Habari wakuu.
Katika maisha kuna malengo na matamanio ambayo mwanadamu huyaweka ili kuyatimiza ndani ya kipindi flani lakini maisha yana mambo mengi waswahili husema mipango sio matumizi, unaweza kupanga vingi na ukashindwa kuvitimiza. Wengine hupanga mipango kuhusu mahusiano wengine ujenzii, elimu,ibada, uwekezaji na mengineyo katika maisha.
Binafsi nilipanga kusali kila jumapili ya mwaka huu 2023 lakini nmeshindwa kufika lengo hilo na mengine mengi nmeshindwa!
Zimebaki siku 90 mwaka umalizike mambo gani ulipanga ujatimiza au unafikili hutatimiza tena labda 2024 ?