1963: Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Julius Nyerere akiweka pini katika koti la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. U Thant

Kwamba huchagua madhila baina ya mjerumani alichinja kichwa cha Mkwawa na muarabu wa pembe za ndovu?
Kwa hiyo unaangalia unaona afadhali ya watu waliowaswaga ndugu zetu kama ng'ombe ( na kubonda vichwa vya watoto walioshindwa kutembea) mpaka Bagamoyo, wengine wakatubebesha hizo pembe za ndovu,halafu wakatuvusha kama dagaa na kutupiga mnada kama vile wanauza maharage. Baada ya hapo wengine tukapelekwa kulima, wengine kazi za nyumbani na wengine walipelekwa uarabuni, Mauritius ( kufanya kazi kwenye mashamba ya miwa), wengine walihasiwa ili waweze kuwahudumia wake na vimada wao bila kuingia tamaa, kuliko mtu aliyemkata kichwa mtu mmoja ( kwa maelezo yako)? Wazungu wa magharibi hawakuwa malaika, nao walitufanyia uovu mwingi sana lakini katika eneo letu uovu waliotufanyia haufikii ambao walitufanyia waarabu na uzao wao. Kufungia macho uovu huo kwa sababu za kidini sio sawa.

Amandla...
 
Kufungia macho uovu huo kwa sababu za kidini sio sawa.

Amandla...
Fundi, kama unafuatilia kuna swali moja nimemuuliza kijana Jagina na ambalo pia nimemuuliza Mohamed Said au Gessan na yule mwingine wa UK na wote hawana jibu.
Kwavile hawana majibu , jibu rahisi ni kumsingizia Nyerere .

Wanakwepa swali la '' Je mapinduzi ni Haramu au Halali' kwasababu za udini.
Jibu lolote liwalo litaudhi Waarabu au Waislam au Rangi zao.

Watu hawakumbuki soko la watumwa Bagamoyo na Zanzibar yaliendeshwa na Waarabu
Kabla ya kuondoa Jahazi lenye watumwa Waarabu walipiga swala ili jahazi lifike salama na Watumwa

Kule Gold cost (Ghana), kabla ya kuingia katika meli kwenda Marekani, Watumwa walipita mlango '' point of no return'. Juu ya mlango kulikuwa na Kanisa na Mapadre wakiombea Watumwa wafike Salama U.S.A

Biashara ya utumwa ilikuwa ni uhalifu dhidi ya ubinadamu '' crime against humanity' hakuna namna ya kusema utumwa upi ulikuwa bora.

Watu wanaotazama mambo kwa jicho la udini wanataka tuamini '' The lesser of two evils''
 
Nimekuuliza halali Na haramu kwa mujibu wa dini gani hujajibu,

Nimekuuliza halali ni nini Na haramu ni nini

Umekimbia umekuja kujifichia huku
 
Ndiyo maana nimeachana nawe kwasababu hoja zako zipo katika udini . Mohamed kakumea kiungwana kila mahali. Tunaposema halali hatumaanishi dini
Halali ni 'Legit' sijui kama utaelewa. Hivi unafahamu kitu kinaitwa kamusi ya kiswahili au Dictionary? Umeshawahi kuviona popote.?
 
Halali ni 'Legit' sijui kama utaelewa. Hivi unafahamu kitu kinaitwa kamusi ya kiswahili au Dictionary? Umeshawahi kuvitumia.?

Unakimbia ki aina. Hivi kukuuliza halali Na haramu kwa mujibu wa dini gani ndio udini?
Kukuuliza haramu ni kitu gani Na halali ni kitu gani ndio udini?
Umekuja kulalamika huku , unakimbia kujibu ,unajua kuwa nimekuweka kwenye mtego mkali hutoki Katu

Haya endelea kukimbia huku ukipakazia Nina udini
 
Ndiyo maana nimeachana nawe kwasababu hoja zako zipo katika udini . Mohamed kakumea kiungwana kila mahali. Tunaposema halali hatumaanishi dini
Halali ni 'Legit' sijui kama utaelewa. Hivi unafahamu kitu kinaitwa kamusi ya kiswahili au Dictionary? Umeshawahi kuviona popote.?
Legit kwa mujibu wa nini au nani?
 
