Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Mkuu unataka kumanisha biblia iko outdated ifanyiwe editing?Mnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia.
1 Timotheo 2:12 - "I permit no woman to teach or to have authority over a man; she is to keep silent."
Je huu mstari bado una mashiko kwa dunia ya leo?
Kwa Mungu msimamo ni uleule, Wapo na watakuwepo wanaotumia hayo!Mnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia.
1 Timotheo 2:12 - "I permit no woman to teach or to have authority over a man; she is to keep silent."
Je huu mstari bado una mashiko kwa dunia ya leo?
We ongelea kinisani kwako hilo linazigatiwa?Kwa Mungu msimamo ni uleule, Wapo na watakuwepo wanaotumia hayo!
Huu unafanya kazi hadi Sasa ila ni kwa wakristu pekeeMnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia.
1 Timotheo 2:12 - "I permit no woman to teach or to have authority over a man; she is to keep silent."
Je huu mstari bado una mashiko kwa dunia ya leo?
Na huko kukaza mafufu!Ndio huku kunapelekea matatizo Mengi kwenye ndoa na mshusianoUna mashiko sema tunakaza mafuvu tu
Hakuna kanisani Kwa mtuWe ongelea kinisani kwako hilo linazigatiwa?
Maandiko Yako sahihi,hakuna Cha kanisani kwangu Wala Kwa yoyote,yamenyooka bila chenga ni Wewe tuu na unavyotafsiri.Sio kabisa lolote!We ongelea kinisani kwako hilo linazigatiwa?
Sahihi Mkuu!Biblia haijawahi kuwa outdated
Shetani anahangaika kurudisha ibada za wapagani za mungu mke , Ishtar,n.k
Wanawake hawajapewa hayo mamlaka
kuna dalili kuwa Shetani anatumia baadhi ya harakati za kisasa kama chombo cha kurudisha misingi ya kiibada kama ile ya Ishtar—kwa kupotosha nafasi ya mwanamke, kuondoa mpangilio wa Mungu, na kuunda mfumo wa dunia unaompinga Kristo.
Lakini hatupaswi kupinga haki za wanawake kwa jumla, bali kuchambua kila harakati kwa macho ya kiroho na maarifa ya kweli ya Biblia.
Mkuu hayo ni maelezo yako au ni biblia umesahau tu kutoa verse?Biblia haijawahi kuwa outdated
Shetani anahangaika kurudisha ibada za wapagani za mungu mke , Ishtar,n.k
Wanawake hawajapewa hayo mamlaka
kuna dalili kuwa Shetani anatumia baadhi ya harakati za kisasa kama chombo cha kurudisha misingi ya kiibada kama ile ya Ishtar—kwa kupotosha nafasi ya mwanamke, kuondoa mpangilio wa Mungu, na kuunda mfumo wa dunia unaompinga Kristo.
Lakini hatupaswi kupinga haki za wanawake kwa jumla, bali kuchambua kila harakati kwa macho ya kiroho na maarifa ya kweli ya Biblia.
Nitoe verse ya nini ? Kupinga au kukataa? Kwamba nitoe verse ya biblia kupinga verse ya biblia ?Mkuu hayo ni maelezo yako au ni biblia umesahau tu kutoa verse?
Mkuu na wewe ni nabii wakilokole maelezo yako ni sawasawa na verse za biblia? Hamna hajo ya ku support maneno yako namaadiashi TakatifuNitoe verse ya nini ? Kupinga au kukataa? Kwamba nitoe verse ya biblia kupinga verse ya biblia ?
Unazungumziaje Wachungaji Wanawake na Viongozi wanawake wanaoongoza wanaume??Biblia haijawahi kuwa outdated
Shetani anahangaika kurudisha ibada za wapagani za mungu mke , Ishtar,n.k
Wanawake hawajapewa hayo mamlaka
kuna dalili kuwa Shetani anatumia baadhi ya harakati za kisasa kama chombo cha kurudisha misingi ya kiibada kama ile ya Ishtar—kwa kupotosha nafasi ya mwanamke, kuondoa mpangilio wa Mungu, na kuunda mfumo wa dunia unaompinga Kristo.
Lakini hatupaswi kupinga haki za wanawake kwa jumla, bali kuchambua kila harakati kwa macho ya kiroho na maarifa ya kweli ya Biblia.
Hapa ngoja nikupe mistari kidogo.Soma waefeso 5:22_33.Wake wawatii waume zao kama kumtii Bwana.Maana mume anayo mamlaka juu ya mkewe,kama Kristo alivyo na mamlaka juu ya kanisa!Huko mbele endelea na Wewe kusoma mistari mingine Mkuu.Mkuu hayo ni maelezo yako au ni biblia umesahau tu kutoa verse?
Mkuu, hapo ni sawa na kusema Biblia imekataza ushoga ila sasa wapo wakristo mashoga. Kwa hiyo hiyo Aya ya kukataza ushoga ina mashiko?Mnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia.