Huyo barbou ndo alikuaje....kama kuna picha yake tafadhar
Meli Barbou, mmiliki wa vituo vya mafuta vya TIOT. Dudubaya na Mr. Nice waliwahi kuzitwanga wakimgombea huyu jamaa,Huyo barbou ndo alikuaje....kama kuna picha yake tafadhar
Duuuh aisee.....nikajua labda alikua demuMeli Barbou, mmiliki wa vituo vya mafuta vya TIOT. Dudubaya na Mr. Nice waliwahi kuzitwanga wakimgombea huyu jamaa, ambaye inasemekana alikua akiwala sasa kila mmoja akataka awe wake peke yake.
pole sana kwani kashakutaja au unahisi upo list ya pili ?Meli Barbou, mmiliki wa vituo vya mafuta vya TIOT. Dudubaya na Mr. Nice waliwahi kuzitwanga wakimgombea huyu jamaa, ambaye inasemekana alikua akiwala sasa kila mmoja akataka awe wake peke yake.
[emoji1787][emoji1787]kapotezwa mazima mkuuAnaitwa Merey Balhabou (ruksa kurekebisha)
Alikuwa Mmiliki wa Moro United ya akina Kaseja, Nsajigwa, Boban, Nsa Job, Katalay na wengineo!
Wakati Msoga anagombea 2005, RC Mashishanga aliwakusanya matajiri wa Morogoro na kumpa nguvu Sumaye!
Msoga alipofika Morogoro hakupata kile alichotarajia, aliambulia wafuasi wachache kwa ushawishi wa watu wake km Hassan Bantu (Fundi wa zamani wa kushona uniform za shule zote za secondary Morogoro)
Baada ya Msoga kushinda, kilichompata Balhabou ndio kile sisi watoto wa Tandika tunaita KIKICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA!
Balaaa juu ya balaaa! Moro United ikauzwa DSM! Nyumba yake krb na JUWATA "ikawaka" moto afu FIRE wakaenda km mashuhuda! Baadae ikaja kesi ya wizi wa USD pale Barclay's!
Duh. AyseeeAnaitwa Merey Balhabou (ruksa kurekebisha)

Siasa Si hasa!Duh. Ayseee
Noma sana siasa zetu hz[emoji1787][emoji1787]kapotezwa mazima mkuu
Anaitwa Merey Balhabou (ruksa kurekebisha)
Alikuwa Mmiliki wa Moro United ya akina Kaseja, Nsajigwa, Boban, Nsa Job, Katalay na wengineo!
Wakati Msoga anagombea 2005, RC Mashishanga aliwakusanya matajiri wa Morogoro na kumpa nguvu Sumaye!
Msoga alipofika Morogoro hakupata kile alichotarajia, aliambulia wafuasi wachache kwa ushawishi wa watu wake km Hassan Bantu (Fundi wa zamani wa kushona uniform za shule zote za secondary Morogoro)
Baada ya Msoga kushinda, kilichompata Balhabou ndio kile sisi watoto wa Tandika tunaita KIKICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA!
Balaaa juu ya balaaa! Moro United ikauzwa DSM! Nyumba yake krb na JUWATA "ikawaka" moto afu FIRE wakaenda km mashuhuda! Baadae ikaja kesi ya wizi wa USD pale Barclay's!
Kweli Dunia Adaha Ulimwengu ShujaaAnaitwa Merey Balhabou (ruksa kurekebisha)
Alikuwa Mmiliki wa Moro United ya akina Kaseja, Nsajigwa, Boban, Nsa Job, Katalay na wengineo!
Wakati Msoga anagombea 2005, RC Mashishanga aliwakusanya matajiri wa Morogoro na kumpa nguvu Sumaye!
Msoga alipofika Morogoro hakupata kile alichotarajia, aliambulia wafuasi wachache kwa ushawishi wa watu wake km Hassan Bantu (Fundi wa zamani wa kushona uniform za shule zote za secondary Morogoro)
Baada ya Msoga kushinda, kilichompata Balhabou ndio kile sisi watoto wa Tandika tunaita KIKICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA!
Balaaa juu ya balaaa! Moro United ikauzwa DSM! Nyumba yake krb na JUWATA "ikawaka" moto afu FIRE wakaenda km mashuhuda! Baadae ikaja kesi ya wizi wa USD pale Barclay's!
Ukisikia hata Matonya alivyokuwa anamuimba huku amebana pua katika kila wimbo lazima amtajeHuyo barbou ndo alikuaje....kama kuna picha yake tafadhar