Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Angefunga mipaka kwa amri ya nani Na Nyerere alikuwa kibaraka wa Waingereza? Walimweka wao madarakani.Cc Nguruvi3.
Mimi hua najiuliza ingekuwaje kama Nyerere angefunga mipaka na Zanzibar wakati wa Mapinduzi ( kama alivyofanya muingereza Kenya) na baada ya Mapinduzi. Wazanzibari wahindi, wangazija na wapemba wangekimbilia wapi kama wangekuwa taifa lingine (kama wanavyodai) na Nyerere angewafungia milango ya kukimbilia bara. Badala ya kum vilify, wanatakiwa wamshukuru sana.
Amandla...