1500 years Old Bible found in Turkey

1500 years Old Bible found in Turkey

Waislam walikubali Agano la Kale na wanalikataa kabisa agano jipya. Ninyi, waislam mmekengeuka kwa sababu Quran anayatambua maagano yote, na ushahidi ni huu hapa:-

" Allah! Hakuna mungu isipokuwa Yeye, aliye hai na wa milele. Amewafunulia kitabu chenye ukweli kinachothibitisha yale yaliyokitangulia; na ameshafunua Torati na Injili kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu, na kwa ajili ya kutofautisha kati ya jema na baya." (Al- Imran 3:2-3)

** Injili ndio nini?
-Yapingeni bac hayo maneno ya mungu wenu kama mna ubavu.
 
Kaka, huna jibu. Its as simple as that.
Hahahaha najua hapo hujaelewa kitu Ndugu maana nyie mna deal zaidi na vitu vya kimwili Ila ingawaje majini yenu tu ndo yapo kwenye ulimwengu wa kiroho
 
Kaka Biblia sio kitabu cha Mungu. Nakufahamisha Muda wote huelewi.

TORAH kimeletwa na Moses
ZABUR imeketwa na David
INJIL imeletwa na Jesus
QURAN imeletwa na Muhammed.

BIBLE imeletwa na NANI??????

Sasa huyo aliyeleta BIBLE ndiyo Mungu wenu.
Unaposema kuletwa unamaanisha nini? Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vinavyelezea maneno ya MUNGU wetu, hivi vitabu vimeandikwa na watu waliokua wanaongozwa na roho wa Mungu....sijui kama unanielewa wewe mtu
 
Alafu unaposema Biblia sio kitabu cha Mungu unamaanisha Mungu yupi???? JEHOVAH au allah wenu????
 
Condition ni kutubu dhambi zako na kusamehewa, kama wewe tayari ni mkristo.
Ila kaka unanishangaza wewe mwenye ilimu kubwa na nyinyi ya nini kuhangaika na mimi mwenye elimu chache na ya hapa na pale?
kwa nini upotenze muda wako bure kwa mtu wa aina yangu? Hii ni ajabu unajibu posts za mtu wa elimu chache!!!

Na washawasha!
Kwanza unatubia nini wakati Yesu ameshamwaga damu yake takatifu kukufutieni madhambi yenu wote?? Kwa mujibu wa itikadi yenu ya Crucifixion ni kuwa ukiwa umemkubali Yesu Kristo basi wewe umeokoka na Bwana amebeba dhambi zenu na nyinyi watu wa Peponi. Sasa unatubia nini wakati Dhambi zaje zimeshabebwa na Bwana??Au Damu ya Yesu imemwagika Bure??

Mimi sihangaiki na nyinyi hata kidogo na wala sipotezi muda wangu. Najifunza mambo mengi humu. Kitu kikubwa nachojifunza ni kiasi gani ndugu zetu wakristo sio kwamba hamuna idea ya dini yetu ya Kiislamu bali hata dini yenu hamuijui. Kingine zaidi your level of education na respect to other religion is very very low. Sisi waislamu huwezi kutusikia tumewatukana viongozi wenu au Mitume yenu. Tunaheshimu dini ya kila mtu hata kama ni Mpagani. Na nawashukuru kwa dhati kwa michango yenu hata kama umeongea upuuzi, ingawaje nitakwambia ukweli kuwa umeongea upuuzi lakini contribution yako counts.
 
Hakuna kitu kama INJIL ya Biblia. INJIL ni INJIL tu. Ni kitabu kinachojitegemea.

Ulichokisema ni upuuzi kabisa. Chukua Engine ya 1Hz inafungwa kwenye Toyota Landcruiser, Prado, Hardtop etc. Sasa unapoenda kununua spare dukani za Engine hawakuulizi gari gani, wanakuuliza Engine gani. Ukisema 1Hz basi unapewa spare haijalishi ni gari gani. Kwahiyo Engine ya 1Hz ni moja tu. Ukizungumza unaeleweka. Hivyo nayo INJIL ni moja tu. Hakuna cha INJIL ya Biblia.
Eeeeeh kiswahili kigumu sana, basi Injili zinazopatikana kwenye kitabu cha Biblia yaani Injili ya Luka, Injili ya Mathayo, Injili ya Marko na Injili ya Yohana.... Ndo nlikua na maanisha hivyo.....Ila ukija na fikra za wanazuoni wa kiislamu najua hutanielewa maana umeshapandikizwa fikra zao
 
Sawa tu. 'We are are just warners', maamuzi ni ya kwako. Ujumbe umekufikia lakini umeukana.
Yeah Ujumbe wa kunishawishi nikachomwe motoni na majini umenifikia na nimeukataa kwa asilimia isiyo na idadi mkuu
 
Imepimwa vipi Na hao wataalam hebu tumwagie maneno
 
Wewe wa sema. Mimi nilitaka kukutahadharisha tu kuwa kuna hata wakati watumia majini wana huo uwezo. Ndipo nikatoa mfano wa sharifu niolopata kuusikia. Tafadhali usiniwekee maneno sijataja mtume yeyote hapa! Narudia tafadhali sana. Wala sipo hapa kwa ajili ya kukashifu imani ya mtu yeyote maana na jua Mungu katupa akili sisi si hayawani tuna akili na hiyari ya kuchagua tuna chotaka/penda kukiamini? Na usinge leta hii topic hapa yenye huu upotoshaji wa Biblia usinge ni sikia nikiandika haya uliyo nilazimisha niya andike.

