1jz GTE ni injini yenye nguvu sana

1jz GTE ni injini yenye nguvu sana

Yaani bongo watu wanaongelea sijui mark x, brevis, verosa, mark II, Subaru, hao wanaendesha alteza sasa utafikiri wanaendesha Nissan GTR kumbe sedan ya kawaida tu kelele nyingi gari iko hapohapo. Huwa nacheka sana road wakianza ligi zao za kitoto....
Hizo zenye kelele nyingi ziko hapohapo zina injini ya kawaida tu ya 3s au 1G sio iliyofungwa 1jz gte turbo, moto wake ni balaa
 
Nilimwonyesha kama na mimi injini yangu iko vizuri manake alikua anapiga honi nimpishe utazani mimi sina haraka ila badae nikampisha aende zake sipendagi ligi barabarani

Kumbe ulikuwa unafanya makusudi. hahahahha nilitaka tu nikuoneshe performance ya 2JZ, bora ulivyoniwashia INDICATOR YA KUSHOTO.

Sipendagi watu wanaoendesha magari HIGH WAY kama wanaingia parking
 
mi naikibali forester mzee model kama ya kwenye avatar yangu...
Mkuu naomba uniambie mazuri na mabaya ya subaru forester maana unaonekana wazijua! Hivi subaru forester na rav4 3s engine ipi ni nzuri zaidi? vipi kuhusu mafundi na spare kwa mi ninayeishi DSM? Vipi kuhusu barabara zinazoteleza sana inamudu? nauliza haya maana nahitaji gari ambayo ina uwezo wa kuhimili safari ndefu hasa sehemu zenye milima mikali na utelezi wa hatari hapa namaanisha barabara za vumbi nyakati za mvua.
Natanguliza shukrani zangu kwa kutoa muda wako kutoa shule na ushauri!
 
Chukua rav 4 3s ndio mpango mzima
 
Chukua rav 4 3s ndio mpango mzima
Vipi nissan xtrail-old model maana naona kama bei yake ni cheap kulinganisha na rav 4 3s na naona zina space kubwa ndani na bado body lake lina mvuto kuliko la rav 4 old
 
Vipi 4GR inasubiri kwa hio 1jz au 2jz maana najua 4GR ya kwenye crown ikiwa stock mark X ingawa inayo 4GR pia inasubiri, Brevis ndo habisa inaachwa mbali sana vp hizo 1jz na 2jz za kwenye hio Altezza ni stock au zina modification kadhaa?
Crown ni nyepesi kuliko mark x
 
Vipi 4GR inasubiri kwa hio 1jz au 2jz maana najua 4GR ya kwenye crown ikiwa stock mark X ingawa inayo 4GR pia inasubiri, Brevis ndo habisa inaachwa mbali sana vp hizo 1jz na 2jz za kwenye hio Altezza ni stock au zina modification kadhaa?
Hata Fuga asogezi pua *****
 
Thanks,kumbe siyo engine ya kitoto. Hata fuel lazima iwe na urafiki sana. Hivi hizi 1JZ na 2JZ,zote ni D-4 Engine?
Sidhani maana hizo engine 1JZ/2JZ zimeanza kuwekwa kitambo tu kwny magari kama Supra,MR2,Chaser etc kipindi ambacho hata hio tech. ya D-4 haijaja.
 
Back
Top Bottom