2/10/2023: siku 90 zimebaki, mwaka 2023 kumalizika. Nini umeshindwa kukitimiza na ulikipanga ?

2/10/2023: siku 90 zimebaki, mwaka 2023 kumalizika. Nini umeshindwa kukitimiza na ulikipanga ?

🤣🤣🤣Nadhani umenipata fresh totomtu
Nmewaza mbaali mamtu nmewaza kwa hizi comment mumeo akikucheat unampa adhabu gani ?au ndugu na jamaa wakikudhulumu unachagua kuwafanya nini nmewaza mengiii 😂
 
Habari wakuu.

Katika maisha kuna malengo na matamanio ambayo mwanadamu huyaweka ili kuyatimiza ndani ya kipindi flani lakini maisha yana mambo mengi waswahili husema mipango sio matumizi, unaweza kupanga vingi na ukashindwa kuvitimiza. Wengine hupanga mipango kuhusu mahusiano wengine ujenzii, elimu,ibada, uwekezaji na mengineyo katika maisha.
Binafsi nilipanga kusali kila jumapili ya mwaka huu 2023 lakini nmeshindwa kufika lengo hilo na mengine mengi nmeshindwa!
Zimebaki siku 90 mwaka umalizike mambo gani ulipanga ujatimiza au unafikili hutatimiza tena labda 2024 ?
kupata katiba mpya
 
Nmewaza mbaali mamtu nmewaza kwa hizi comment mumeo akikucheat unampa adhabu gani ?au ndugu na jamaa wakikudhulumu unachagua kuwafanya nini nmewaza mengiii 😂
Umewaza mbali sana....Kuna makosa yanasameheka..ila sio kumtoa mtu roho🥲
 
Back
Top Bottom