1 Timotheo 2:12 una maana gani? Je kwa leo hii bado mstari huu una mashiko?

Ni upotofu ,maandiko yanakataza wanawake wachungaji au maaskofu
Unadhani kipi kimepelekea kuwepo Wanawake wachungaji na Viongozi wengi katika ukristo ukilinganisha na Dini ya Uislamu ambapo Dini zote mbili zina Mafundisho yanayokaribiana katika jambo hilo???

Jee kuna mwanya wowote katika Biblia au ukristo kwa Ujumla??
 
Kwanza tengua kauli, mafundisho hayakaribiani

Kwenye ukristo kupitia biblia Kuna manabii wa kike , uislamu hakuna

Kilicholeta wachungaji wakike na Maaskofu kwenye ukristo ni simple tu ,kazi ya illuminati,hilo ni somo Pana sana ,
 
Usichokielewa nini. Nimesema yanakaribiana na sio kwamba yanafanana..

Anyways sio Mada yangu hii.

Bado hujajibu swali langu la pili Narudia jee kuna mwanya wa kimaandiko au Kimfumo ndani ya ukristo waliotumia wanawake kujihalalishia Uongozi Kanisani??

If so hao illuminati unaowasakizia Tatizo lenu jee wao wameshindwa nini kwenye uislamu kwanini imekuwa rahisi kwenye ukristo??
 
Mnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia.

1 Timotheo 2:12 - "I permit no woman to teach or to have authority over a man; she is to keep silent."

Je huu mstari bado una mashiko kwa dunia ya leo?
Ni tanaduni za kale za Wayahudi hazina nafasi kabisa leo.
 
Mnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia.

1 Timotheo 2:12 - "I permit no woman to teach or to have authority over a man; she is to keep silent."

Je huu mstari bado una mashiko kwa dunia ya leo?
Quran INARUHUSU hilo!??
 
Usichokielewa nini. Nimesema yanakaribiana na sio kwamba yanafanana..

Anyways sio Mada yangu hii.

Bado hujajibu swali langu la pili Narudia jee kuna mwanya wa kimaandiko au Kimfumo ndani ya ukristo waliotumia wanawake kujihalalishia Uongozi Kanisani??

If so hao illuminati unaowasakizia Tatizo lenu jee wao wameshindwa nini kwenye uislamu kwanini imekuwa rahisi kwenye ukristo??
Unasema nawasakizia Tena?

illuminati wanafanya kazi kulingana na malengo Yao

Kwanini ugaidi na mauwaji na kujitoa muhanga na vikundi vingi vya ugaidi kwenye uislamu ni vingi ,je ni sababu ya mwanya wa MAANDIKO ?

Kwenye ukristo ,hizo mambo za wanawake zipo sababu Kuna uhuru wa mtu yeyote kuanzisha hata ministries zake za dini bila kubughuziwa
 
kwaiyo biblia yote ni ya kale haina mashiko kwa sasa au tunajuaje kama jambo fulani la biblia ni la kale na halina mashiko?
Kuna mambo huwa hayazeeki kama vile wema, upendo, nk. Wema hauozi! Lakini tamaduni za watu hutoweka.
 
Unasema nawasakizia Tena?

illuminati wanafanya kazi kulingana na malengo yao
Embu nifahamishe kidogo kuhusu illuminati ni kina nani na wanauhusiano gani na kanisa katika kupotosha mafundisho.
Kwanini ugaidi na mauwaji na kujitoa muhanga na vikundi vingi vya ugaidi kwenye uislamu ni vingi ,je ni sababu ya mwanya wa MAANDIKO ?
Moja sidhani kama Takwimu za mauaji makubwa yaliyowahi kutokea Duniani na yanayoendelea kutokea zinaongozwa na hivyo unavyoviita vikundi vya kiislamu. (Sivitetei lakini Kuna mauaji makubwa yanaendelea Duniani au yaliwahi kufanywa na hayana sura ya Uislamu hata kwa kuusingizia.))

Mtu akivaa kanzu na kilemba kisha akasema Allah Akbar akamchinja mtu hiyo ni justification kuwa huyo ni muislamu?? Na yupo kwa ajiri ya Dini?? Kwani hili jambo si hata wewe unaweza ukalifanya ili kuchafua imani za watu!!

lakini kinachotokea makanisani ni Wakristo wenyewe tena wanakaa chini wanaume wanamsikiliza mchungaji mwanamke bila utata wowote.
Kwenye ukristo ,hizo mambo za wanawake zipo sababu Kuna uhuru wa mtu yeyote kuanzisha hata ministries zake za dini bila kubughuziwa
Sasa hoja ni uhuru wa kufanya unachotaka au ni illuminati wanafanya kupotosha???
 
Tujiulize tu,
Yesu alikuwa na Mtume wa kike kati ya wale 12?
 