Unakimbia ki aina. Hivi kukuuliza halali Na haramu kwa mujibu wa dini gani ndio udini?
Kukuuliza haramu ni kitu gani Na halali ni kitu gani ndio udini?
Umekuja kulalamika huku , unakimbia kujibu ,unajua kuwa nimekuweka kwenye mtego mkali hutoki Katu

Haya endelea kukimbia huku ukipakazia Nina udini
Nimekueleza hivi neno Halali halina uhusiano na Dini. Ni neno tu ha hivyo ukiuliza kwa mujibu wa dini gani wenye uelewa wanashika mbavu.

Shule kidogo kama utakuwa msikilivu. Ukimzuia mtu kupita eneo lako halali ina maana unalomiliki kisheria ni haki yako na haihitaji uwe na dini ili kutumia neno hilo
 
Sawa tuambie halali ni nini kwa kiswahili usirukie madictiononary ya kiengereza

Wala usikimbilie utumwa mambo ya miaka 300 nyuma , huu utumwa unaofanywa Na CCM umetuchosha
 
Fundi, kama unafuatilia kuna swali moja nimemuuliza kijana Jagina na ambalo pia nimemuuliza Mohamed Said au Gessan na yule mwingine wa UK na wote hawana jibu.
Kwavile hawana majibu , jibu rahisi ni kumsingizia Nyerere .

Wanakwepa swali la '' Je mapinduzi ni Haramu au Halali' kwasababu za udini.
Jibu lolote liwalo litaudhi Waarabu au Waislam au Rangi zao.

Watu hawakumbuki soko la watumwa Bagamoyo na Zanzibar yaliendeshwa na Waarabu
Kabla ya kuondoa Jahazi lenye watumwa Waarabu walipiga swala ili jahazi lifike salama na Watumwa

Kule Gold cost (Ghana), kabla ya kuingia katika meli kwenda Marekani, Watumwa walipita mlango '' point of no return'. Juu ya mlango kulikuwa na Kanisa na Mapadre wakiombea Watumwa wafike Salama U.S.A

Biashara ya utumwa ilikuwa ni uhalifu dhidi ya ubinadamu '' crime against humanity' hakuna namna ya kusema utumwa upi ulikuwa bora.

Watu wanaotazama mambo kwa jicho la udini wanataka tuamini '' The lesser of two evils''
Kweli kabisa Nguruvi3. Swali lako ni muhimu sana. Hauwezi kuongea juu ya mapinduzi bila kuangalia historia ya utumwa. Kwa waafrika weusi wa 1940s mpaka 1960s waliwaona waarabu wa Zanzibar wavamizi kama walivyokuwa wazungu wa Kenya. Wakina Lissu wanakosea wanapo indulge kwenye self flagellation kwenye suala la mapinduzi ya Zanzibar. Matatizo yote Zanzibar hayakusababishwa na Nyerere, machogo na wagalatia kama wanavyotaka kutuaminisha. Mchawi yuko miongoni mwao.

Amandla....
 
Legit kwa mujibu wa nini au nani?
Umeelewa?

Labda ninatumia lugha kubwa kwa kiwango chako, ngoja nikuulize kwa njia ya chekechea

Kulikuwa na Serikali ya Zanzibar Mwaka 1963 iliyoondolewa kwa nguvu Jan 12 1964 kwa njia ya Mapinduzi. Je, kitendo cha kuiondoa serikali hiyo kilikuwa sahihi au siyo sahihi?

Nawaheshimu sana walimu, fikiria kumwezesha mtu japo kuandika jina!
 
Mbona walidai uhuru London hawakudai uhuru Huko uarabuni?
Uongo wenu umeshagonga ukuta zama hizi
 
Umeelewa?

