10 years of Diamond Platnumz

Kuna ndezi watabisha...
 
Kuna mpuuzi mmoja kaona bendera ya UK akasema eti picha ya kuedit.. Diamond kwa sasa ni kama maji tu usipooga utachambia
Huyo anayebisha atakuwa na matatizo cos mapokezi yake yalirushwa live WASAFI Tv na nikawaona hao waliyoshika bendera ya UK na si tu bendera ya UK, bali kuna watu pia walishika bendera ya Israel.
 
Huyo anayebisha atakuwa na matatizo cos mapokezi yake yalirushwa live WASAFI Tv na nikawaona hao waliyoshika bendera ya UK na si tu bendera ya UK bali kuna watu pia walishika bendera ya Israel.
Tena aliyebisha ni Diva wa Radio Mawingu. Huyu manzi ndio maana Diamond aliwahi kumtukana kipindi flani, ana mambo ya kijinga sana.
 
Mafuta ya simba na ngozi ya ngekewa vinalipa sana.... Wapi Konde boy

Jr[emoji769]
Hamna kitu kama hicho mkuu. Kama ni hivyo tunatamani sana tufike mbali kisoka. Kwanini Taifa Stars tungetumia tu hicho kidude tuwe wakubwa Africa na dunia itutambue kama Diamond? Dogo ana juhudi, plan na kujituma tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…