2/10/2023: siku 90 zimebaki, mwaka 2023 kumalizika. Nini umeshindwa kukitimiza na ulikipanga ?

2/10/2023: siku 90 zimebaki, mwaka 2023 kumalizika. Nini umeshindwa kukitimiza na ulikipanga ?

Nyie ndio hatuwataki duniani.
Dakika ya 90 unaweza kufanya jambo ambao miaka yote ulishindwa. Hahaha
Impossible....
Impossible
Ctrl +c....
Mybe kama ulishaanza na upo kwa process..
Au wee ni motivation speaker mkuu 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🙌
 
Habari wakuu.

Katika maisha kuna malengo na matamanio ambayo mwanadamu huyaweka ili kuyatimiza ndani ya kipindi flani lakini maisha yana mambo mengi waswahili husema mipango sio matumizi, unaweza kupanga vingi na ukashindwa kuvitimiza. Wengine hupanga mipango kuhusu mahusiano wengine ujenzii, elimu,ibada, uwekezaji na mengineyo katika maisha.
Binafsi nilipanga kusali kila jumapili ya mwaka huu 2023 lakini nmeshindwa kufika lengo hilo na mengine mengi nmeshindwa!
Zimebaki siku 90 mwaka umalizike mambo gani ulipanga ujatimiza au unafikili hutatimiza tena labda 2024 ?
Ishi wakati uliopo huna mkataba na Mungu.
 
Impossible....
Impossible
Ctrl +c....
Mybe kama ulishaanza na upo kwa process..
Au wee ni motivation speaker mkuu 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🙌
Labda ni malengo ya kupiga mshindo kwenye betting ayo ni within a second mambo yanabadilika siku 90 ni nyingi kwa lengo hilo
 
Habari wakuu. Katika maisha kuna malengo na matamanio ambayo mwanadamu huyaweka ili kuyatimiza ndani ya kipindi flani lakini maisha yana mambo mengi waswahili husema mipango sio matumizi, unaweza kupanga vingi na ukashindwa kuvitimiza. Wengine hupanga mipango kuhusu mahusiano wengine ujenzii, elimu,ibada, uwekezaji na mengineyo katika maisha. Binafsi nilipanga kusali kila jumapili ya mwaka huu 2023 lakini nmeshindwa kufika lengo hilo na mengine mengi nmeshindwa! Zimebaki siku 90 mwaka umalizike mambo gani ulipanga ujatimiza au unafikili hutatimiza tena labda 2024 ?
kuna wanawake watatu wake za watu nataka kuwaonga kabla ya mwaka kuisha.
 
Labda ni malengo ya kupiga mshindo kwemye betting ayo ni within a second mambo yanabadilika siku 90 ni nyingi kwa lengo hilo
Sawa sawa, ulivo ongelea betting nishajua wewe ni wa namna gani..🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
Dah huu mwaka sitokaa niusaau nimetumia robo tatu ya mwaka huu kumuuguza mtu na kuangalia mambo yake kumbe yangu ikiwemo biashara zangu zikiangamia kuja kusanuka ndo inaishilia ishilia nimepata almost hasara ya Zaid ya milioni 6 yaani sitokaa nimuachie mtu biashara no matter what nimejifunza ndo nilichopata mwaka huu
 
Impossible....
Impossible
Ctrl +c....
Mybe kama ulishaanza na upo kwa process..
Au wee ni motivation speaker mkuu 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🙌
Mimi ni motivational Doer. Nataka nipate $50K kwa siku zilizobaki 90 japo mpango ulikuwa tangu january. Kwa mwaka mzima niliishia 189$ nikakata pumzi.💪Mola nisaidie.
 
Dah huu mwaka sitokaa niusaau nimetumia robo tatu ya mwaka huu kumuuguza mtu na kuangalia mambo yake kumbe yangu ikiwemo biashara zangu zikiangamia kuja kusanuka ndo inaishilia ishilia nimepata almost hasara ya Zaid ya milioni 6 yaani sitokaa nimuachie mtu biashara no matter what nimejifunza ndo nilichopata mwaka huu
Poole sana boss
 
Back
Top Bottom