Labda ninatumia lugha kubwa kwa kiwango chako, ngoja nikuulize kwa njia ya chekechea

Kulikuwa na Serikali ya Zanzibar Mwaka 1963 iliyoondolewa kwa nguvu Jan 12 1964 kwa njia ya Mapinduzi. Je, kitendo cha kuiondoa serikali hiyo kilikuwa sahihi au siyo sahihi?

Nawaheshimu sana walimu, fikiria kumwezesha mtu japo kuandika jina!

Unakimbia halali Na haramu ?

Tumalizane Hapa hapa , ulilikoroga Sasa utalinywa😝😝😝😝😝
 
Ukisoma utaalewa zaidi ! ukiandika unatueleza zaidi kuhusu wewe.
I rest my case
 
Wacha kuingia kizani kukimbia sema ukweli usiogope aibu Na fedheha ya kudanganya au kudanganywa Na Hao majambazi ya CCM

Halali ni kitu gani kwa kiswahili Na haramu ni kitu gani ?
 
Ukisoma utaalewa zaidi ! ukiandika unatueleza zaidi kuhusu wewe.
I rest my case

Kinachoshangaza sana ni kule kuona watanganyika wakikasirika sana pale nchi za magharibi zinapoingilia mambo ya ndani ya nchi nyengine, Wakati huo huo Tanganyika ikiwa kinara cha kuingilia masuala ya siasa za Zanzibar bila ya hata aibu.

Hadi leo bado Tanganyika inaendelea kushikilia na kueka watu inaowaona ndio wanafaa kuongoza visiwa vya Zanzibar. Binafsi sipendelei kusikia masuala ya Mapinduzi wala muungano, naamini vyote ni haramu na havina tija wala maslahi yoyote.

Sina tatizo lolote na mtanganyika au mtu yoyote binafsi, nasimama kwenye haki na maslahi ya watu tuu. Mahusiano kati ya Tanganyika na Zanzibar hayawezi kuepukika, ni nchi jirani na watu wake wana mahusiano ya kifamilia, kirafiki nk.. Bado sioni hili kuwa ni sababu ya Tanganyika kujivisha kilemba cha ukoloni dhidi ya Zanzibar.
 
Mbona walidai uhuru London hawakudai uhuru Huko uarabuni?
Nani walidai uhuru London? Usultani wa Zanzibar ulikuwa protectorate chini ya Uingereza kuanzia 1856 hadi 1963. Mtawala alikuwa Sultan lakini Uingereza ndio unalinda sovereignty yake. Walichokifanya waingereza Desemba 1963 ni kuondoa ulinzi wao kwa utawala wa Sultan. Zanzibar na Tanganyika hazijawahi kuwa koloni za muingereza. Uingereza ili administer Tanganyika kwa niaba ya Umoja wa Mataifa. Nyerere alienda New York kujenga hoja kuwa tuko tayari kujitawala. Hizi ni basic histories.

Amandla...
 
Kweli kabisa Nguruvi3. Swali lako ni muhimu sana. Hauwezi kuongea juu ya mapinduzi bila kuangalia historia ya utumwa. Kwa waafrika weusi wa 1940s mpaka 1960s waliwaona waarabu wa Zanzibar wavamizi kama walivyokuwa wazungu wa Kenya. Wakina Lissu wanakosea wanapo indulge kwenye self flagellation kwenye suala la mapinduzi ya Zanzibar. Matatizo yote Zanzibar hayakusababishwa na Nyerere, machogo na wagalatia kama wanavyotaka kutuaminisha. Mchawi yuko miongoni mwao.

Amandla....
Tatizo kubwa la Wazanzibar ni kutokubali ukweli uliotokana na Historia hata Uchumi.
Wanajificha chini ya singizio la Nyerere, lakini si wote

Utumwa uliwagawa kwa ubwana na Watwana. Kilichowaunganisha ni dini lakini nyuma ya pazia ile chuki ya historia ya Utumwa ipo. Ni chuki hiyo ndiyo iliyojenga chuki ya uchumi, kwamba, wapo waliokula Biriani ndani na wapo waliokuwa walinzi milangoni wakisubiri biriani iliyobaki.