Embu nifahamishe kidogo kuhusu illuminati ni kina nani na wanauhusiano gani na kanisa katika kupotosha mafundisho.

Moja sidhani kama Takwimu za mauaji makubwa yaliyowahi kutokea Duniani na yanayoendelea kutokea zinaongozwa na hivyo unavyoviita vikundi vya kiislamu. (Sivitetei lakini Kuna mauaji makubwa yanaendelea Duniani au yaliwahi kufanywa na hayana sura ya Uislamu hata kwa kuusingizia.))

Mtu akivaa kanzu na kilemba kisha akasema Allah Akbar akamchinja mtu hiyo ni justification kuwa huyo ni muislamu?? Na yupo kwa ajiri ya Dini?? Kwani hili jambo si hata wewe unaweza ukalifanya ili kuchafua imani za watu!!

lakini kinachotokea makanisani ni Wakristo wenyewe tena wanakaa chini wanaume wanamsikiliza mchungaji mwanamke bila utata wowote.

Sasa hoja ni uhuru wa kufanya unachotaka au ni illuminati wanafanya kupotosha???
Unaruka ruka tu ,Qurani yenu ndio inahimiza Ugaidi

CHANZO CHA CHUKI NA UGAIDI NI QURAN.

Quran zinazo aya zinazochochea mauaji na chuki dhidi ya watu wengine wasioamini Uislam. Mfano wa aya hizo ni kama ifuatavyo:
Surah 3:151: "Tutatia khofu katika nyoyo za walio kufuru (wasiokuwa Waislamu)
Sura 2:191: "Na wauweni (wasiokuwa Waislamu) popote muwakutapo ... wauweni. Hayo ndiyo malipo ya makafiri (wasiokuwa Waislamu)."
Sura 9:5: “Basi waueni makafiri popote muwakutapo, washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila pazia…

UTAWASIKIA DINI YA HAKI, DINI YA AMANI
 
Kwahiyo Biblia iliandikwa kwa tamaduni za wayahudi. Mungu ni Myahudi au?
Usipojua nini cha kushika na nini cha kufuata kwenye Biblia utajikuta unaishi tamaduni za watu-Wayahudi na hazitakusaidia kabisa kwenye mambo ya wokovu.
 
Unaruka ruka tu ,Qurani yenu ndio inahimiza Ugaidi

CHANZO CHA CHUKI NA UGAIDI NI QURAN.

Quran zinazo aya zinazochochea mauaji na chuki dhidi ya watu wengine wasioamini Uislam. Mfano wa aya hizo ni kama ifuatavyo:
Surah 3:151: "Tutatia khofu katika nyoyo za walio kufuru (wasiokuwa Waislamu)
Sura 2:191: "Na wauweni (wasiokuwa Waislamu) popote muwakutapo ... wauweni. Hayo ndiyo malipo ya makafiri (wasiokuwa Waislamu)."
Sura 9:5: “Basi waueni makafiri popote muwakutapo, washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila pazia…

UTAWASIKIA DINI YA HAKI, DINI YA AMANI
Sasa ona hoja zenu!!!

Hizo aya ni aya za vitani,, kipindi cha vita.

Hayo ni maelezo wanapewa waislamu walio vitani zama hizo.

Ulitaka vitani kutumike lugha za upole kwa adui aliekusudia kukuua??

Mafundisho yetu sisi ni kuwa wapole na kutoanza uadui kwa yeyote iwe ni muislamu au asie Muuislamu.
Kama ambavyo Allah anavyotuamrisha

Mwenyezi Mungu hakukatazini kuwafanyia wema na uadilifu wale ambao hawakukupigeni vita, wala hawakukutoeni makwenu. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao uadilifu.
[Surah Al-Mumtaḥanah: 8]

>>Kwaiyo ukianzisha uadui na vita lazima watu wadeal na wewe kwa sura hiyo hiyo kwa ajiri ya usalama wao na amani yao
 
Sasa ona hoja zenu!!!

Hizo aya ni aya za vitani,, kipindi cha vita.

Hayo ni maelezo wanapewa waislamu walio vitani zama hizo.

Ulitaka vitani kutumike lugha za upole kwa adui aliekusudia kukuua??

Mafundisho yetu sisi ni kuwa wapole na kutoanza uadui kwa yeyote iwe ni muislamu au asie Muuislamu.
Kama ambavyo Allah anavyotuamrisha

Mwenyezi Mungu hakukatazini kuwafanyia wema na uadilifu wale ambao hawakukupigeni vita, wala hawakukutoeni makwenu. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao uadilifu.
[Surah Al-Mumtaḥanah: 8]
😂😂😂😂Kwamba ni ayya za vita ? Kwahiyo sasa hazina kazi?
 
Back
Top Bottom