Duuuuuuu bas ndo maana mnalaana, uarabuni ingefaa upigwe mawe hadi kifoMzazi wetu ni Adam.
Hahahaha najua hapo hujaelewa kitu Ndugu maana nyie mna deal zaidi na vitu vya kimwili Ila ingawaje majini yenu tu ndo yapo kwenye ulimwengu wa kirohoKaka, huna jibu. Its as simple as that.
Unaposema kuletwa unamaanisha nini? Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vinavyelezea maneno ya MUNGU wetu, hivi vitabu vimeandikwa na watu waliokua wanaongozwa na roho wa Mungu....sijui kama unanielewa wewe mtuKaka Biblia sio kitabu cha Mungu. Nakufahamisha Muda wote huelewi.
TORAH kimeletwa na Moses
ZABUR imeketwa na David
INJIL imeletwa na Jesus
QURAN imeletwa na Muhammed.
BIBLE imeletwa na NANI??????
Sasa huyo aliyeleta BIBLE ndiyo Mungu wenu.
Alafu unaposema Biblia sio kitabu cha Mungu unamaanisha Mungu yupi???? JEHOVAH au allah wenu????Kaka Biblia sio kitabu cha Mungu. Nakufahamisha Muda wote huelewi.
TORAH kimeletwa na Moses
ZABUR imeketwa na David
INJIL imeletwa na Jesus
QURAN imeletwa na Muhammed.
BIBLE imeletwa na NANI??????
Sasa huyo aliyeleta BIBLE ndiyo Mungu wenu.
Kwanza unatubia nini wakati Yesu ameshamwaga damu yake takatifu kukufutieni madhambi yenu wote?? Kwa mujibu wa itikadi yenu ya Crucifixion ni kuwa ukiwa umemkubali Yesu Kristo basi wewe umeokoka na Bwana amebeba dhambi zenu na nyinyi watu wa Peponi. Sasa unatubia nini wakati Dhambi zaje zimeshabebwa na Bwana??Au Damu ya Yesu imemwagika Bure??Condition ni kutubu dhambi zako na kusamehewa, kama wewe tayari ni mkristo.
Ila kaka unanishangaza wewe mwenye ilimu kubwa na nyinyi ya nini kuhangaika na mimi mwenye elimu chache na ya hapa na pale?
kwa nini upotenze muda wako bure kwa mtu wa aina yangu? Hii ni ajabu unajibu posts za mtu wa elimu chache!!!
Na washawasha!
Eeeeeh kiswahili kigumu sana, basi Injili zinazopatikana kwenye kitabu cha Biblia yaani Injili ya Luka, Injili ya Mathayo, Injili ya Marko na Injili ya Yohana.... Ndo nlikua na maanisha hivyo.....Ila ukija na fikra za wanazuoni wa kiislamu najua hutanielewa maana umeshapandikizwa fikra zaoHakuna kitu kama INJIL ya Biblia. INJIL ni INJIL tu. Ni kitabu kinachojitegemea.
Ulichokisema ni upuuzi kabisa. Chukua Engine ya 1Hz inafungwa kwenye Toyota Landcruiser, Prado, Hardtop etc. Sasa unapoenda kununua spare dukani za Engine hawakuulizi gari gani, wanakuuliza Engine gani. Ukisema 1Hz basi unapewa spare haijalishi ni gari gani. Kwahiyo Engine ya 1Hz ni moja tu. Ukizungumza unaeleweka. Hivyo nayo INJIL ni moja tu. Hakuna cha INJIL ya Biblia.
Yeah Ujumbe wa kunishawishi nikachomwe motoni na majini umenifikia na nimeukataa kwa asilimia isiyo na idadi mkuuSawa tu. 'We are are just warners', maamuzi ni ya kwako. Ujumbe umekufikia lakini umeukana.
Wewe wa sema. Mimi nilitaka kukutahadharisha tu kuwa kuna hata wakati watumia majini wana huo uwezo. Ndipo nikatoa mfano wa sharifu niolopata kuusikia. Tafadhali usiniwekee maneno sijataja mtume yeyote hapa! Narudia tafadhali sana. Wala sipo hapa kwa ajili ya kukashifu imani ya mtu yeyote maana na jua Mungu katupa akili sisi si hayawani tuna akili na hiyari ya kuchagua tuna chotaka/penda kukiamini? Na usinge leta hii topic hapa yenye huu upotoshaji wa Biblia usinge ni sikia nikiandika haya uliyo nilazimisha niya andike.
