10 years of Diamond Platnumz

10 years of Diamond Platnumz

nguv kubwa y redio kum promote msanii kimziki ilikua zmani ,sku izi wimbo kam ni mkali unasogea wenyew tu mtaani ata kama redio dj atakua haupgi ewani.. zil zama za redio dj kukpangia playlist zmeptwa n wkt ,sku izi playlist watu wnaz kweny smartphone zao.
Kuna ndezi watabisha...
 
Kuna mpuuzi mmoja kaona bendera ya UK akasema eti picha ya kuedit.. Diamond kwa sasa ni kama maji tu usipooga utachambia
Huyo anayebisha atakuwa na matatizo cos mapokezi yake yalirushwa live WASAFI Tv na nikawaona hao waliyoshika bendera ya UK na si tu bendera ya UK, bali kuna watu pia walishika bendera ya Israel.
 
Huyo anayebisha atakuwa na matatizo cos mapokezi yake yalirushwa live WASAFI Tv na nikawaona hao waliyoshika bendera ya UK na si tu bendera ya UK bali kuna watu pia walishika bendera ya Israel.
Tena aliyebisha ni Diva wa Radio Mawingu. Huyu manzi ndio maana Diamond aliwahi kumtukana kipindi flani, ana mambo ya kijinga sana.
 
Mafuta ya simba na ngozi ya ngekewa vinalipa sana.... Wapi Konde boy

Jr[emoji769]
Hamna kitu kama hicho mkuu. Kama ni hivyo tunatamani sana tufike mbali kisoka. Kwanini Taifa Stars tungetumia tu hicho kidude tuwe wakubwa Africa na dunia itutambue kama Diamond? Dogo ana juhudi, plan na kujituma tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu kubwa ya redio kum-promote msanii kimuziki ilikuwa zmani, sku hizi wimbo kama ni mkali unasogea wenyewe tu mtaani hata kama redio DJ atakuwa haupigi hewani. Zile zama za redio DJ kukupangia playlist zimepitwa na wakati. Siku hizi playlist watu wanazo kwenye smartphone zao.
True

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom