1963: Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Julius Nyerere akiweka pini katika koti la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. U Thant

Cc Nguruvi3.
Mimi hua najiuliza ingekuwaje kama Nyerere angefunga mipaka na Zanzibar wakati wa Mapinduzi ( kama alivyofanya muingereza Kenya) na baada ya Mapinduzi. Wazanzibari wahindi, wangazija na wapemba wangekimbilia wapi kama wangekuwa taifa lingine (kama wanavyodai) na Nyerere angewafungia milango ya kukimbilia bara. Badala ya kum vilify, wanatakiwa wamshukuru sana.

Amandla...
Angefunga mipaka kwa amri ya nani Na Nyerere alikuwa kibaraka wa Waingereza? Walimweka wao madarakani.
 
Watanganyika wanaingilia vipi masuala ya Zanzibar? Mliopinduana ni nyie. Mliomuua Karume ni nyie. Mliomkataa Salim Ahmed Salim ni nyie. Mliowakamata mashehe wa uamsho ni nyie. Mliowafanya wapemba wahamie Sharif Shamba ni nyie baada ya kuwanyima fursa Zanzibar. Mnaowaita watanganyika machogo ni nyie. Yote hayo bado mnataka tuamini kuwa mnatupenda bali sisi ndio hatuwapendi?

Hayo mahusiano unayoyazungumzia yataendelea kuwepo kama tutatengana kwa kuheshimiana sio kwa kujashifiana kila kukicha. Huku mnakotaka kutupeleka sio kuzuri.

Amandla...

Hivi Kama hujui viongozi wote wa Zanzibar wamewekwa Na Dodoma kinyume hata Na teuzi Za wana CCM wa Zanzibar? Unajitia upofu Na uziwi kwa faida ya nani?
 
Hao unaosema ni waafrika wa ASP walikwenda London kunywa bia?
Na kwanini hawakwenda kunywa kahawa Uarabuni ?
Waende kufanya nini uarabuni wakati Majid na Thuwaini waliisha gawana fito? Walienda London kutaka waingereza waondoe protection kwa usultani. Muingereza ingebidi aulinde usultani kutokana na jaribio lolote la kumuondoa kwenye madaraka kabla ya Desemba 1963. Ndio maana walipoindoa protection Zanzibar ikawa constitutional monarchy ikiwa na Sultan kama Head of State na Chief Minister kama mkuu wa utawala.

Amandla...
 
Hivi Kama hujui viongozi wote wa Zanzibar wamewekwa Na Dodoma kinyume hata Na teuzi Za wana CCM wa Zanzibar? Unajitia upofu Na uziwi kwa faida ya nani?
Waliomzulia Salim Ahmed Salim kuwa ni hizbu walikuwa machogo? Watu wengi wanaamini kuwa Nyerere alitaka sana arithiwe na Salim lakini CCM Zanzibar haikutaka iwe hivyo. Hata baada ya Mwinyi waliendelea kumchafua. Maamuzi yanafanyika Dodoma kwa sababu ndio Makao Makuu ya chama cha CCM. CCM Zanzibar wanashiriki kikamilifu kama wanavyoshiriki katika uteuzi wa wagombea uongozi Tanzania Bara.
Hapa sio Jaws kona. Ukileta hoja uwe tayari kuitetea hata kama Lissu anaiunga mkono. Kama ni ya kipuuzi utaambiwa.

Salim alikuwa Rais wa Zanzibar toka lini ?

Nimekuambia viongozi wote wa Zanzibar wamechaguliwa Na Tanganyika kinyume Na teuzi Za CCM Zanzibar unaleta ya Salim kupindisha hoja
 
Waende kufanya nini uarabuni wakati Majid na Thuwaini waliisha gawana fito? Walienda London kutaka waingereza waondoe protection kwa usultani. Muingereza ingebidi aulinde usultani kutokana na jaribio lolote la kumuondoa kwenye madaraka kabla ya Desemba 1963. Ndio maana walipoindoa protection Zanzibar ikawa constitutional monarchy ikiwa na Sultan kama Head of State na Chief Minister kama mkuu wa utawala.

Amandla...

