kumekuwa na kawaida kwa ulimwengu wa Kiislamu kufanya kila juhudi kuonyesha kwamba Biblia imepotoshwa, ingawaje jambo hilo si kweli hata kidogo. Ukiachilia mbali makosa ya kibinadamu ya hapa na pale ambayo yanaingia kutokana na ukweli kwamba Biblia imetafsiriwa na inaendelea kutafsiriwa mara nyingi sana, hakuna makosa ya makusudi yanayofanywa ili kupotosha au kuficha ukweli.
Na juhudi hizi zote zinafanywa ili kutaka kuonyesha kwamba Quran ni neno la Mungu la kweli ambalo halijapotoshwa hata kidogo. Basi mimi naomba mnisaidie majibu ya maswali haya machache kati ya mengi:
1. Sura 54:19 inasema kuwa mji wa Aad uliharibiwa kwa siku moja na sura 69:6,7 inasema kuwa uliharibiwa kwa 'usiku' sita na siku nane (seven nights and eight days). Hapo kuna mkanganyiko au la?
2. Sura 19:17 inaonyesha kuwa malaika alimtokea Mariamu lakini sura 3:42 inasema walikuwa malaika wengi.
3. Sura 28:40 inasema kuwa farao alizama na kufia kwenye maji lakini sura 10:92 inasema kuwa farao huyo alipona.
4. Sura 18:86 inasema kuwa jua huzama kwenye chemchemi ya maji yenye tope. Unadhani hii ni sahihi. Jua lina joto la zaidi ya nyuzijoto 6000 kwenye uso wake. Lakini maji yakifika nyuzijoto 100 yanageuka mvuke. Je, maji yanayotajwa kwenye sura hii ni maji gani? Unadhani ni Mungu aliyeumba jua na maji ndiye anayesema haya?
5. Sura 15:19 inasema kuwa dunia ni bapa kama meza (flat). Kama Mungu ndiye aliumba dunia na ndiye alileta Quran, anaweza kusema jambo kama hili?
6. Sura 86:6,7 inasema kuwa manii ya mwanamume hutokea kati ya uti wa mgongo na mbavu. Hii ni sayansi ya wapi? Ni kutoka kwa Mungu aliyeumba wa mbingu na nchi na uti wa mgongo na mbavu kweli? Kama haitoki kwa Mungu basi hata kitabu chenyewe nacho hakitoki kwa Mungu, au siyo?
7. Sura 19:27,28 inasema kuwa Mariamu alikuwa ni dada wa Haruni. Lakini tangu Haruni aishi ilipita miaka 1300 ndipo alipozaliwa Mariamu. Ni Mungu gani basi anayeweza kusema maneno kama haya?
8. Sura 28:8 inasema kuwa farao na Hamani waliishi wakati mmoja na mahali pamoja. Lakini historia iko wazi kwamba kuna tofauti ya miaka takribani 1000 kati ya watu hawa. Vilevile, farao aliishi Misri wakati Hamani aliishi Uajemi kwenye ngome iliyoitwa Shushani.
MAONI YANGU
Biblia na Quran zote zina makosa fulanifulani ya kibinadamu yalioyoingia humo wakati wa kuandikwa kwa vitabu hivyo. Kwa upande wa Biblia (sijui sana upande wa Quran), huwa nakutana na makosa kadhaa, kwa mfano kukosewa kuandikwa kwa neno, kutafsiriwa vibaya kwa neno, kukosewa kwa takwimu, n.k. Mimi nadhani kuwapo kwa makosa ya aina hii si ishara kwamba kitabu hiki hakitoki kwa Mungu. Ingekuwa ni kweli kwamba makosa haya yaliingizwa ili kuficha au kupindisha ukweli fulani, basi huko ndiko kungekuwa ni kupotosha maandiko.
Kwa upande wangu kipimo kikuu cha kutambua iwapo neno fulani ni la Mungu au la, ni MAFUNDISHO ya Mungu anayehusika. Kwa mfano, hapo juu nimetoa mfano wa Sura 54:19 inayosema kuwa mji wa Aad uliharibiwa kwa siku moja ilhali sura 69:6,7 inasema kuwa uliharibiwa kwa 'usiku' sita na siku nane (seven nights and eight days).
Mimi sioni kama hiki ni kigezo cha kusema kuwa Quran si kitabu cha Mungu wa kweli. Au aya moja kusema farao alizama maji na nyingine ikasema hakuzama. Aina hii ya ukinzani kwangu si kigezo cha kubatilisha kitabu.