Nirahisi sana kuwaona Wazanzibar wamoja kwavile the common enemy ni Tanganyika kupitia Nyerere. Nje ya muungano utaona big rift katika society yao.

Rasimu ya Jaji Warioba ilionyesha wazi hilo. Waliovuruga mchakato ni Wazanzibar wasioitaka Tanganyika kwa hofu kuwa nje ya muungano watarudi kule kabla ya January 12(mapinduzi daima)
Waliotoka nje ya bunge ni wale wanaoitaka Zanzibar wakiamini Jan 12 ilikuwa haramu

Kwasababu ya hii dichotomy , si Mohamed Said, Ghessani , Jussa n.k watakaosimama na kusema iwapo mapinduzi ni halali au haramu. Wote watazunguka zunguka tu
 
Kinachoshangaza sana ni kule kuona watanganyika wakikasirika sana pale nchi za magharibi zinapoingilia mambo ya ndani ya nchi nyengine, Wakati huo huo Tanganyika ikiwa kinara cha kuingilia masuala ya siasa za Zanzibar bila ya hata aibu.

Hadi leo bado Tanganyika inaendelea kushikilia na kueka watu inaowaona ndio wanafaa kuongoza visiwa vya Zanzibar. Binafsi sipendelei kusikia masuala ya Mapinduzi wala muungano, naamini vyote ni haramu na havina tija wala maslahi yoyote.

Sina tatizo lolote na mtanganyika au mtu yoyote binafsi, nasimama kwenye haki na maslahi ya watu tuu. Mahusiano kati ya Tanganyika na Zanzibar hayawezi kuepukika, ni nchi jirani na watu wake wana mahusiano ya kifamilia, kirafiki nk.. Bado sioni hili kuwa ni sababu ya Tanganyika kujivisha kilemba cha ukoloni dhidi ya Zanzibar.
Watanganyika wanaingilia vipi masuala ya Zanzibar? Mliopinduana ni nyie. Mliomuua Karume ni nyie. Mliomkataa Salim Ahmed Salim ni nyie. Mliowakamata mashehe wa uamsho ni nyie. Mliowafanya wapemba wahamie Sharif Shamba ni nyie baada ya kuwanyima fursa Zanzibar. Mnaowaita watanganyika machogo ni nyie. Yote hayo bado mnataka tuamini kuwa mnatupenda bali sisi ndio hatuwapendi?

Hayo mahusiano unayoyazungumzia yataendelea kuwepo kama tutatengana kwa kuheshimiana sio kwa kujashifiana kila kukicha. Huku mnakotaka kutupeleka sio kuzuri.

Amandla...
 
Cc Nguruvi3.
Mimi hua najiuliza ingekuwaje kama Nyerere angefunga mipaka na Zanzibar wakati wa Mapinduzi ( kama alivyofanya muingereza Kenya) na baada ya Mapinduzi. Wazanzibari wahindi, wangazija na wapemba wangekimbilia wapi kama wangekuwa taifa lingine (kama wanavyodai) na Nyerere angewafungia milango ya kukimbilia bara. Badala ya kum vilify, wanatakiwa wamshukuru sana.

Amandla...
 
Nani walidai uhuru London? Usultani wa Zanzibar ulikuwa protectorate chini ya Uingereza kuanzia 1856 hadi 1963. Mtawala alikuwa Sultan lakini Uingereza ndio unalinda sovereignty yake. Walichokifanya waingereza Desemba 1963 ni kuondoa ulinzi wao kwa utawala wa Sultan. Zanzibar na Tanganyika hazijawahi kuwa koloni za muingereza. Uingereza ili administer Tanganyika kwa niaba ya Umoja wa Mataifa. Nyerere alienda New York kujenga hoja kuwa tuko tayari kujitawala. Hizi ni basic histories.

Amandla...

Hao unaosema ni waafrika wa ASP walikwenda London kunywa bia?
Na kwanini hawakwenda kunywa kahawa Uarabuni ?
 
Back
Top Bottom