Hapa akina Karume wako London kula pilau ?

EoZKw3iW8AANDFd.jpg
 
Salim alikuwa Rais wa Zanzibar toka lini ?

Nimekutambua viongozi wote wa Zanzibar wamechaguliwa Na Tanganyika kinyume Na teuzi Za CCM Zanzibar unaleta ya Salim kupindisha hoja
Nyerere amekuwa Rais wa Zanzibar lini kiasi kuwa amtake Salim amrithi kama Rais wa Zanzibar. Hoja ni kuwa fitna zote mnafanyiana wazanzibari ila kwa unafik wenu mkitoka kwenye vikao mnawasingizia machogo. Wewe kama mpemba unajua thika kuwa mlikuwa mnabinywa kwenye nafasi za uongozi SMZ.

Amandla...
 
Watanganyika wanaingilia vipi masuala ya Zanzibar? Mliopinduana ni nyie. Mliomuua Karume ni nyie. Mliomkataa Salim Ahmed Salim ni nyie. Mliowakamata mashehe wa uamsho ni nyie. Mliowafanya wapemba wahamie Sharif Shamba ni nyie baada ya kuwanyima fursa Zanzibar. Mnaowaita watanganyika machogo ni nyie. Yote hayo bado mnataka tuamini kuwa mnatupenda bali sisi ndio hatuwapendi?

Hayo mahusiano unayoyazungumzia yataendelea kuwepo kama tutatengana kwa kuheshimiana sio kwa kujashifiana kila kukicha. Huku mnakotaka kutupeleka sio kuzuri.

Amandla...
Nyerere amekuwa Rais wa Zanzibar lini kiasi kuwa amtake amrithi Salim kama Rais wa Zanzibar. Hoja ni kuwa fitna zote mnafanyiana wazanzibari ila kwa unafik wenu mkitoka kwenye vikao mnawasingizia machogo. Wewe kama mpemba unajua thika kuwa mlikuwa mnabinywa kwenye nafasi za uongozi SMZ.

Amandla...

Lete ushahidi Nyerere alimtaka Salim usitupakazie

Mimi naongelea Rais wa Zanzibar huko Tanganyika Baki nako mwenyewe
 
Kuna Rais gani wa Tanganyika tangu 1964? Weka minutes za vikao Dodoma kuthibitisha kuwa machogo ndio waliokuwa wanawatilia kauzibe wazanzibari.
Unajua kabisa Salim alitiliwa fitna na wazanzibari wenzake ndio maana hautaki kumuongelea.
Mwisho utasema hata Jecha ni Chogo.
Unafik kama kawa.

Amandla...
 
Nimekuambia hapa sio jaws. Sababu za wakina Karume kuwa Uingereza nimekupa. Au bado unaamini mlikuwa koloni la Uingereza ndio maana Karume alienda Lancaster?

Amandla...

Usidanganye kila mtu anajuwa walikwenda kudai uhuru
Wewe lete ushahidi wa maneno yako
 
Kuna Rais gani wa Tanganyika tangu 1964? Weka minutes za vikao Dodoma kuthibitisha kuwa machogo ndio waliokuwa wanawatilia kauzibe wazanzibari.
Unajua kabisa Salim alitiliwa fitna na wazanzibari wenzake ndio maana hautaki kumuongelea.
Mwisho utasema hata Jecha ni Chogo.
Unafik kama kawa.

Amandla...
Hivi nimeandika Kuna Rais wa Tanganyika 1964?

Hujaleta ushahidi Nyerere alimtaka Salim unakimbia
 
Usidanganye kila mtu anajuwa walikwenda kudai uhuru
Wewe lete ushahidi wa maneno yako
Watadaije uhuru wakati Zanziba haijawahi kuwa koloni la Uingereza? Naona haujui tofauti ya Colony na Protectorate. Ingekuwa Zanzibar ilikuwa Colony, Sultan asingekuwepo na Mkuu wa Nchi angekuwa Malkia. Uhuru wangepewa wakina Karume na sio Jamshid. Hilo ni basic. Kama hata hilo unataka ushahidi basi huu si mjadala bali mabishano.

Amandla...
 
