Acha upumbavu mkuu,wewe kama unaona imekaa kama unavyosema weka ya kwako,hii ni list yake na respect maoni yake,huu ni mjadala na kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake,upumbavu wako umekufanya hata kuelewa mada imekua tatizo kwako,watanzania waliotoa mchango chanya kwa nchi yetu,hili ni kapu kubwa na wewe unaweza kuweka ya kwako,Nkanini kwangu ni president Mwinyi (MHSRIP),Jella Mtagwa,Hassan Rehani Bitchuka,Mbaraka Mwinshehe,PM Salim A.Salim,Suleman Nyambui,Tido Mhando,mwalim wa kwaya s/m Kange (Tanga)nimemsahau jina lake,Gen.S.Mayunga,Gen.T.Kiwelu (down to earth gentleman),Titi Mohamed,Shakila,Bi.Kidude.