Lakini tunapoenda kwenye mafundisho yanayohusu mwenendo wa kuishi na wanadamu wenzako, vigezo vya utakatifu, wajibu wa muumini kwa Mungu, wanadamu wenzake na jamii kwa ujumla, n.k., hapo ndipo ninaona kuna uwezekano wa kutenganisha kati ya ujumbe wa Mungu wa kweli na usio wa Mungu wa kweli.
Kama Mungu mmoja anasema wachukie wanadamu wasio na imani kama yako, waue; halafu kuna Mungu mwingine anasema wapende, wasamehe, waombee, wavumilie, n.k., bila shaka hapa ndipo penye uwanja sahihi wa kutenganisha pande hizi mbili.
Mungu wa Ibrahimu na Isaka na Yakobo akubariki ndugu msomaji.
Kwanza nimefuraji ulipotaja Quran. Nitaanza kuchambua na kukujibu maswali yako uliyouliza katika Quran(Mimi nitazi Quote hizo verses kusudi watu waweze kuelimika):
Swali 1:
Sura 54.19
Tafsiri in English;
"Indeed, We sent upon them a screaming wind on a day of continuous misfortune"
Haijasema siku moja kama ulivyosema wewe. Imesemema ON A DAY OF CONTINOUS MISFORTUNE. Manake zilikuwa siku nyingu lakini haijakuwa specified siku ngapi katika hii verse. Mungu akatupa details ya muda katika Sura 69: 6 - 7 kama ilivyo hapo chini;
( 6 ) And as for 'Aad, they were destroyed by a screaming, violent wind
( 7 ) Which Allah imposed upon them for seven nights and eight days in succession, so you would see the people therein fallen as if they were hollow trunks of palm trees.
Kama unayoona. Hakuna contradiction. Its continous flow of information. Maneno ya Mungu haya gongani.
Swali 2:
Sura 59:18
( 17 ) And she took, in seclusion from them, a screen. Then We sent to her Our Angel, and he represented himself to her as a well-proportioned man.
Hapa anazungumziwa Mary wakati alikuwa bado msichana Bikra na malaika alipo mjia kabla ya kushika ujauzito na hapo ndipo Mary aliposhtuka na Malaika akamwambia kuwa usiwe na woga mimi ni mjumbe nimetumwa na Mungu kukupa taarifa ya uja uzito.
Sura 3:42
( 42 ) And @ when the angels said, "O Mary, indeed Allah has chosen you and purified you and chosen you above the women of the worlds.
Hii verse inamzungumzia Mary wakati tayari ni mwanamke na Yesu ameshazaliwa. Hao malaika wanamwambia Mary kuwa yeye ni mbora kushinda wanawake wengine Duniani.
Hizo verses zote mbili zinamzungumzia Mary in different Occasions and not same Occasion. Maneno ya Mungu hayagongani.
Swali 3:
Sura 28:40
( 40 ) So We took him and his soldiers and threw them into the sea. So see how was the end of the wrongdoers.
Hiyo Verse inaonyesha jinsi Farao na maaskari wake walivyo teketea.
Sura 10:92
( 92 ) So today We shall deliver your body so that you may be a sign for those who come after you.’ Indeed many of the people are oblivious to Our signs.
Hii verse inasema kuwa kiwiliwili(Body) Cha Firauni itatunzwa ili waliokuwa wakimuabudu waone kuwa yeye sio Mungu na amekufa na pia awe mfano kwa wengine.
Hizo Verse zote mbili tofauti kabisa na hazipingani. Maneno ya Mungu hayagongani.
Swali 4
Sura 18:86
( 86 ) When he reached the place where the sun sets, he found it setting in a muddy spring, and by it he found a people. We said, ‘O Dhul Qarnayn! You may either punish them, or treat them with kindness.’
Hapo inazungumziwa habari za Dhul-Karnain. Huyu ni mtu aliyepewa nguvu na Mungu kufanya mambo mengi. Hiyi aya inazungumziwa Dhul-Karnain alipofika maeneo ya Black Sea ambapo ni tambarare na ukiwa kwa mbali unaliona jua linapozama linaonekana kama linatua kwenye chemchem. Hapo Mungu ataoa precise location. Hivyo jua kuzama kwenye chemchem ni sawa na wewe unapoona jua linazama baharini jioni. Kwani maanake jua linaingia kwenye maji ya bahari???
Hiyo ni staight forward verse.
Swali 5
Sura 15:19
( 19 ) And We spread out the earth, and cast in it firm mountains, and We grew in it every kind of balanced thing.
Hiyo verse haisemi kuwa Ardhi ya dunia ni flat. Labda hujaelewa nini maana ya Spreading ni kuitandaza. Haikusema FLAT kama ulivyonukuu, kwanini wewe wasema uongo???
