witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi ya muziki ni kubwa mno pia soko la muziki linapendwa,[emoji122] [emoji122] kwann unapenda music hivyo!
Kazi zingine vipi
DJ sepetu
Sija amua tu na sijaona mantiki yeyote ya kuanzisha mahusiano bora nibaki kama nilivyo, kwani mapenzi ni maamuzi sio jambo la lazima.I mean kwann huna mwanaume hadi sasa
DJ sepetu
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1]Mkuu studio nipe contact za mawakala wa Freemasson
[emoji1] [emoji2] [emoji2]Nimekupenda bure kwa kutofanya mapenzi
[emoji1] [emoji2]Illuminatism fafanua hapa!
DJ sepetu
Sawasawa[emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1]
Bosi tatizo sio namba tatizo ni juhudi zako, lakini ili uwe mwanachama wa illuminati ni lazima utambue yafuatayo na uwe na sifa nayo.
1. Umri wako kuanzia 21 - kuendelea...
2. Uwe na kazi
3. Uwe unatunza siri.
4. Uwe unajituma, kufanya juhudi za kila namna.
5. Utoe kafara baada ya miaka 3, 5 au 7
6. Usizae watoto mpaka umri wa miaka 30
7. Uwe mwaminifu
8. Ujue sala ya illuminati kwa ajili ya kuomba Mungu wao.
9. Usaidie watu mbali mbali na kuwapa msaada mikubwa.
10. Ukifa lazima uende jehanamu moja kwa moja bila kipingamizi chochote kwa sababu umeweka mkataba na mungu wa illuminati, BAPHOMET.
Karibu sana bosi wangu, tujumuike pamoja.
Na mm sijawahi kufanya kama ww[emoji1] [emoji2] [emoji2]
Na wewe hufanyi eeenhee.... ??
[emoji1] [emoji1] [emoji2]What is your best childhood memory
DJ sepetu
naomba uniulize maswali keshoHabari za jioni!
Leo tumebahatika kumu host Mrembo hapo juu at a share nasi mambo mbalimbali yahusuyo maisha kwa ujumla!
Tunatumai kuwa tutakuwa wastarabu
Tunaanza Leo tutaendelea pia kesho
DJ sepetu
Tunaendana nae mkuu niachie uyoLabda
DJ sepetu
Aisee nimeipenda hiyo ya kupewa gari[emoji1] [emoji1] [emoji2]
Kupewa gari aina ya Cadillac escalade kama birthday.
Kupewa pesa dola 25
Kumtukana mwalimu wangu alipotaka kuniadhibu kwa kunipa likizo ya wiki nzima.
Kuiba hereni za rose gold za binamu yangu.
Kuvuta sigara aina ya havana cigar.
Hahahaha, tafadhali unitag kwenye interview yako.naomba uniulize maswali kesho