Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 10,494
- 9,854
- Thread starter
-
- #41
Nchi nzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unataka kulazimisha Kenya iwe level yenu ya umasikini eti?., wewe umeona nchi nzima ni slums?, wapi ebu nielimishe kidogo nione, weka na facts from all corners., nangoja mimi sio mkenya, sipajui kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23], tafadhali nifunze nijue Kenya.
Wacha kulazimisha fikra za akili yako. Tz ni aibu in EAC na SADC, aibu kwa ajili ya rasilmali mingi na bado mnatajwa kwa umasikini wa kupindukia.
Weka data Kenya nchi nzima full slums, nielimishe tafadhali, nataka kuona fikra zako. Poor mind[emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe jamaa jaribu kua unashirikisha na ubongo wako kidogo, kunyaland sio kibera tu kuna slums dwellers, yahani nchi nzima ni full slums, kama watu hamna uhakika tu wa mlo uo utajiri wenu unahanzia wapi?
wadanganye wengine ambao hawaijui kunyaland lakini sio sisi, tunawajua vizuri bila kutembelea mbeleko ya tz kunyaland hamna jipya