Swali 6
Sura 86:
( 6 ) He was created from an effusing fluid
( 7 ) which issues from between the loins
and the breast-bones.
Unaonekana kizungu kinakusumbua. Breast ni kifua. Yaani ni fluid itokayo kati ya Uti wa Mgongo na mifupa ya kifua. Wewe elimu yako ndogo sana kujua haya mambo. Nakupatia maelezo ya kiingereza. Mtafute mtu akutafsirie hapo chini [emoji116][emoji116]
Scientist made a research here concludes:
The latter part of this verse, i.e. "emanating from a place between the (lower) back and the (lower) ribs", has generally been taken to imply the part of the abdomen that lies between these points. This implication, obviously, has led the Muslims to believe that the sperm itself or its basic ingredients are made within the (roughly) marked area. I, being a novice in the related fields, asked a few of my doctor friends about the making of the male sperm and the supply of its ingredients to the ultimate place of its making. In response, among a few other things, I was told that although the male sperm is formed in the testes, yet the blood supply which, obviously, is integral to the making of the sperm comes from between the ribs and the back. I was also told by one of my doctor friends that the cells that form the sperm originate from between the ribs and the back. If this is true, then the words of the Qur'an are scientifically correct, as the words "emanating from a place between the (lower) back and the (lower) ribs", do not necessarily imply "emanating in its final shape" only, but can also cover "initial emanation". (Source:
http://www.understanding-islam.com/qq.htm
Another source:
http://www.answering-christianity.com/munir_munshey/semenproduction_rebuttal.htm
Kuna mambo mengi yameandikwa kwenye Quran 1,400 yrs ago ambayo Scientists wanakuja ku prove leo.
Mwenyezi Mungu hayagongani.
Swali 7:
Sura 19:27,28
( 28 ) O sister of Aaron[’s lineage]! Your father was not an evil man, nor was your mother unchaste.’
Hiyo verse inakwambia kuwa Mary ni mama yake Yesu ni dada yake Aaron. Sasa wewe fuatilia usibishe kitoto. Kwani mbona tunasema sisi sote ni watoto wa Adam. Kwa hiyo kusema kuwa Aaron na Mary kuna miaka mingi baina yao haina maana kuwa hawawezi kuwa na udugu. Usiongee kitu usichokijua. Wewe kama unasema Quran inasema uongo leta ushahidi wako kama sisi tunapokupa ushahidi wa Biblia kuwa inasema uongo. Ushahidi upo humo humo ndani ya Bliblia, hatusemi fikra zetu. Wewe hapa unasema fikra zako, Quran imekuwambia Mary na Aaron wanaudugu, kama unabisha leta aya ndani ya Quran inayopingana na hiyo. Hivyo ndivyo unaweza kuikanusha Quran. Huwezi kuikanusha Quran kwa fikra zako, huna elimu hiyo. Cheki hiyo link ujifunze.
Mary, Sister Of Aaron?
( 29 ) There at she pointed to him(Jesus). They said, ‘How can we speak to one who is yet a baby in the cradle?’
( 30 )He(Jesus) said, ‘Indeed I am a servant of Allah! He has given me the Book and made me a prophet.
Hapa Yesu ameongea ingali mtoto mchanga.
Swali 8:
Sura 28:8
( 8 ) The Pharaoh’s kinsmen picked him up that he might be to them an enemy and a cause of grief. Indeed Pharaoh and Hāmān and their hosts were iniquitous.
Nani aliyekwambia Haman na Pharaoh wametofautiana kwa Miaka 1,000. Wewe hata Haman humjui. We jamaa muongo sana. Unalazimisha kasoro.
Who was Haman according to the Qur’an?
The name Haman occurs six times in the Qur'an (28:6, 8, 38; 29:39; 40:24, 36). What does the Qur’an say about the duties and the position of Haman, particularly about his relationship to Pharaoh and his position in the government of Egypt? The apologists for Islam, whose claims are examined in this series (starting here), have focussed only on the statements that connect him to building a tower for Pharaoh, but that does not do justice to the importance the Qur’an ascribes to Haman.
Source:
Who was Haman according to the Qur'an?
Mpaka hapo maswali yote nimeyajibu. Na hakuna Contradictions kwenye Quran. Karibia vitu vyote hujavielewa kutokana na elimu uliyonayo ni ndogo kuelewa. Toa kasoro Quran kwa kutumia aya zenyewe za Quran, sio kwa uelewa wako. Huwezi kuelewa kila kitu kwenye Quran. Hata sisi wenyewe hatuelewi kila kitu kwa sababu Quran imeandikwa in a puzzle form na kwa taaluma ya juu sana.