20 Greatest Tanzanians Of All Time

John Pombe Joseph Magufuli!
 
kweny michezo naona bado hatujafikia kuwa na mtu wa kuimuita huyu ni Greatest of all time sababu kwa level aliyefikia Samata tukiwa serious sana na uwekezaji wa soka la vijana hasa kweny level ya Globally vijana wengi tu iyo level wanaweza kuifikia ni vile tu soka letu ni changa japo samata nampa heshima yake kwa pale alipofika ila sio Greatest of all time in Tanzania
 
Wewe ni tahira..... huwezi changanya kada lazima uanishe na kugrade watu ...kutoka na kada zao.......sasa matahira ni ngumu kuelewa
 
Hii ndio 20 bora yangu

1. JULIUS NYERERE
2.JOSEPH MAGUFULI
3.JAKAYA KIKWETE
4.SAMIA SULUHU HASSAN
5. ALI HASSAN MWINYI
6.GETRUDE LWAKATARE
7.RUGE MUTAHABA.
8.DIAMOND PLUTNUMZ.
9.MBWANA SAMATTA
10. FREEMAN MBOWE
11.CHARLES KIMEI
12.REGINALD MENGI
13. SAID SALIM BAKHRESSA
14. MOHAMMED DEWJI
15. RUTH ZAIPUNA CEO NMB
16.ERNEST MASSAWE OWNER EY TZ
17.CHIFU MKWAWA
18. KINJEKITILE MAJI MAJI WAR
19. ABED AMANI KARUME
20. BIBI TITI MOHAMMED
 
Wewe ni tahira..... huwezi changanya kada lazima uanishe na kugrade watu ...kutoka na kada zao.......sasa matahira ni ngumu kuelewa
Wewe ndio pumbavu mkubwa,mada inasema watanzania walioleta matokeo chanya kwa Tanzania,hili ni kapu lenye watanzania walioleta mabadiliko Chanya regardless wametokea wapi,hii list ya sasa ya Africa wamo politicians,musicians etc etc,matatizo ya shule za kayumba ambazo hata waanzilishi wake,vitukuu vyao havisomi kule
 
Yaani shida JAMII FORUM SIKU HIZI WASOMI WACHACHE SANA MAJAMAA KAMA HAYA YA FACEBOOK YAMEKUJA HUKU .. toka lini uliona unachanganya kada unasema ndo wameleta impact ilibidi iwe hivi..
Music .watu wake labda watano
Siasa watu wake
Sayansi watu wake
Ulinzi watu wake
Sheria na katiba.....
SHIDA MNADHANI JAMII FORUM NI FACEBOOK KWA WASHAMBA HUMU KUWA WASOMI SIO NGUMBARU KAMA WEWE NA MWANDISHI
 
Yaani kwenye orodha yako mimi nimekosa nafasi?
Ngoja nijitahidi Mkuu ili mara nyingine unijumhishe.
 
Mkuu utanisamehe kwa kuingilia maoni yako huyu padri kitima sio wa kumwacha toa no 17 hapo
 
Elimu huna au haijakusaidia kitu
 
Safi kabisa, ila List bila Magufuli ni Ubatili mtupu.
 
Ikumbukwe tu hakuna aliempita Konde boy kwa kubeba MIZIGO MIZITO, kuhonga, kick na Ushamba + BANGE......, Pengo lake halizibiki.

Lakin List bila JPM na Mondy ni Ubatili pia.
 
Mimi naona tuwapange kwa hela tu, haiwezekani Samia na Mwinyi nao wawe bora wakati tayar kuna kina Nyerere na JPM hapo kwenye siasa. Samatta huyu asie na impact angali hai ni bora kuliko Lisu?

Alichosema member pale juu kwamba bila kuspecify sector na list yake hii kaz itakua ngumu na ya kiswahili how comes Samatta yuko juu ya Abeid Aman Karume akili gani hii?
 
Crap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…