Osaba
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,937
- 781
- Thread starter
- #101
Hizo zenye kelele nyingi ziko hapohapo zina injini ya kawaida tu ya 3s au 1G sio iliyofungwa 1jz gte turbo, moto wake ni balaaYaani bongo watu wanaongelea sijui mark x, brevis, verosa, mark II, Subaru, hao wanaendesha alteza sasa utafikiri wanaendesha Nissan GTR kumbe sedan ya kawaida tu kelele nyingi gari iko hapohapo. Huwa nacheka sana road wakianza ligi zao za kitoto....