefanya self assessment na kugundua kuwa kususa kwao kwenye sherehe za kitaifa hakuna impact yoyote ya kisiasa kwa taifa na kwa sababu hiyo wameamua kubadili msimamo!
wewe utakuwa darasa la saba! extremly shallow analysis! nakuachia wenzako!
Hata mimi mbongo ila nimecheka sana hizi ndege vita mkuu.Hawa mabalozi wakiona hizi ndege vita watakuwa wanacheka kimoyomoyo
Unalialia nini sasa kama haumii, nimesusa mimi kula yanin uangaike wewe.Dhana ya wewe ukisusa wengine wala huku maisha yakiendelea kama kawaida imeanza kuwaingia baadhi ya wanasiasa!
Ni sawa na mtoto ambaye kama hujamtimizia baadhi ya maombi yake hususa kula chakula ulichompikia akitegemea utambembeleza lakini ukimpuuza baadaye anaanza tena kukuomba chakula akidai ana njaa!
Niwapongeze wale wanasiasa ambao wamefanya self assessment na kugundua kuwa kususa kwao kwenye sherehe za kitaifa hakuna impact yoyote ya kisiasa kwa taifa na kwa sababu hiyo wameamua kubadili msimamo!
Huyo MsemajiUkweli anaona Gere kuwaona cdm wako hpo wakati yeye yuko kwa shemeji yke akifatilia kwenye TV..... Roho lazima imuumeUnalialia nini sasa kama haumii, nimesusa mimi kula yanin uangaike wewe.
Wapi nimeongelea ukandaUtaanza kuhukumiwa wewe kwa kuendekeza ukanda na utawala wa ki SACCOS. Pumbaff kabisa
Inaelekea hata wewe ni mchawi. Unawezaje kuangalia tv na ku conclude kwamba hawa ni wachawi? Hayo mavazi ni jadi, ni mavazi wanayovaa wapiganaji wa kijadi waendapo vitani. Hizo ni mbinu za kumtisha adui.Naangalia maadhimisho ya sherehe ya miaka 58 ya Uhuru, Kuna kikundi cha sungusungu kwa kweli wamevaa kichawi kabisa na matendo yao hata hayaeleweki.
Bila shaka hawa ndio wale elfu moja waliosema watamroga mtu yeyote atakayetaka kushindana na Magufuli.