Hivi nimeandika Kuna Rais wa Tanganyika 1964?

Hujaleta ushahidi Nyerere alimtaka Salim unakimbia
Nimesema wengi waliamini kuwa Nyerere alimtaka Salim awe Rais wa JMT. Na pale alipoomba ridhaa wazanzibari mlimuita Hizbu. Sasa kama hamkumtaka awe Rais wa JMT mngemkubali awe wa SMZ?
Usijipe sifa usizostahili. Hamna anayekukimbia. Ukiona tumeacha ni kwa sababu tumeona ni kupoteza wakati kujadiliana na fanatic.

Amandla...
 
Watadaije uhuru wakati Zanziba haijawahi kuwa koloni la Uingereza? Naona haujui tofauti ya Colony na Protectorate. Ingekuwa Zanzibar ilikuwa Colony, Sultan asingekuwepo na Mkuu wa Nchi angekuwa Malkia. Uhuru wangepewa wakina Karume na sio Jamshid. Hilo ni basic. Kama hata hilo unataka ushahidi basi huu si mjadala bali mabishano.

Amandla...
Kumbe ushahidi huna , domo jumba ya maneno sawa
 
Nimesema wengi waliamini kuwa Nyerere alimtaka Salim awe Rais wa JMT. Na pale alipoomba ridhaa wazanzibari mlimuita Hizbu. Sasa kama hamkumtaka awe Rais wa JMT mngemkubali awe wa SMZ?
Usijipe sifa usizostahili. Hamna anayekukimbia. Ukiona tumeacha ni kwa sababu tumeona ni kupoteza wakati kujadiliana na fanatic.

Amandla...

Ndiyo ushahidi Huo Nyerere alimtaka Salim?
Wewe umeleta ya Rais wa Tanzania wakati uliona niliandika viongozi wa Zanzibar huchaguliwa Na Tanganyika
Fanatic ni mimi au wewe unayependa kupindisha hoja ?
 
Kumbe ushahidi huna , domo jumba ya maneno sawa
Si ndio maana nimesema siwezi kujadiliana na fanatic. Wewe una ushahidi gani kuwa machogo walikuwa wanawatilia kauzibe Dodoma?
Watu tunakumbuka Unguja mlikuwa mnapigiwa king'ora bendera ikishushwa na ole wako usisimame! Mlikuwa mnakuja Dar kupumua halafu mnatuletea za kuleta? Aliyekuwa anawapigia king'ora alikuwa chogo? Aliyewaua wakina Ussi na Hanga alikuwa Nyerere? Acheni hizo. Pambaneni na matatizo yenu achaneni na machogo ambao kwa kiasi kikubwa hawana habari nanyi.

Ndiyo ushahidi Huo mwengine umeleta?
Wapi nimeandika machogo ? Mbona unaji condemn mwenyewe?😭😭😭
 
Ndiyo ushahidi Huo Nyerere alimtaka Salim?
Wewe umeleta ya Rais wa Tanzania wakati uliona niliandika viongozi wa Zanzibar huchaguliwa Na Tanganyika
Fanatic ni mimi au wewe unayependa kupindisha hoja ?
Ndio maana nimesema unaleta ubishi wa Jaws. Nilikueleza kwa nini wagombea wote wa uongozi kwa tiketi ya CCM iwe bara au visiwani wanachaguliwa katika vikao vya chama chao vinavyofanyika Dodoma. Katika vikao hivyo wajumbe kutoka pande zote mbili wanapitia na kuchagia majina ya wagombea Zanzibar na Tanzania Bara. Labda uniambie kuna wakati wajumbe kutoka Zanzibar wanatolewa katika vikao na uamuzi unafanywa na machogo peke yao.
Mfano wa Salim ni kuthibitisha kuwa wazanzibari mnatiliana wenyewe fitna. Kama hamkumtaka awe Rais wa JMT kwa sababu ni Hizbu mngemkubali awe Rais wa Zanzibar?
Wewe ni fanatic wa dini ambao umeuvisha joho la uzanzibari.
Mimi hapa ni mwisho wangu wa kujadiliana na wewe kwenye suala hili. Ni kunipotezea muda tu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom