Me and me
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 393
- 730
Zitatumika yakitokea mazingira yale yale yaliyosababisha kushuka hizo aya. Na uwezekano wa kutokea hayo mazingira ni mkubwa sana.😂😂😂😂Kwamba ni ayya za vita ? Kwahiyo sasa hazina kazi?
Zitatumika yakitokea mazingira yale yale yaliyosababisha kushuka hizo aya. Na uwezekano wa kutokea hayo mazingira ni mkubwa sana.😂😂😂😂Kwamba ni ayya za vita ? Kwahiyo sasa hazina kazi?
Acha porojo kijana ,Aya zote za Qur’an – iwe za amani au vita – ni muongozo wa milele. Kusema “hazifai tena” ni kujivika mamlaka ambayo hata Mtume hakuwa nayoZitatumika yakitokea mazingira yale yale yaliyosababisha kushuka hizo aya. Na uwezekano wa kutokea hayo mazingira ni mkubwa sana.
Sasa nani kasema hazitumiki tena?Acha porojo kijana ,Aya zote za Qur’an – iwe za amani au vita – ni muongozo wa milele. Kusema “hazifai tena” ni kujivika mamlaka ambayo hata Mtume hakuwa nayo
Wanazuoni wakubwa wamekubaliana kuwa Qur’an ni ya kila zama,Imamu Al-Shafi’i, Al-Ghazali, Ibn Kathir n.k. wamesisitiza kuwa Qur’an ni sheria kwa kila zama. Hakuna Aya yenye muda wa matumizi kama chakula cha muda.
Acha UPOTOSHAJI ,Leo anayeuacha uislamu kwa mujibu wa Quran na Hadith zenu ,adhabu yake ni ipi ?Sasa nani kasema hazitumiki tena?
Nimesema kila aya itatumika katika mazingira yale yale yaliyosababisha kushuka aya hizo.
Kama zilishuka kwa muktadha wa vita basi kukitokea vita tutazitumia tena hata leo hii au kesho na Kuendelea.
Kama aya ilishuka katika jambo fulani tutazitumia kuhukumu jambo hilo mfano wa hilo leo likitokea tena hadi Qiyama.
Lakini ni makosa na ni upotoshaji kuzitumia aya zilizotelemshwa kwa muktadha mmoja kuzipeleka katika muktadha mwengine usio fanana na huo.
Mfano aya zilizotelemshwa kuwapa maelekezo waislamu wakiwa vitani kwamba wawaue makafili kwa sababu nao wamekusudia kuwaua wao,, kuzitumia Aya hizo katika mazingira ya amani na utulivu ni makosa.
Pigia tikiOngezea na 1 wakorintho 14:34-38
1 Wakorintho 14:34-38
34 Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.
35 Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.
36 Au je! Neno la Mungu lilitoka kwenu? Au kuwafikia ninyi peke yenu?
37 Mtu akijiona kuwa ni nabii au mtu wa rohoni, na ayatambue hayo ninayowaandikia, ya kwamba ni maagizo ya Bwana.
38 Lakini mtu akiwa mjinga, na awe mjinga.