Hizo zenye kelele nyingi ziko hapohapo zina injini ya kawaida tu ya 3s au 1G sio iliyofungwa 1jz gte turbo, moto wake ni balaaYaani bongo watu wanaongelea sijui mark x, brevis, verosa, mark II, Subaru, hao wanaendesha alteza sasa utafikiri wanaendesha Nissan GTR kumbe sedan ya kawaida tu kelele nyingi gari iko hapohapo. Huwa nacheka sana road wakianza ligi zao za kitoto....
Nilimwonyesha kama na mimi injini yangu iko vizuri manake alikua anapiga honi nimpishe utazani mimi sina haraka ila badae nikampisha aende zake sipendagi ligi barabarani
Mkuu naomba uniambie mazuri na mabaya ya subaru forester maana unaonekana wazijua! Hivi subaru forester na rav4 3s engine ipi ni nzuri zaidi? vipi kuhusu mafundi na spare kwa mi ninayeishi DSM? Vipi kuhusu barabara zinazoteleza sana inamudu? nauliza haya maana nahitaji gari ambayo ina uwezo wa kuhimili safari ndefu hasa sehemu zenye milima mikali na utelezi wa hatari hapa namaanisha barabara za vumbi nyakati za mvua.mi naikibali forester mzee model kama ya kwenye avatar yangu...
Mkuu naomba uniambie mazuri na mabaya ya subaru forester maana unaonekana wazijua! Hivi subaru forester na rav4 3s engine ipi ni nzuri zaidi? vipi kuhusu mafundi na spare kwa mi ninayeishi DSM? Vipi kuhusu barabara zinazoteleza sana inamudu? nauliza haya maana nahitaji gari ambayo ina uwezo wa kuhimili safari ndefu hasa sehemu zenye milima mikali na utelezi wa hatari hapa namaanisha barabara za vumbi nyakati za mvua.
Natanguliza shukrani zangu kwa kutoa muda wako kutoa shule na ushauri!
Vipi nissan xtrail-old model maana naona kama bei yake ni cheap kulinganisha na rav 4 3s na naona zina space kubwa ndani na bado body lake lina mvuto kuliko la rav 4 oldChukua rav 4 3s ndio mpango mzima
1jz gte turbo iliyofungwa kwenye Alteza
View attachment 695225
Mbona ya kawaida sana hiyoNina engine ya 4A Twin cam, Carina GT, ina turbo inafunguka vibaya mno, usipime
Crown ni nyepesi kuliko mark xVipi 4GR inasubiri kwa hio 1jz au 2jz maana najua 4GR ya kwenye crown ikiwa stock mark X ingawa inayo 4GR pia inasubiri, Brevis ndo habisa inaachwa mbali sana vp hizo 1jz na 2jz za kwenye hio Altezza ni stock au zina modification kadhaa?
Hata Fuga asogezi pua *****Vipi 4GR inasubiri kwa hio 1jz au 2jz maana najua 4GR ya kwenye crown ikiwa stock mark X ingawa inayo 4GR pia inasubiri, Brevis ndo habisa inaachwa mbali sana vp hizo 1jz na 2jz za kwenye hio Altezza ni stock au zina modification kadhaa?
Mbona sijapata kuisikia, umesema ya mwarabu?
Hii ina CC ngapi? 2500 au 1980?Ijz yenye turbo iliyofungwa kwenye verossa
Je 1jz,ina cc sawa na 2jz?1g fe ni 1.9 litre centimeter cubic
2jz ni 2.5 litre centimeter cubic
kwaio lazima consuption iongezeke
hapana nadhani 2jz ni 3.5Je 1jz,ina cc sawa na 2jz?
1jz ni 2500CC 2jz ni 3000CCJe 1jz,ina cc sawa na 2jz?
2jz ni 3000CChapana nadhani 2jz ni 3.5
ok ok2jz ni 3000CC
Thanks,kumbe siyo engine ya kitoto. Hata fuel lazima iwe na urafiki sana. Hivi hizi 1JZ na 2JZ,zote ni D-4 Engine?1jz ni 2500CC 2jz ni 3000CC
Sidhani maana hizo engine 1JZ/2JZ zimeanza kuwekwa kitambo tu kwny magari kama Supra,MR2,Chaser etc kipindi ambacho hata hio tech. ya D-4 haijaja.Thanks,kumbe siyo engine ya kitoto. Hata fuel lazima iwe na urafiki sana. Hivi hizi 1JZ na 2JZ,zote ni D-4 Engine?