2/10/2023: siku 90 zimebaki, mwaka 2023 kumalizika. Nini umeshindwa kukitimiza na ulikipanga ?

2/10/2023: siku 90 zimebaki, mwaka 2023 kumalizika. Nini umeshindwa kukitimiza na ulikipanga ?

Mungu ni mwema nimepata mtoto wa kike mwaka huu, juzi ametimiza miezi minne. Mungu ampe afya njema inshaallah [emoji120]
 
nilipanga kufanya kabiashara yangu lakin naona dakika za muisho zinaishia koiyo bora niaze raudi nyingine
 
Back
Top Bottom