Nashukuru mwaka umekuwa soft mpaka kufika tarehe ya leo 90% ya mipango imekwenda sawa!Habari wakuu.
Katika maisha kuna malengo na matamanio ambayo mwanadamu huyaweka ili kuyatimiza ndani ya kipindi flani lakini maisha yana mambo mengi waswahili husema mipango sio matumizi, unaweza kupanga vingi na ukashindwa kuvitimiza. Wengine hupanga mipango kuhusu mahusiano wengine ujenzii, elimu,ibada, uwekezaji na mengineyo katika maisha.
Binafsi nilipanga kusali kila jumapili ya mwaka huu 2023 lakini nmeshindwa kufika lengo hilo na mengine mengi nmeshindwa!
Zimebaki siku 90 mwaka umalizike mambo gani ulipanga ujatimiza au unafikili hutatimiza tena labda 2024 ?
Siku 93 hivi zimebaki mathematical izo ni 90 πBado siku zaidi ya 90.unasema nimeshindwa kukutimiza?
Kwakweli izo ni barakaNashukuru mwaka umekuwa soft mpaka kufika tarehe ya leo 90% ya mipango imekwenda sawa!
Kikubwa hasa cha muhimu ni ile hali unaamka asubuhi dudu imesimama kila kiungo kiko sawa, hakuna ini , figo , wala kisukari na homa za hapa na pale, kiufupi afya njema kabisa.
Unatoka kupuyanga huku na kule unasafiri huku na kule kwa miezi yote 10 ukiwa salama kila siku, ni jambo la kushukuru sana.
Naona unampasha hahahahaUnataka kujua mambo ya wenzio ili iweje kama sio umbea.... hebu nenda kasali huko acha excuses za kitoto.
Nina Calendar yangu ambayo mwaka wake mmoja ni miaka yenu mitatu.Habari wakuu.
Katika maisha kuna malengo na matamanio ambayo mwanadamu huyaweka ili kuyatimiza ndani ya kipindi flani lakini maisha yana mambo mengi waswahili husema mipango sio matumizi, unaweza kupanga vingi na ukashindwa kuvitimiza. Wengine hupanga mipango kuhusu mahusiano wengine ujenzii, elimu,ibada, uwekezaji na mengineyo katika maisha.
Binafsi nilipanga kusali kila jumapili ya mwaka huu 2023 lakini nmeshindwa kufika lengo hilo na mengine mengi nmeshindwa!
Zimebaki siku 90 mwaka umalizike mambo gani ulipanga ujatimiza au unafikili hutatimiza tena labda 2024 ?
Huyu naye tumuweke kundi gani?Nilipanga kuow mwaka huu,,naona sijafanikiwa kupata.
Mwakani ishaAllah ntafanikiwa.
Hawa watoto bila kuwaswaga hawaendi, [emoji3]Naona unampasha hahahaha
π kosa langu ni lipi apo ndugu yangu si tunapeana uzoefu tu wa maishaUnataka kujua mambo ya wenzio ili iweje kama sio umbea.... hebu nenda kasali huko acha excuses za kitoto.
DaahHawa watoto bila kuwaswaga hawaendi, [emoji3]
Kwa sasa ni too late...πππNini kifanyike siku zilizobaki ili tufikie malengo?
Bado nafasi ipo wakuu.
Umesali ngapi!?Binafsi nilipanga kusali kila jumapili ya mwaka huu 2023 lakini nmeshindwa kufika lengo hilo na mengine mengi
Why why why whyHuyu naye tumuweke kundi gani?View attachment 2769295