Ni wewe kujipia hasara na faida ulizo zipata wewe binafsi na kwa dini yako kwa kuleta hii topic.

Na washawasha!

Mimi hiyo ya majini kwa kusema kweli sijawahi kusikia. Mungu ndio mjuzi zaidi.

Naimani hii topic imeleta manufaa mengi sana kwa watu wengi. Ni vizuri watu kuwa open minded although heshima na maadili lazima yazingatiwe.
 
huyo msaidizi wa kweli atawambia yote ambayo yesu hakupata kuwambia,

hebu tudokezee mawili matatu ambayo roho mtakatifu aliwambia baada ya yesu kuondoka
Dah, usipate taabu kaka. Hilo jibu hakuna. Nauliza leo siku ya4 napigwa chenga za Messi.
 
Imeandikwa na mpinga kristo kuwadanganya wajinga wajinga kama nyie
 
Ivyo vitabu vipo vingi tu nenda Jerusalem vimeandikwa miaaka mingi ata zaidi ya hiyo waliokua wanapinga yesu kwa maandishi walikuwepo wengi tu nawaliandika vitabu na vipo kwenye maktaba uko kama sijakosea ni Jerusalem

Waandishi gani zaidi ya Flavius Josephus ama Philo walioandika na kumtaja Yesu Katika vitabu vyao? Hawa walikuwa maarufu na walikubaliana juu ya ujio wa Yesu na kuwapo kwake duniani.
 
Waislam walikubali Agano la Kale na wanalikataa kabisa agano jipya. Ninyi, waislam mmekengeuka kwa sababu Quran anayatambua maagano yote, na ushahidi ni huu hapa:-

" Allah! Hakuna mungu isipokuwa Yeye, aliye hai na wa milele. Amewafunulia kitabu chenye ukweli kinachothibitisha yale yaliyokitangulia; na ameshafunua Torati na Injili kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu, na kwa ajili ya kutofautisha kati ya jema na baya." (Al- Imran 3:2-3)

** Injili ndio nini?
-Yapingeni bac hayo maneno ya mungu wenu kama mna ubavu.
Maneno ni ya kweli Kabisa. Lakini INJIL inayozungumziwa hapo ni INJIL Original Book of Jesus. Ambayo sisi Waislamu hatuna Pingamizi nayo. Sio hiyo Yenu ya Biblia ambayo watu wamebadilisha ukweli na kupoteza maana.

Tazama Sura 4:171

"O People of the Book! Do not exceed the bounds in your religion, and do not attribute anything to Allah except the truth. The Messiah, Jesus son of Mary, was only an apostle of Allah, and His Word that He cast toward Mary and a spirit from Him. So have faith in Allah and His apostles, and do not say, ‘[God is] a trinity.’ Relinquish [such a creed]! That is better for you. Allah is but the One God. He is far too immaculate to have any son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth, and Allah suffices as trustee."
 
Unaposema kuletwa unamaanisha nini? Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vinavyelezea maneno ya MUNGU wetu, hivi vitabu vimeandikwa na watu waliokua wanaongozwa na roho wa Mungu....sijui kama unanielewa wewe mtu
Hivyo vitabu nilivyo vitaja ni Vitabu kutoka kwa Mungu na ni Maneno ya Mungu yameshushwa/yameptia hiyo Mitume kama nilivyo kuandikia. BIBLE haipo kwenye List ya Vitabu vya Mungu. Kwa hiyo Muwache kusema BIBLE ni kitabu cha Mungu. Bible ni Compilation iliyofanywa na watu wa kawaida wasiokuwa na DEVINE inspiration from GOD. Umenielewa??
 
Maana ya biblia ni mkusanyiko wa vitabu, kwahiyo vitabu vingi vimekusanywa pamoja vikaitwa Biblia.......hayo mawazo yako mengine ni mawazo ya wanazuoni wa kiislamu ndo unaniletea hapa
 
Hivyo vitabu nilivyo vitaja ni Vitabu kutoka kwa Mungu na ni Maneno ya Mungu yameshushwa/yameptia hiyo Mitume kama nilivyo kuandikia. BIBLE haipo kwenye List ya Vitabu vya Mungu. Kwa hiyo Muwache kusema BIBLE ni kitabu cha Mungu. Bible ni Compilation iliyofanywa na watu wa kawaida wasiokuwa na DEVINE inspiration from GOD. Umenielewa??
Alafu all in all mm naangali kilichoandikwa kwenye biblia full stop
 
Back
Top Bottom