Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Hii ni kwa faida ya wasomaji ili kuondokana na kuangalia maandishi katika herufi au utamu wa lugha iliyotumika. Kuna 'between the lines'' nitakutembeza ili usimeze tu, kutafuna ni muhimu
Kwa ufupi shughuli nzima ya hukumu ya Mchauru iliunganishwa na umishenari.
Tatizo ni pale anapodai hao wamisheni walikuwa watiifu kwa serikali ya kikoloni.
Hivi Nyerere alikuwa mtiifu? Dr Kyaruzi, akina Kirilo, akina Kasanga Tumbo n.k.!
Na mwisho anasema wasomi wa kimeshanari walikuwa wanasigana na wale waliopinga ukoloni ambao ni wazee wake kama special Branch office Kitwana Kondo na Ali Mwinyi Tambe
Shika neno MisheniSerikali ilimtuma kijana mmoja kutoka Masasi aliyesoma katika shule za misheni, Frederick Mchauru kuwahutubia wafanyakazi na kuwaomba wasimamishe mgomo na warudi kazini.
Tazama shule kwa majina yake ya zamani na sasa. Ni makusudi kabisaMchauru alikuwa Mmakonde kutoka Newala.
Alielimishwa St. Joseph's College, Chidya na St. Andrewís College, Minaki.
Hapa ndipo cheo chake kikatajwa. Katika uandishi wa kawaida ilitakiwa Mchauru awe identified kwa wadhifa '' serikali ilimtuma Assistant Social Development Office...' halafu ndio academic qualification. Haikuwa hivyo kwasababu maalumuMwaka 1946, Mchauru alikuwa amerudi kutoka LondonUniversity akiwa amehitimu masomo yake na kuanza kazi mjini Tabora kama Assistant Social Development Officer.
Hii sentensi ilipaswa kuungana na ile kabla ya 'kuadhibiwa'' lakini imechomekwa hapo makusudi ili kuweka neno ''Usaliti''Wafanyakazi waliokuwa kwenye mgomo walimpigia kelele wakimtaka anyamaze huku wakimwita msaliti.
Ahaa hapa anafunguka, kwamba safari yote hapo juu ililenga neno Misheni. Hivyo Mchauru ''anatambuliwa kama Mmisheni, shule zinatajwa na innuendo ya Msaliti inachomekwaInashangaza namna shule za misheni zilivyowatengeneza watumishi wa serikalini walio wasomi wawe watiifu na waaminifu kwa dola.
Well, waliokuwa wanapinga udhalimu ni Wazee wakeWasomi hawa mara nyingi walijikuta wanasigana na wale waliokuwa wakipinga ukoloni na udhalimu.