Ni wewe kujipia hasara na faida ulizo zipata wewe binafsi na kwa dini yako kwa kuleta hii topic.
Na washawasha!
Dah, usipate taabu kaka. Hilo jibu hakuna. Nauliza leo siku ya4 napigwa chenga za Messi.huyo msaidizi wa kweli atawambia yote ambayo yesu hakupata kuwambia,
hebu tudokezee mawili matatu ambayo roho mtakatifu aliwambia baada ya yesu kuondoka
Upo nyuma keyboard una type siyo biblia
Facts hutoi kama cyo bible au laa
Ivyo vitabu vipo vingi tu nenda Jerusalem vimeandikwa miaaka mingi ata zaidi ya hiyo waliokua wanapinga yesu kwa maandishi walikuwepo wengi tu nawaliandika vitabu na vipo kwenye maktaba uko kama sijakosea ni Jerusalem
Maneno ni ya kweli Kabisa. Lakini INJIL inayozungumziwa hapo ni INJIL Original Book of Jesus. Ambayo sisi Waislamu hatuna Pingamizi nayo. Sio hiyo Yenu ya Biblia ambayo watu wamebadilisha ukweli na kupoteza maana.Waislam walikubali Agano la Kale na wanalikataa kabisa agano jipya. Ninyi, waislam mmekengeuka kwa sababu Quran anayatambua maagano yote, na ushahidi ni huu hapa:-
" Allah! Hakuna mungu isipokuwa Yeye, aliye hai na wa milele. Amewafunulia kitabu chenye ukweli kinachothibitisha yale yaliyokitangulia; na ameshafunua Torati na Injili kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu, na kwa ajili ya kutofautisha kati ya jema na baya." (Al- Imran 3:2-3)
** Injili ndio nini?
-Yapingeni bac hayo maneno ya mungu wenu kama mna ubavu.
Hivyo vitabu nilivyo vitaja ni Vitabu kutoka kwa Mungu na ni Maneno ya Mungu yameshushwa/yameptia hiyo Mitume kama nilivyo kuandikia. BIBLE haipo kwenye List ya Vitabu vya Mungu. Kwa hiyo Muwache kusema BIBLE ni kitabu cha Mungu. Bible ni Compilation iliyofanywa na watu wa kawaida wasiokuwa na DEVINE inspiration from GOD. Umenielewa??Unaposema kuletwa unamaanisha nini? Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vinavyelezea maneno ya MUNGU wetu, hivi vitabu vimeandikwa na watu waliokua wanaongozwa na roho wa Mungu....sijui kama unanielewa wewe mtu
Usijipotezee, kama huna jibu sema tu.Alafu unaposema Biblia sio kitabu cha Mungu unamaanisha Mungu yupi???? JEHOVAH au allah wenu????
Maana ya biblia ni mkusanyiko wa vitabu, kwahiyo vitabu vingi vimekusanywa pamoja vikaitwa Biblia.......hayo mawazo yako mengine ni mawazo ya wanazuoni wa kiislamu ndo unaniletea hapaHivyo vitabu nilivyo vitaja ni Vitabu kutoka kwa Mungu na ni Maneno ya Mungu yameshushwa/yameptia hiyo Mitume kama nilivyo kuandikia. BIBLE haipo kwenye List ya Vitabu vya Mungu. Kwa hiyo Muwache kusema BIBLE ni kitabu cha Mungu. Bible ni Compilation iliyofanywa na watu wa kawaida wasiokuwa na DEVINE inspiration from GOD. Umenielewa??
Alafu all in all mm naangali kilichoandikwa kwenye biblia full stopHivyo vitabu nilivyo vitaja ni Vitabu kutoka kwa Mungu na ni Maneno ya Mungu yameshushwa/yameptia hiyo Mitume kama nilivyo kuandikia. BIBLE haipo kwenye List ya Vitabu vya Mungu. Kwa hiyo Muwache kusema BIBLE ni kitabu cha Mungu. Bible ni Compilation iliyofanywa na watu wa kawaida wasiokuwa na DEVINE inspiration from GOD. Umenielewa??