Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Tz lazima nihame.hahahaha amna mahali utaenda tutakaa hapa kutengeneza himaya zetu kaka piga moyo konde
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tz lazima nihame.hahahaha amna mahali utaenda tutakaa hapa kutengeneza himaya zetu kaka piga moyo konde
hahahaha usinasahau kaka me natafuta mkopo usio na riba mwakani nitatfuta hi id
Huyu lazima asikie Raha ya kumtoa mwenzie uhai🤓🤓🤓🤓🤓 roho mbaya hiyo
AmenMungu ni mwema nimepata mtoto wa kike mwaka huu, juzi ametimiza miezi minne. Mungu ampe afya njema inshaallah [emoji120]
Kujipanga tu boss mambo yatakuwa sawa pole pole ndo mwendoKuhama kwetu dah hicho kitu kinaniuma
Yaani doctor anapambania mtu ili akatolewe uhai et... bongo nyoso 😂😂😂Huyu lazima asikie Raha ya kumtoa mwenzie uhai
Kama mimi prezidaa, Jamaa nampa msamaha wa bure. Maana amejitahidi kunusurika kifo kabla ya kifo kusudiwa.Yaani doctor anapambania mtu ili akatolewe uhai et... bongo nyoso 😂😂😂
Sasa mlimtaka daktari amuache afariki kizembe bila majuto🤣🤣🤣?Yaani doctor anapambania mtu ili akatolewe uhai et... bongo nyoso 😂😂😂
Aaaaaaaah wewe dada mtu.. una roho mbayaaaaaa🤓🤓🤓🤓🙌🙌🙌Sasa mlimtaka daktari amuache afariki kizembe bila majuto🤣🤣🤣?
Tatizo inauma alivyomtoa mwenzie roho,,,ukute alimuua kiumbe dhaifu mwanamkeAaaaaaaah wewe dada mtu.. una roho mbayaaaaaa🤓🤓🤓🤓🙌🙌🙌
Wee sio dada kumbe🤓🤓🤓🤝
Sawaa mamtu 😂Tatizo inauma alivyomtoa mwenzie roho,,,ukute alimuua kiumbe dhaifu mwanamke
Sio kila anaeenda kule ana hatia 🤓🤓Tatizo inauma alivyomtoa mwenzie roho,,,ukute alimuua kiumbe dhaifu mwanamke
Kama Kuna ushahidi tosha,ni sawa kabisa.....ila kama kubambikiwa sio mpangoSio kila anaeenda kule ana hatia 🤓🤓
Kwahiyo wewe hii adhabu ya kunyongwa its oky dada mtu...?
Haya mambo haya... basi tuuKama Kuna ushahidi tosha,ni sawa kabisa.....ila kama kubambikiwa sio mpango
🤣🤣🤣Nadhani umenipata fresh totomtuSawaa mamtu 😂
Hayana guaranteeHaya mambo haya... basi tuu