Kidbwenga
Member
- Nov 11, 2016
- 20
- 18
Waislam walikubali Agano la Kale na wanalikataa kabisa agano jipya. Ninyi, waislam mmekengeuka kwa sababu Quran anayatambua maagano yote, na ushahidi ni huu hapa:-
" Allah! Hakuna mungu isipokuwa Yeye, aliye hai na wa milele. Amewafunulia kitabu chenye ukweli kinachothibitisha yale yaliyokitangulia; na ameshafunua Torati na Injili kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu, na kwa ajili ya kutofautisha kati ya jema na baya." (Al- Imran 3:2-3)
** Injili ndio nini?
-Yapingeni bac hayo maneno ya mungu wenu kama mna ubavu.